Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Kiongoz acha kubisha!! nimeshuudia kuna watu walikua wapo ulaya na marekani huko hawataki kururi makwao Tz!! Walikua wanavutwa kurudi..mbona walirudi Tz!! kitu kinafanyika huku watu wanapanga mabegi huko..Uwezekano wa wewe kuvutwa ni rahis sana kama kunywa maji!!
Kumbe! Basi wanivute nije kesho au waje Times Square NY niwape nywele na mkojo wakaniloge maana kwa story zenu wachawi wanaweza kufanya kila kitu isipokua kupata details za mtu including nywele zake na mkojo wake.