Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

Sina tatizo na imani ya mtu Ila kama huamini uchawi upo hata uwepo wa MUNGU pia hutakiwi kuuamini. Unatakiwa ujikite kwenye sayansi.

Wapi nimemuongelea Mungu?
 
Hii si hoja kabisa na hili halionyeshi ya kuwa tukio halikuwahi kutokea,kutaja jina au kinyume chake,wahusika wanaweza wasitaje kwa kulinda heshima ya mtu.

Muulize mtoa mada swali hili,usiniulize mimi,mimi nataka nikuonyeshe ya kuwa uchawi upo na ni uhalisia.

Hapa nikikuuliza tu Uchawi ni nini,mpaka unakufa huwezi kujibu,halafu muda huo huo unakataa kuhusu uchawi. Sijui elimu zenu mlizosoma zimewafundisha kuhoji kichwa mchunga ?

Acha uzwazwa jina la diwani linafichwa toka lini?

Kwanini mnatumia nguvu nyingi kuficha information afu mnataka watu waamini bila kutumia bongo sio kila mtu ni nyumbu wengine seeing is believing hatuamini story za kusadikika.

Huna jina piga kimya.
 
Ukimpa jina na eneo ana njia zake za kuthibitisha uhalali wa habari.
Hili atajibu mtoa mada,na pia huenda asimjibu kwa maslahi ya kulinda heshima ya muhusika au akamfata faragha.
Kutokufahamu uchawi ni sababu kuu ya yeye kupinga kuwa upo,
Sasa hiki ndiyo kituko unapingaje jambo ambalo hulifahamu ? Kaa fikiria huu ujinga sijui mnaupata wapi ? Yaani jambo hulijui halafu unalipinga ?

Shida watu hawajitambui,kuna mtu hajui na hajui kama hajui na yeye anajiona anajua.
sasa inatakiwa wewe unayeufahamu umthibitishie maana yeye haufahamu.
Hapa sharti yeye anatakiwa akiri ya kuwa hajui kisha ahoji afahamishwe siyo kupinga.

Lakini katika elimu za mijadala anaye pinga ndiyo hutangulizwa na huonyesha ya kuwa anajua,maana yake anayepinga kuhusu uchawi anatakiwa athibitishe ya kuwa uchawi haupo huenda yeye akawa na ziada ya elimu.
Unaweza kuthibitisha kumfahamu mtu ambaye hujawahi kumuona wala kukutana nae?
Sasa kwanini upinge ya kuwa mtu huyo hayupo ? Hivi unakielewa ulichokiandika ?

Usahihi kabla ya kupinga unatakiwa uhoji.
 
Acha uzwazwa jina la diwani linafichwa toka lini?

Kwanini mnatumia nguvu nyingi kuficha information afu mnataka watu waamini bila kutumia bongo sio kila mtu ni nyumbu wengine seeing is believing hatuamini story za kusadikika.

Huna jina piga kimya.
Swali Diwani amehusishwa na tukio gani ? Mkiwa mnasomeshwa muwe mnaomba mfundishwe na adabu.

Nachotaka hapa unithibitishie ya kuwa hakuna uchawi na hilo tukio halijawahi kutokea ? Kwenye habari jina la Diwani ni sehemu ndogo ya habari,ambayo ukitumia njia nzuri atakwambia.
 
Bufa nitumie kimba lako nikugeuze uwe Nnya aka mavi

Mchawi anaomba tena si mnasema wachawi are omnipotence (all power) Yani wananguvu zote wanaweza kufufua, kuyeyuka, kupotea nk. Inakuaje wanashindwa kupata kimba bila kupewa? Make it make sense.
 
Hili atajibu mtoa mada,na pia huenda asimjibu kwa maslahi ya kulinda heshima ya muhusika au akamfata faragha.

Sasa hiki ndiyo kituko unapingaje jambo ambalo hulifahamu ? Kaa fikiria huu ujinga sijui mnaupata wapi ? Yaani jambo hulijui halafu unalipinga ?

Shida watu hawajitambui,kuna mtu hajui na hajui kama hajui na yeye anajiona anajua.

Hapa sharti yeye anatakiwa akiri ya kuwa hajui kisha ahoji afahamishwe siyo kupinga.

Lakini katika elimu za mijadala anaye pinga ndiyo hutangulizwa na huonyesha ya kuwa anajua,maana yake anayepinga kuhusu uchawi anatakiwa athibitishe ya kuwa uchawi haupo huenda yeye akawa na ziada ya elimu.

Sasa kwanini upinge ya kuwa mtu huyo hayupo ? Hivi unakielewa ulichokiandika ?

