Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

Yeyote atayenipa jina la huyo Diwani nampa 500k taslim TSH. Jina tu ili nithibitishe uhalali wa hii habari.

NB: Diwani ni ofisi ya umma na jina lake ni public record.
Ni diwani wa huko kigoma mkuu, kwenye waganga waliokubuhu nchi hii
 
Bufa ishu ni simple CHUKUA iyo laki 5 Yako......Nenda kigoma field then uje utupe mrejesho......

Musa alitupa fimbo yake ikawa nyoka kwa uwezo wa MUNGU,
Hata farao aliwaita wachawi na washirikina na wao walipo tupa fimbo Zao zikawa nyoka..... Nyoka wa musa aka meza nyoka wengine wote....

This is one among evidences to prove uchawi
Unatumia nguvu kubwa bure. Bufa haamini uchawi upo, labda umloge alogeke ndo mtaelewana.
 
Nimefika Kigoma countless times na the latest nimeenda ni mwaka huu huu hadi Manyovu kule mpakani na Burundi so naifahamu Kigoma na Tz kwa ujumla vizuri tu sio kama nyie mnaosimuliwa hapa. Hakuna jambo la ajabu lolote nililoshuhudia zaidi ya hizi story zenu za hearsay.

Story za Musa na Mungu wako uliyeletewa na mizungu/miarabu kwa viboko na mijeredi ni story za kusadikika kama hii hapa au Ile ya Kiyeyeu Isimila Iringa, wasimulie wenzako mnaoabudu nao hiyo mizungu na miarabu.
 
Ni diwani wa huko kigoma mkuu, kwenye waganga waliokubuhu nchi hii

Nimeomba jina lake tu mkuu ila napigwa chenga hatari. Sikujua udiwani ni siri kiasi hiki watu wanagoma kutoa jina la diwani hata kwa hela ila hao hao wanataka mishahara ya wabunge na viongozi iwekwe wazi. Smh
 
Hahaaa Hapo pa kutaja sasa ni mtihani maana kigoma ni kubwa sana loh
 
Unatumia nguvu kubwa bure. Bufa haamini uchawi upo, labda umloge alogeke ndo mtaelewana.

Ewaaa now you're talking.

Hii midanganyika kuniloga haiwezi hata kutoa jina la diwani haiwezi sijui uchawi wao unaweza Nini?
 
Again, story zote za ushirikina ni hearsay stories, wewe umesimuliwa na aliyekusimulia naye alisimuliwa ukitrace mzizi wake ni mjinga mmoja tu alijitungia na nyie mnaamini kama ilivyo.

Kwa ujinga huu kwenye hayo mafuvu yenu bora serikali iendelee kuongeza kodi tu. Hakuna uchawi
Jamii forum kuna watu wajinga,mfano wewe unapinga juu ya kutokuwepo kwa Uchawi halafu huujui Uchawi nini,kadhalika huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwa uchawi hivi ni vimbwanga vyenye kuchekesha sana.
 
Hahaaa Hapo pa kutaja sasa ni mtihani maana kigoma ni kubwa sana loh

Hata mleta Uzi mwenyewe hana jina kama sio chai hii ni Nini. Story zote za ushirikina zipo namna hii ni hearsay stories.
 
Jamii forum kuna watu wajinga,mfano wewe unapinga juu ya kutokuwepo kwa Uchawi halafu huujui Uchawi nini,kadhalika huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwa uchawi hivi ni vimbwanga vyenye kuchekesha sana.

Okoa nguvu na muda nipe jina la diwani mliyeaminisha na mleta Uzi nithibitishe uhalali wa hii story nikupe laki tano 500,000/= TSH.
 
Nimefika Kigoma countless times na the latest nimeenda ni mwaka huu huu hadi Manyovu kule mpakani na Burundi so naifahamu Kigoma na Tz kwa ujumla vizuri tu sio kama nyie mnaosimuliwa hapa. Hakuna jambo la ajabu lolote nililoshuhudia zaidi ya hizi story zenu za hearsay.
Kutokushuhudia kwako si hoja ya kuthibitisha ya maajabu hayapo au uchawi haupo,huku ni kuhoji kitoto sana.

Kuna namna ya kuhoji na kuhakiki habari,mpaka unajua hii kweli na hii si kweli,inaonekana elimu hiyo huna.

