Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Mamilooo, nshakuja ngoja nikae mkao wa kula
Wangapi mmefanikiwa kwa kumnunulia kuku mganga.Cheki huyu, hapo ulipo unajifananisha na watu wengine ..ukisema watz ni dhoofu, jisemee wewe ndio dhoofu bin hali..maamuzi ya kua maskini unayo, pia maamuzi ya kua tajiri unayo, kila mmoja ana njia yake ya siri. Tunatofautiana njia za kupita na maamuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa mamba alivimbiwa mkuu 😄😄😄Mimi sishangai mamba kumeza watu ninachoshangaa mamba anameza na kutema!
AsantePole Baby wangu[emoji39]
Shinyanga kuna tajiri mmoja dukani kwake huwa anakaaga na toto lake moja linatoa kamati zezeta hivi. Yuko karbu na crdb.Daa mkuu ungechoma kweli Ungekuwa ni tajiri pia mie kuna mmoja aliniambia Mara Niue Mke Wangu,Mara mwanangu ama mwanangu awe kama mento yule Wa kutoa maudenda mkuu.
Duu nikawaza nikaona dunia tunapita. Uzuri zile mambo akili yako timamu inakuwepo so ni Poa Sana.
Ila mie natafuta Wa kuvaa nguo moja miaka hata mia,nilale chini ama nisidinde yaani kuua tu kunanishinda na mwanangu nampenda eti nimuue kwani utajiri huo sintokufa.
Maisha ya binadamu hapa duniani ni mafupi mno yaani mno kuna muda utafika uyalijua hili.
Ukiwa 10+ ,20+ unaona kama utaishi milele ila ngoja uanze kugusa 30+,40+
Kweli tunatofautiana, kwangu sharti gumu apo kutodindisha apo kwa kweli bora niukose huo utajiri.Daa mkuu ungechoma kweli Ungekuwa ni tajiri pia mie kuna mmoja aliniambia Mara Niue Mke Wangu,Mara mwanangu ama mwanangu awe kama mento yule Wa kutoa maudenda mkuu.
Duu nikawaza nikaona dunia tunapita. Uzuri zile mambo akili yako timamu inakuwepo so ni Poa Sana.
Ila mie natafuta Wa kuvaa nguo moja miaka hata mia,nilale chini ama nisidinde yaani kuua tu kunanishinda na mwanangu nampenda eti nimuue kwani utajiri huo sintokufa.
Maisha ya binadamu hapa duniani ni mafupi mno yaani mno kuna muda utafika uyalijua hili.
Ukiwa 10+ ,20+ unaona kama utaishi milele ila ngoja uanze kugusa 30+,40+
Dr vincent normal pelle say thisporojo. Nani alikuambia mafanikio yanakuja kwa kununua kuku..ndivyo mnavyodanganywa na manabii uchwara ? Poleni sana. Narudia kusema uamuzi wa kuupigania uwe maskini kwa nguvu zako zote unao, na kuupigania utajiri uwe nao kwa nguvu zote unao. Wengi ni mafukara sababu wameamua kua mafukara, vilevile wengi na matajiri sababu wameamua kua matajiri.
Sent using Jamii Forums mobile app