Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Napokea vitisho toka juzi.najitahidi but nakuwa na wakati mgumu. Na wengine mpaka wanaandika mambo ya kipuuzi. Kama unaona nimetunga achana na story. Na wala silazimishi mtu aamini.mi silipwi chochote kile na sihitaji pesa yà mtu.watu wajiheshimu hamjui changamoto za ku reveal haya mambo. Na msidhani wanapenda yajulikane
Screenshot_20210129-155657~3.png
 
View attachment 1689137
Pole mkuu kwa hayo unayopitia ila sema binadam hawajui vita unayopigana hata hivyo hakuna aliye kuomba useme haya umeamua mwenyewe so nikuheshimiana
 
Why mnifuate PM kunitukana as if nimetumia pesa zenu? Natumia simu yangu,najiwekea bundle,natumia muda wangu. Sijaomba anything from yu. Still watu wanakuja andika texts za hovyo kwangu. Its just ok hamna shida.
 
Back
Top Bottom