Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Sina tatizo na imani ya mtu Ila kama huamini uchawi upo hata uwepo wa MUNGU pia hutakiwi kuuamini. Unatakiwa ujikite kwenye sayansi.
Wapi nimemuongelea Mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina tatizo na imani ya mtu Ila kama huamini uchawi upo hata uwepo wa MUNGU pia hutakiwi kuuamini. Unatakiwa ujikite kwenye sayansi.
Hehehe
Uchawi ungekuwepo hata sisi tungekuwa tushaona lakin ni stori tu kuthibitisha hawawezi
Hii si hoja kabisa na hili halionyeshi ya kuwa tukio halikuwahi kutokea,kutaja jina au kinyume chake,wahusika wanaweza wasitaje kwa kulinda heshima ya mtu.
Muulize mtoa mada swali hili,usiniulize mimi,mimi nataka nikuonyeshe ya kuwa uchawi upo na ni uhalisia.
Hapa nikikuuliza tu Uchawi ni nini,mpaka unakufa huwezi kujibu,halafu muda huo huo unakataa kuhusu uchawi. Sijui elimu zenu mlizosoma zimewafundisha kuhoji kichwa mchunga ?
Nasikiaga penzi na mke wa mtu ni taaam balaaa...!! 😀😀Yule bwana Raia alipata taarifa. Akanyamaza. Diwani akafikia hatua akaona aoe kabisa mke wa jamaa.
Umesoma nilichoandika maandishi yakaeleza kuwa umemwongelea Mungu?Wapi nimemuongelea Mungu?
Hili atajibu mtoa mada,na pia huenda asimjibu kwa maslahi ya kulinda heshima ya muhusika au akamfata faragha.Ukimpa jina na eneo ana njia zake za kuthibitisha uhalali wa habari.
Sasa hiki ndiyo kituko unapingaje jambo ambalo hulifahamu ? Kaa fikiria huu ujinga sijui mnaupata wapi ? Yaani jambo hulijui halafu unalipinga ?Kutokufahamu uchawi ni sababu kuu ya yeye kupinga kuwa upo,
Hapa sharti yeye anatakiwa akiri ya kuwa hajui kisha ahoji afahamishwe siyo kupinga.sasa inatakiwa wewe unayeufahamu umthibitishie maana yeye haufahamu.
Sasa kwanini upinge ya kuwa mtu huyo hayupo ? Hivi unakielewa ulichokiandika ?Unaweza kuthibitisha kumfahamu mtu ambaye hujawahi kumuona wala kukutana nae?
Swali Diwani amehusishwa na tukio gani ? Mkiwa mnasomeshwa muwe mnaomba mfundishwe na adabu.Acha uzwazwa jina la diwani linafichwa toka lini?
Kwanini mnatumia nguvu nyingi kuficha information afu mnataka watu waamini bila kutumia bongo sio kila mtu ni nyumbu wengine seeing is believing hatuamini story za kusadikika.
Huna jina piga kimya.
Bufa nitumie kimba lako nikugeuze uwe Nnya aka maviChizi Maarifa Atoe jina tu nakurushia muamala instantly believe me you.
I have a lot to lose kupoteza hii account kuliko kutoa 500k. Acc yangu sio mpya kama yako.
Umesoma nilichoandika maandishi yakaeleza kuwa umemwongelea Mungu?
Unakiri hujui jambo ambalo unaamini halipo? Hata tafsiri ya imani itakuwa huifahamu.Hili atajibu mtoa mada,na pia huenda asimjibu kwa maslahi ya kulinda heshima ya muhusika au akamfata faragha.
Sasa hiki ndiyo kituko unapingaje jambo ambalo hulifahamu ? Kaa fikiria huu ujinga sijui mnaupata wapi ? Yaani jambo hulijui halafu unalipinga ?
Shida watu hawajitambui,kuna mtu hajui na hajui kama hajui na yeye anajiona anajua.
Hapa sharti yeye anatakiwa akiri ya kuwa hajui kisha ahoji afahamishwe siyo kupinga.
Lakini katika elimu za mijadala anaye pinga ndiyo hutangulizwa na huonyesha ya kuwa anajua,maana yake anayepinga kuhusu uchawi anatakiwa athibitishe ya kuwa uchawi haupo huenda yeye akawa na ziada ya elimu.
Sasa kwanini upinge ya kuwa mtu huyo hayupo ? Hivi unakielewa ulichokiandika ?
Usahihi kabla ya kupinga unatakiwa uhoji.
Swali Diwani amehusishwa na tukio gani ? Mkiwa mnasomeshwa muwe mnaomba mfundishwe na adabu.
Nachotaka hapa unithibitishie ya kuwa hakuna uchawi na hilo tukio halijawahi kutokea ? Kwenye habari jina la Diwani ni sehemu ndogo ya habari,ambayo ukitumia njia nzuri atakwambia.
je uwepo wa huyo mungu ambae nyie mnamuamini ulishawai kumuona? 100% Pasina shaka ukiona mtu anakataa uwepo wa uchawi ujue huyo ndio mchawi mwenyeweUnakiri hujui jambo ambalo unaamini halipo? Hata tafsiri ya imani itakuwa huifahamu.
