Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Mamba anameza maji tu vingine lazima avitafune tafune kwanza au avipukutishe viwe vidogo aweze kuvimeza... so kama ni Mtoto lazima amvunje kichwa kwa kukibastisha... hapo Chizi kweli Maalifa sema hadithi njoo uongo njoo utamu kolea
Umeambiwa mamba wa kichawi mkuu sijui unaelewa mkuu.
 
Ziwa Tanganyika hapo zamani ilikuwa ni kawaida wazee wanafuga mamba zao humu kama mgeni au familia ya kinyonge unamezwa na mamba tu.

Kwahiyo usishangae hiyo ni kawaida tu.
Hata katika fukwe za Ziwa victoria watabe wengi walifuga mamba zao na kuzitumia katika ulozi hususan Sengerema ya zamani, huko vusiwani na ukerewe.
 
Back
Top Bottom