Usahihi kabla ya kupinga unatakiwa uhoji.
Unakiri hujui jambo ambalo unaamini halipo? Hata tafsiri ya imani itakuwa huifahamu.

Unaandika sana ukiamini unatumia akili kubwa ila kwa ufupi tu ni kuwa kama hujawahi kuona wala kufahamu huwezi thibitisha uwepo wa uchawi na ni sahihi ukisema haupo.

Sasa unataka mtu akubali kuwa uchawi upo sababu wewe ulishawahi kutana nao? Au akiri kuwa hajui kuwa uchawi upo sababu wewe unajua kuwa upo ili umwelimishe kwa porojo za maneno ambayo tayari yeye haamini?

Kama mtu hujawahi muona na humjui inamaana kwenye ulimwengu wako mtu huyo HAYUPO na huna namna ya kuthibitisha uwepo wake.

Masuala ya SIJUI ili nielimishwe ni endapo anataka kufanya utafiti, na akitaka kufanya utafiti tayari ameamini uwezekano kuwa mtu huyo mtu yupo sasa anataka kuthibitisha.

Ila hapa hakuna jibu la sijui, jibu ni kuwa anaamini hakuna UCHAWI, wewe unaamini upo thibitisha yeye kiimani keshahitimisha kuwa hakuna uchawi.
 
Swali Diwani amehusishwa na tukio gani ? Mkiwa mnasomeshwa muwe mnaomba mfundishwe na adabu.

Nachotaka hapa unithibitishie ya kuwa hakuna uchawi na hilo tukio halijawahi kutokea ? Kwenye habari jina la Diwani ni sehemu ndogo ya habari,ambayo ukitumia njia nzuri atakwambia.

Sio kazi Yangu kukuthibitishia uwepo wa uchawi or anything in that matter. Burden of proof anebeba mtoa madai siku zote.

Nahitaji jina la Mh Diwani aliyetajwa kwenye uzi either kahusishwa na uchawi au vinginevyo. Ni ofisi ya umma hivyo ni haki yangu kumjua hata kama sio kwa mambo yahusianayo na ushirikina.

Nitajujibu ukija na Jina kama huna biashara yetu imeishia hapa.
 
Unakiri hujui jambo ambalo unaamini halipo? Hata tafsiri ya imani itakuwa huifahamu.

Unaandika sana ukiamini unatumia akili kubwa ila kwa ufupi tu ni kuwa kama hujawahi kuona wala kufahamu huwezi thibitisha uwepo wa uchawi na ni sahihi ukisema haupo.

Sasa unataka mtu akubali kuwa uchawi upo sababu wewe ulishawahi kutana nao?

Kama mtu hujawahi muona na humjui inamaana kwenye ulimwengu wako mtu huyo HAYUPO na huna namna ya kuthibitisha uwepo wake.

Masuala ya SIJUI ili nielimishwe ni endapo anataka kufanya utafiti, na akitaka kufanya utafiti tayari ameamini uwezekano kuwa mtu huyo mtu yupo sasa anataka kuthibitisha.

Ila hapa hakuna jibu la sijui, jibu ni kuwa anaamini hakuna UCHAWI, wewe unaamini upo thibitisha yeye kiimani keshahitimisha kuwa hakuna uchawi.
je uwepo wa huyo mungu ambae nyie mnamuamini ulishawai kumuona? 100% Pasina shaka ukiona mtu anakataa uwepo wa uchawi ujue huyo ndio mchawi mwenyewe
 
Hapa unaniuliza mm au anayesema hakuna uchawi? Uchawi na MUNGU ni masuala ya kiimani. Fahamu maana ya imani kwanza kisha utamwelewa asiyeamini uchawi upo....

Ukumbuke hata wageni walipokuja Africa, mambo ambayo wazee wetu waliamini ni uchawi, wageni walisema ni teknolojia.

Fahamu maana ya imani ukiweza pia soma kuhusu ubongo wa binadamu na uwezo wake wa kukufanya uone unachoamini.

Wewe unaweza tembea usiku ukaona mgomba umesimama mbele yako ila mwenzako akauona huo mgomba ni mtu amesimama na akaanza kukimbia.
 
Ukambani Kenya, unavutwa kwenye maji mzimamzima, unatobolewa na sindano kifuani na hapo ulipo popote duniani unakufa.
 
Ndo maana nakukubali mchizi wangu 😄 bora tupige vyombo tu kuliko kubishana na hawa wadanyanyika.
Hawa wakatwe tozo ya uzwazwa

Kabisa tucheze na amapiano tu
Tatizo elimu ilichelewa watu wanaamini sana uchawi kwasababu vizazi vilivyopita waliamin mno
 
Unakiri hujui jambo ambalo unaamini halipo? Hata tafsiri ya imani itakuwa huifahamu.
Hapa nitakufundisha mimi sasa kuhusu Imani. Huwezi kuitenganisha Imani na kujua.