Unaandika sana ukiamini unatumia akili kubwa ila kwa ufupi tu ni kuwa kama hujawahi kuona wala kufahamu huwezi thibitisha uwepo wa uchawi na ni sahihi ukisema haupo.
Sasa unataka mtu akubali kuwa uchawi upo sababu wewe ulishawahi kutana nao?
Kama mtu hujawahi muona na humjui inamaana kwenye ulimwengu wako mtu huyo HAYUPO na huna namna ya kuthibitisha uwepo wake.
Masuala ya SIJUI ili nielimishwe ni endapo anataka kufanya utafiti, na akitaka kufanya utafiti tayari ameamini uwezekano kuwa mtu huyo mtu yupo sasa anataka kuthibitisha.
Ila hapa hakuna jibu la sijui, jibu ni kuwa anaamini hakuna UCHAWI, wewe unaamini upo thibitisha yeye kiimani keshahitimisha kuwa hakuna uchawi.
je uwepo wa huyo mungu ambae nyie mnamuamini ulishawai kumuona? 100% Pasina shaka ukiona mtu anakataa uwepo wa uchawi ujue huyo ndio mchawi mwenyewe
Hapa unaniuliza mm au anayesema hakuna uchawi? Uchawi na MUNGU ni masuala ya kiimani. Fahamu maana ya imani kwanza kisha utamwelewa asiyeamini uchawi upo....je uwepo wa huyo mungu ambae nyie mnamuamini ulishawai kumuona? 100% Pasina shaka ukiona mtu anakataa uwepo wa uchawi ujue huyo ndio mchawi mwenyewe
Hawa wakatwe tozo ya uzwazwa
Kabisa tucheze na amapiano tuNdo maana nakukubali mchizi wangu 😄 bora tupige vyombo tu kuliko kubishana na hawa wadanyanyika.
Hawa wakatwe tozo ya uzwazwa
Hapa nitakufundisha mimi sasa kuhusu Imani. Huwezi kuitenganisha Imani na kujua.Unakiri hujui jambo ambalo unaamini halipo? Hata tafsiri ya imani itakuwa huifahamu.
Sasa kama unakiri hilo,nguvu ya kupinga unaipata wapi ? Uwe unajibu maswali ninayo kuuliza.Unaandika sana ukiamini unatumia akili kubwa ila kwa ufupi tu ni kuwa kama hujawahi kuona wala kufahamu huwezi thibitisha uwepo wa uchawi na ni sahihi ukisema haupo.
Msingi wa hoja ni kuwa mtu huyo haujui uchawi vipi apinge kutokuwepo kwake badala yake alitakiwa athibitishe juu ya kutokuwepo kwa uchawi. Kupinga kitu usicho kijua ni uchizi ns uhayawani na kuikosea adabu elimu na watu wake.Sasa unataka mtu akubali kuwa uchawi upo sababu wewe ulishawahi kutana nao? Au akiri kuwa hajui kuwa uchawi upo sababu wewe unajua kuwa upo ili umwelimishe kwa porojo za maneno ambayo tayari yeye haamini?
Sasa swali la msingi kwanini upinge juu ya kutokuwepo kwake hali ya kuwa humjui ? Naandika Kiswahili chepesi sana ajabu unakimbia maswali.Kama mtu hujawahi muona na humjui inamaana kwenye ulimwengu wako mtu huyo HAYUPO na huna namna ya kuthibitisha uwepo wake.
Sasa ndiyo ajenge hoja na kuthibisha hicho anacho kiamini,kila kitu kinataka elimu.Masuala ya SIJUI ili nielimishwe ni endapo anataka kufanya utafiti, na akitaka kufanya utafiti tayari ameamini uwezekano kuwa mtu huyo mtu yupo sasa anataka kuthibitisha.
Kama anaamini hakuna uchawi ni wazi anatakiwa kuthibitisha juu ya kutokuwepo kwake.Ila hapa hakuna jibu la sijui, jibu ni kuwa anaamini hakuna UCHAWI, wewe unaamini upo thibitisha yeye kiimani keshahitimisha kuwa hakuna uchawi.
Kwa ufupi tu mpaka unakufa huwezi kuthibitisha ya kuwa hakuna UCHAWI.Sio kazi Yangu kukuthibitishia uwepo wa uchawi or anything in that matter. Burden of proof anebeba mtoa madai siku zote.
Nahitaji jina la Mh Diwani aliyetajwa kwenye uzi either kahusishwa na uchawi au vinginevyo. Ni ofisi ya umma hivyo ni haki yangu kumjua hata kama sio kwa mambo yahusianayo na ushirikina.
Nitajujibu ukija na Jina kama huna biashara yetu imeishia hapa.
Kweli hili nimelishuhudia. Ukiona mtu anabisha kuhusu uchawi wengi huwa wanakuwa ni wachawi wenyewe.je uwepo wa huyo mungu ambae nyie mnamuamini ulishawai kumuona? 100% Pasina shaka ukiona mtu anakataa uwepo wa uchawi ujue huyo ndio mchawi mwenyewe