Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Sio poa. Come back Chizi Maarifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa mkuu. Hii ni album yangu bora ya muongo (2010-2020).Distant Relatives hii ni album moja kali sana
BabY miss u.Au wamemroga nn?
Pole mkuu kwa hayo unayopitia ila sema binadam hawajui vita unayopigana hata hivyo hakuna aliye kuomba useme haya umeamua mwenyewe so nikuheshimianaNapokea vitisho toka juzi.najitahidi but nakuwa na wakati mgumu. Na wengine mpaka wanaandika mambo ya kipuuzi. Kama unaona nimetunga achana na story. Na wala silazimishi mtu aamini.mi silipwi chochote kile na sihitaji pesa yà mtu.watu wajiheshimu hamjui changamoto za ku reveal haya mambo. Na msidhani wanapenda yajulikane
View attachment 1689137
Achana nao mzee wewe chapa kazi siku hizi jf imevamiwa na vibaka.Why mnifuate PM kunitukana as if nimetumia pesa zenu? Natumia simu yangu,najiwekea bundle,natumia muda wangu. Sijaomba anything from yu. Still watu wanakuja andika texts za hovyo kwangu. Its just ok hamna shida.
Mkuu wahi Basi ! Mpaka tumemaliza popcorn zteNITARUDI. NITAZUNGUMZIA MPAKA JAMAA YANGU ALIYEAMUA KUFANYA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA KWA KUTUMIA USHIRIKINA.
🤣🤣🤣Mkuu wahi Basi ! Mpaka tumemaliza popcorn zte
Hata kule visiwani Ukerewe hiyo staili ipo sanaZiwa Tanganyika hapo zamani ilikuwa ni kawaida wazee wanafuga mamba zao humu kama mgeni au familia ya kinyonge unamezwa na mamba tu.
Kwahiyo usishangae hiyo ni kawaida tu.
Utarudi lini?NITARUDI. NITAZUNGUMZIA MPAKA JAMAA YANGU ALIYEAMUA KUFANYA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA KWA KUTUMIA USHIRIKINA.