Unapo amini jambo fulani halipo inamaanisha wewe unalijua jambo hilo. Sasa vipi tena ulihusishe na kutokujua ?
Unaandika sana ukiamini unatumia akili kubwa ila kwa ufupi tu ni kuwa kama hujawahi kuona wala kufahamu huwezi thibitisha uwepo wa uchawi na ni sahihi ukisema haupo.
Sasa kama unakiri hilo,nguvu ya kupinga unaipata wapi ? Uwe unajibu maswali ninayo kuuliza.
Sasa unataka mtu akubali kuwa uchawi upo sababu wewe ulishawahi kutana nao? Au akiri kuwa hajui kuwa uchawi upo sababu wewe unajua kuwa upo ili umwelimishe kwa porojo za maneno ambayo tayari yeye haamini?
Msingi wa hoja ni kuwa mtu huyo haujui uchawi vipi apinge kutokuwepo kwake badala yake alitakiwa athibitishe juu ya kutokuwepo kwa uchawi. Kupinga kitu usicho kijua ni uchizi ns uhayawani na kuikosea adabu elimu na watu wake.

Sasa kwanini haamini kitu amacho hakijui wala hawezi kukithibitisha ? Unakubali kama imani inathibitishwa ?
Kama mtu hujawahi muona na humjui inamaana kwenye ulimwengu wako mtu huyo HAYUPO na huna namna ya kuthibitisha uwepo wake.
Sasa swali la msingi kwanini upinge juu ya kutokuwepo kwake hali ya kuwa humjui ? Naandika Kiswahili chepesi sana ajabu unakimbia maswali.
Masuala ya SIJUI ili nielimishwe ni endapo anataka kufanya utafiti, na akitaka kufanya utafiti tayari ameamini uwezekano kuwa mtu huyo mtu yupo sasa anataka kuthibitisha.
Sasa ndiyo ajenge hoja na kuthibisha hicho anacho kiamini,kila kitu kinataka elimu.

Wenye elimu na wajuzi hawakuwahi kupinga juu ya kitu ambacho hawakijiu zaidi ya kuhoji na kufanya utafiti.

Jf kuna vituko sana.
Ila hapa hakuna jibu la sijui, jibu ni kuwa anaamini hakuna UCHAWI, wewe unaamini upo thibitisha yeye kiimani keshahitimisha kuwa hakuna uchawi.
Kama anaamini hakuna uchawi ni wazi anatakiwa kuthibitisha juu ya kutokuwepo kwake.

Unajua Imani nini ? Imani inaambatana na ithibati na kusadikisha juu ya jambo fulani kwenye kusadikisha kuna uthibotisho.
 
Sio kazi Yangu kukuthibitishia uwepo wa uchawi or anything in that matter. Burden of proof anebeba mtoa madai siku zote.

Nahitaji jina la Mh Diwani aliyetajwa kwenye uzi either kahusishwa na uchawi au vinginevyo. Ni ofisi ya umma hivyo ni haki yangu kumjua hata kama sio kwa mambo yahusianayo na ushirikina.

Nitajujibu ukija na Jina kama huna biashara yetu imeishia hapa.
Kwa ufupi tu mpaka unakufa huwezi kuthibitisha ya kuwa hakuna UCHAWI.

Hata mtoa mada akupe majina yote ya muhusika na uzao wake,hutaweza kuthibitisha ya kuwa hakuna UCHAWI.

Sasa kama hata uchawi huujui ni kitu,kuthibitisha juu ya kutokuwepo kwake huwezi.
 
je uwepo wa huyo mungu ambae nyie mnamuamini ulishawai kumuona? 100% Pasina shaka ukiona mtu anakataa uwepo wa uchawi ujue huyo ndio mchawi mwenyewe
Kweli hili nimelishuhudia. Ukiona mtu anabisha kuhusu uchawi wengi huwa wanakuwa ni wachawi wenyewe.

Kuna jamaa mmoja alikuwa anaroga familia yao halafu kwenye vikao vya familia akawa anawaambia msiwe na imani potofu. Jamaa limeua watoto wa dada zake karibia wote hadi walipokuja kulikamata ndio likaumbuka.

Kwenye vikao lilikuwa linawaonya dada zake wasiamini uchawi kumbe watoto linakula lenyewe na wachawi wenzie.
 
Back
Top Bottom