mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Mjadala bado mzito. Mie nikiri wazi nimeishi Kondoa, Shinyanga, Bariadi sijawahi kuuona uchawi ni story Tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongoz acha kubisha!! nimeshuudia kuna watu walikua wapo ulaya na marekani huko hawataki kururi makwao Tz!! Walikua wanavutwa kurudi..mbona walirudi Tz!! kitu kinafanyika huku watu wanapanga mabegi huko..Uwezekano wa wewe kuvutwa ni rahis sana kama kunywa maji!!Si boarding school wala mtaani nimeona uchawi zaidi ya story za kusadikika kama hii. Acheni uzwazwa nyie mitanganyika.
Oya a mkuu, kama una zungumzia Mzindakaya huyo level nyingine kabisa yaani ni world classKuna yule alikuwa Mkuu wa Mkoa toka Sumbawanga ambaye amefariki miezi michache iliyopita,alipimana ubavu kichawi na wazee wa Ujiji ngoma ikawa droo wakaanza kuheshimiana
Baba levoYeyote atayenipa jina la huyo Diwani nampa 500k taslim TSH. Jina tu ili nithibitishe uhalali wa hii habari.
NB: Diwani ni ofisi ya umma na jina lake ni public record.
Hili atajibu mtoa mada,na pia huenda asimjibu kwa maslahi ya kulinda heshima ya muhusika au akamfata faragha.
Sasa hiki ndiyo kituko unapingaje jambo ambalo hulifahamu ? Kaa fikiria huu ujinga sijui mnaupata wapi ? Yaani jambo hulijui halafu unalipinga ?
Shida watu hawajitambui,kuna mtu hajui na hajui kama hajui na yeye anajiona anajua.
Hapa sharti yeye anatakiwa akiri ya kuwa hajui kisha ahoji afahamishwe siyo kupinga.
Lakini katika elimu za mijadala anaye pinga ndiyo hutangulizwa na huonyesha ya kuwa anajua,maana yake anayepinga kuhusu uchawi anatakiwa athibitishe ya kuwa uchawi haupo huenda yeye akawa na ziada ya elimu.
Sasa kwanini upinge ya kuwa mtu huyo hayupo ? Hivi unakielewa ulichokiandika ?
Usahihi kabla ya kupinga unatakiwa uhoji.
Hapa nitakufundisha mimi sasa kuhusu Imani. Huwezi kuitenganisha Imani na kujua.
Unapo amini jambo fulani halipo inamaanisha wewe unalijua jambo hilo. Sasa vipi tena ulihusishe na kutokujua ?
Sasa kama unakiri hilo,nguvu ya kupinga unaipata wapi ? Uwe unajibu maswali ninayo kuuliza.
Msingi wa hoja ni kuwa mtu huyo haujui uchawi vipi apinge kutokuwepo kwake badala yake alitakiwa athibitishe juu ya kutokuwepo kwa uchawi. Kupinga kitu usicho kijua ni uchizi ns uhayawani na kuikosea adabu elimu na watu wake.
Sasa kwanini haamini kitu amacho hakijui wala hawezi kukithibitisha ? Unakubali kama imani inathibitishwa ?
Sasa swali la msingi kwanini upinge juu ya kutokuwepo kwake hali ya kuwa humjui ? Naandika Kiswahili chepesi sana ajabu unakimbia maswali.
Sasa ndiyo ajenge hoja na kuthibisha hicho anacho kiamini,kila kitu kinataka elimu.
Wenye elimu na wajuzi hawakuwahi kupinga juu ya kitu ambacho hawakijiu zaidi ya kuhoji na kufanya utafiti.
Jf kuna vituko sana.
Kama anaamini hakuna uchawi ni wazi anatakiwa kuthibitisha juu ya kutokuwepo kwake.
Unajua Imani nini ? Imani inaambatana na ithibati na kusadikisha juu ya jambo fulani kwenye kusadikisha kuna uthibotisho.
Chai jabaNina rafk yangu alishawahi kushuhudia watu watatu waliokua wanatembea pamoja wakayeyuka tena hakushuhudia peke yake alishuhudia wakiwa na wana Kama wanne hiv kila mmoja akatoka nduki
Nikweli,mfano mkoa wa mbeya,katavi,kote Waislamu hukoJamii yoyote iliyojaa waislam Hayo Mambo Ni kawaida
Kwamba we unasema uchawi haupo??Toa jina it's that simple. Udiwani ni public office therefore there names are public record. Acha kudanganya watu na story za kusadikika.
wewe kenge jina la diwani NI Mrisho KabweNimefika Kigoma countless times na the latest nimeenda ni mwaka huu huu hadi Manyovu kule mpakani na Burundi so naifahamu Kigoma na Tz kwa ujumla vizuri tu sio kama nyie mnaosimuliwa hapa. Hakuna jambo la ajabu lolote nililoshuhudia zaidi ya hizi story zenu za hearsay.