Mimi nimekaa Sumbawanga zaidi ya mwaka na miezi kadhaa,sijawahi kushuhudia tukio la uchawi ila matukio niliyo simuliwa na kuyahakiki nikaona ni kweli tupu.

Uchawi upo na hakuna yeyote anayeweza kutoka kifua mbele na akawa na hoja ya kuthibitisha ya kuwa uchawi haupo zaidi ya mjinga kama wewe usiye na elimu juu ya Uchawi.
 
Okoa nguvu na muda nipe jina la diwani mliyeaminisha na mleta Uzi nithibitishe uhalali wa hii story nikupe laki tano 500,000/= TSH.
Hii si hoja kabisa na hili halionyeshi ya kuwa tukio halikuwahi kutokea,kutaja jina au kinyume chake,wahusika wanaweza wasitaje kwa kulinda heshima ya mtu.

Muulize mtoa mada swali hili,usiniulize mimi,mimi nataka nikuonyeshe ya kuwa uchawi upo na ni uhalisia.

Hapa nikikuuliza tu Uchawi ni nini,mpaka unakufa huwezi kujibu,halafu muda huo huo unakataa kuhusu uchawi. Sijui elimu zenu mlizosoma zimewafundisha kuhoji kichwa mchunga ?
 
Ewaaa now you're talking.

Hii midanganyika kuniloga haiwezi hata kutoa jina la diwani haiwezi sijui uchawi wao unaweza Nini?
Sina tatizo na imani ya mtu Ila kama huamini uchawi upo hata uwepo wa MUNGU pia hutakiwi kuuamini. Unatakiwa ujikite kwenye sayansi.
 
Okoa nguvu na muda nipe jina la diwani mliyeaminisha na mleta Uzi nithibitishe uhalali wa hii story nikupe laki tano 500,000/= TSH.

Weee hiyo pesa hebu tukanywe bia tucheke sie tuongeze siku za kuishi
Watu wanaunganisha matukio unakuta diwani alikuwa anaumwa zake na siku ya kufa imefika
 
Nimeomba jina lake tu mkuu ila napigwa chenga hatari. Sikujua udiwani ni siri kiasi hiki watu wanagoma kutoa jina la diwani hata kwa hela ila hao hao wanataka mishahara ya wabunge na viongozi iwekwe wazi. Smh

Ni stori tu habari za uchawi ni za kusadikika
 
Again, story zote za ushirikina ni hearsay stories, wewe umesimuliwa na aliyekusimulia naye alisimuliwa ukitrace mzizi wake ni mjinga mmoja tu alijitungia na nyie mnaamini kama ilivyo.
Thibitisha ukweli wa hiki ulichokiandika.
 
Mbona sijaona mtu kakuomba hela humu ni kwamba unazo nyingi sana?

1. Laki 5 madafu ain't none nitatoa instantly. Hata wewe ukinipa jina na nikithibitsha nakupa mpunga wako.

2. UDiwani is a public office therefore their names are public record, ilibidi jina la diwani liwekwe wazi bila kuombwa, sababu hawataki kulisema natoa pesa kama motisha ili nipate jina nithibitishe uhalali wa hii habari labda nitaanza kuamini uwepo wa uchawi hata Mimi otherwise hii ni chai kama chai ya majimaji war.
 
Hii si hoja kabisa na hili halionyeshi ya kuwa tukio halikuwahi kutokea,kutaja jina au kinyume chake,wahusika wanaweza wasitaje kwa kulinda heshima ya mtu.

Muulize mtoa mada swali hili,usiniulize mimi,mimi nataka nikuonyeshe ya kuwa uchawi upo na ni uhalisia.

Hapa nikikuuliza tu Uchawi ni nini,mpaka unakufa huwezi kujibu,halafu muda huo huo unakataa kuhusu uchawi. Sijui elimu zenu mlizosoma zimewafundisha kuhoji kichwa mchunga ?
Ukimpa jina na eneo ana njia zake za kuthibitisha uhalali wa habari. Kutokufahamu uchawi ni sababu kuu ya yeye kupinga kuwa upo, sasa inatakiwa wewe unayeufahamu umthibitishie maana yeye haufahamu.
Unaweza kuthibitisha kumfahamu mtu ambaye hujawahi kumuona wala kukutana nae?
 
Back
Top Bottom