qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
==> Hii nayo kiboko mkuu, ulibugia cream?
Hadi leo nikiusikia wimbo wa 'aerosmith - I don't wanna miss a thing' unanikumbusha sana ile safari...I missed everything yet siwezi kubadili kuwa ilikuwa safari yangu ya kwanza ya ndege. #sad
Jk mbona kapita masaa hayo? Inawzekana bana! Hivi wajua kuna watu hawajawahi panda bus as means of transport from one place/state to the other
Fundi mchundo.
Ahsante kwa kufanikiwa kunichekesha.
Hahahahahah
Una logbook yake JK?
Sina, kwani huwa anafanya logarithm akiwa anasafiri? una swali jingine?
ulisema ameshapita hayo masaa laki moja, ulijuaje?
Logarithm na logbook ni vitu viwili tofauti sijui kama unafahamu Mkuu
baada ya gradu yangu
chuo.Tukarudi mkoa na maza.
Fastjet ndo imeanza.Nı mara yetu
ya kwanza wote.
1. Mama anataka kukaa akakuta juu
ya siti sehemu ya mizgo kuna mtu
kashaweka wake.Akatia,"wee
kondaa,we kondaa wéeh,hebu
njoo kwanza"
2. Nikajaribu kwenda choóni japo
sijabanwa alimradi tu nione pakoje
3.Facebuk page yangu iliomba poo.
Mara checkin in at JKİ Airport. Mara
nitupie picha alimradi kila mtu
ajue.
4. Tulivofika madreva tax wakaanza
kututukana eti "hamna lolote nyie
mtakuwa fastjet tu" hapo kisa ni
baada ya wao wanatugombania sie
hatuna time tunaenda kwny
daladala.
5. Jioni napokea simu toka kwa
mjomba: "ah mjomba nimeamini
ushamba mzigo wa
mwiba".Nkamuuliza kwanini?
Akasema,"leo sina raha. mama
yako kutwa nzima anantambia
kwny simu kisa kapanda ndege"
Kwa hiyo unabisha au point yako ni nini? Log ni kifupi cha logalizm bwana log book ndio kitabu cha logalizm
Mijitu iliyozoea kunya porini utaijuwa tu.Mimi was 2005 to USA..dah vituko vilikuwa vingi but kwa uchache nilishindwa kuflashi choo, airpot Michgan nilirukia elevator inayoshuka badala ya inayopanda nk!