Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Huyu mamba atakua ni Dudubaya the mamba co yule crocodileMkuu unamjua mamba lakini!!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mamba atakua ni Dudubaya the mamba co yule crocodileMkuu unamjua mamba lakini!!!?
Asante mamii,uko poa ww
Hapa nilicheka sana.😅😅😅😅Kwamba ulimezwa na mamba kisha akakutema!!
Huyo mamba alikuwa na masihara.
Story inaendelea muda ganHakurudi na hakuna ambaye aliwahi zungumzia jambo hilo tena. Mwaka flani nlimkumbusha Abdul alikataa kuwa hakumbuki kabisa jambo hilo na nisilizungumze tena.
Duuuh aisee hii dunia hii sio poaHakurudi na hakuna ambaye aliwahi zungumzia jambo hilo tena. Mwaka flani nlimkumbusha Abdul alikataa kuwa hakumbuki kabisa jambo hilo na nisilizungumze tena.
Mimi sishangai mamba kumeza watu ninachoshangaa mamba anameza na kutema!Ziwa Tanganyika hapo zamani ilikuwa ni kawaida wazee wanafuga mamba zao humu kama mgeni au familia ya kinyonge unamezwa na mamba tu.
Kwahiyo usishangae hiyo ni kawaida tu.
Ninyi mnajua chizi maarifa. Asije akaususa huu uzi[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Reader/viewer discretion is advised ...There is a lot of Chai in this Thread.
Acha basi kukumbushiaMods mkae kwa kutulia,
Mkiuhamisha huu Uzi afu asuse tutaonana wabaya.