Story za Musa na Mungu wako uliyeletewa na mizungu/miarabu kwa viboko na mijeredi ni story za kusadikika kama hii hapa au Ile ya Kiyeyeu Isimila Iringa, wasimulie wenzako mnaoabudu nao hiyo mizungu na miarabu.
wewe kenge jina la diwani NI Mrisho Kabwe
Umekisoma hiki ulicho kiandika ? Unaonyesha una upeo mdogo sana wa kujua maana za maneno na kuyatofautisha.Kama hujui ni hujui, hakuna la kuthibitisha na ni sahihi kusema halipo maana hulijui. Sasa anayelijua atakuja na kuthibitisha kuwa analoliongea lipo.
Wale wote wenye ujuzi juu ya jambo hili tunalo kijadili.Halafu wenye elimu na ujuzi ni kina nani unaowazungumzia? Hiyo elimu ni ipi?
Hili tatizo lingine unatoa mfano ambao haukai katika hili tunalo lijadili. Mfano sahihi ni huu.Ni sawa na mkuu wa kituo cha afya kumwambia mgonjwa aliyechomwa nusu kaputi athibitishe kuwa daktari anayeenda kumfanyia operation ni mtaalam na hatafanya makosa.
Thibitisha uongo wangu uko wapi ? Mpaka unakufa huwezi kuthibitisha uongo nilio uandika hapa. Msiwe mnaleta utoto katika mada zinazo hitaji elimu na maarifa.Wewe ni binadamu muongo, unafundisha uongo ..
Kijana unachekesha sana. Kwahiyo kils ambacho hukijui hakipo ? Kuendelea kujadiliana na mtu kama wewe ni kupoteza muda.Kama hujui, ni hujui hilo usilolijua halipo na huwezi kuliamini wala kuthibitisha kwamba halipo maana hulijui, hujawahi kuliona kwako ni jambo lisilokuwepo.
huyo mpuuzi aliyeshambuliwa msalabani Kama kibaka wa tandale ndio mungu wako!! Ooh,pole Sanaa!
Embu tuchane na magazeti.Umekisoma hiki ulicho kiandika ? Unaonyesha una upeo mdogo sana wa kujua maana za maneno na kuyatofautisha.
Nani amekwambia kwamba kama jambo hulijui ni sahihi kusema "Halipo" ? Una akili timamu ?
Haya ndiyo matatizo ya kujadiliana na watu wajinga.
Unawezaje kupinga jambo ambalo hulijui ? Uwe una jibu maswali ninayo kuuliza.
Wale wote wenye ujuzi juu ya jambo hili tunalo kijadili.
Hiyo Elimu ni Uchawi na mfano wake.
Hili tatizo lingine unatoa mfano ambao haukai katika hili tunalo lijadili. Mfano sahihi ni huu.
Mimi : Unamjua Mubarridi ?
Wewe : Simjui,ila hakuna mtu anayeitwa Mubarridi.
Mimi : Umejuaje kama Mubarrdi hayupo ?
Swali hili utalijibu vipi ?
Huu ndiyo uchizi ulio nao yaani mlio nao.
Sasa swali huyo mgonjwa amepinga juu ya uwepo wa huyo daktari na unawezaje kumuuliza mgonjwa wa nusu kaputi swali hilo ? Vijana mnafikiri kitoto sana,kwa ufikiriaji wa namna hii si ajabu mpinge juu ya kuwepo kwa Uchawi. Hata kutoa kuweka mifani mahala pake nako hamuwezi.
Hujui kuwa mm ni kijana au la. Tuachane na porojo naomba nijibu swali la tafiti pasipo nadharia na kama unaweza thibitisha nadharia usiyoijua katika tafiti. Nijibu Kwa ufupi tafadhali.Thibitisha uongo wangu uko wapi ? Mpaka unakufa huwezi kuthibitisha uongo nilio uandika hapa. Msiwe mnaleta utoto katika mada zinazo hitaji elimu na maarifa.
Kijana unachekesha sana. Kwahiyo kils ambacho hukijui hakipo ? Kuendelea kujadiliana na mtu kama wewe ni kupoteza muda.
Ngoja nikuulize swali usiulize mtu wala usigoogle hiki kitu ninacho kuuliza kisha unaimbia unakijua au hukijui. Unaijua CIBANO 500 au ushawahi kuiona ?
😀😀😀Mambo yote chezea lkn pesa c mchezoo Bro Bufa mpatie sadaka Mama Kubwa dah bongo vyuma vimebana na nyengine wapatie JF kama mchango wako.Nimetunga Tu ili kustawisha mjadala. Ni kweli Nina shida lakini siwezi kuchukua Kwa namna hii nilikuwa nastawisha Uzi Tu hata Jina nimetunga SASA hivi.
aisee vyuma vimekaza😀😀😀Mambo yote chezea lkn pesa c mchezoo Bro Bafu mpatie sadaka Mama Kubwa dah bongo vyuma vimebana na nyengine wapatie JF kama mchango wako.