Lover boi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 316
- 439
aisee hadi nashangaaMkuu unavaa hereni kama mwanamke?Au nimeangalia vibaya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee hadi nashangaaMkuu unavaa hereni kama mwanamke?Au nimeangalia vibaya?
Hiyo ni bangi mkuu,,,mimi mwenyewe mwaka 2010 nilikuwa maeneo ya Namanga Arusha,,kwa miaka ile kule bangi ilikuwa inavutwa hadharani kama sigara,mirungi inauzwa hadharani kama matembele,,,siku hiyo tuko na jamaa yangu ambae tulienda nae kule kwa ajili Field pale mpakani yeye alikuwa mkurya anavuta bangi fresh sasa siku hiyo tumepiga Ugimbi bwana kileo kilivonoga wakawasha bangi wakanambia mwenge hauvuki kijiji nikapiga pafu kadhaa muda wa saa sita tunarudi nyumbani tunatembea pembezoni mwa barabara kuu ya Arusha-Nairobi kwa mbali kama mita 100 tukaona watu watatu wanakuja jamaa akanambia umewaona wale nikamwambia ndio akasema wakituzingua tuwatembeze mkong'oto mkali nikwambia sawa gafla kama sekunde 30 jamaa wametufikia wakatuomba kiberiti jamaa akawapa sasa nikawa namuuliza hawa mbona walikuwa mbali wamefikaje haraka hivo kugeuka nyuma jamaa tumeachana muda huo huo tunawaona umbali wa zaidi ya mita 100, yule mwanangu akaanza kukimbia ananiambia wale ni wachawi,,kufika geto jamaa nashangaa anasema kaka nishike napaa napaa napaa[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]lile eneo lilikuwa na miti mingi ule upepo ulivokuwa unavumaa kwenye miti basi jamaa akajua ni mvua kwenye saa tisa akatoka kukinga maji ya mvua asubuhi pamekucha ananiambia aseh jana nimekinga maji ww umelala tu natoka kucheki jua kali hakuna hata tone daah nilicheka sanaa jamaa nae alijiona fala akanambia hajawahi vuta bangi kali vileNina rafk yangu alishawahi kushuhudia watu watatu waliokua wanatembea pamoja wakayeyuka tena hakushuhudia peke yake alishuhudia wakiwa na wana Kama wanne hiv kila mmoja akatoka nduki
Mkuu unavaa hereni kama mwanamke?Au nimeangalia vibaya?
Hakuwa mjamzito bali aliingiziwa kuku kwa ujinga wakuamini ushirikina kama nyie midanganyika mengine. Na sio yeye tu wapo kibao wanaoingiziwa hadi mawe bdae wanasema wamejifungu mawe ilhali hawakuwa wajawazito to begin with.
"Pia amedai, tukio hilo linahusishwa na imani za kishirikina kwa kuwa vipimo vinaonyesha mama huyo hakuwa na dalili yoyote ya ujauzito na haoneshi kama alikuwa na ujauzito."
Jisomee zaidi hapa: Mwanamke ajifungua kuku Kituo cha Afya Uvinza
Tatizo lenu mkisikia story yeyote inayohusu ushirikina mnaamini pasi kufikirisha bongo zenu. Mnaambiwa wachawi wanapaa hamjawahi kuona mtu hata siku moja anapaa ila bado mnaamini kisa tu mnaona waigizaji wamejipaka mikaa makanisani wanadai wameanguka.
Mnaambiwa story za kusadikika za Diwani mnaamini tu kama nyumbu, toeni jina la diwani nithibitishe.
Mh Mwigulu Nchemba anza kutoza tozo za uzwazwa kwa hawa nyumbu.
Mimi sio omba omba, nnaridhika na nnacho kipata tupige tu story humu kila mtu akale jasho lake.
Swala la uchawi kama haupo una shupaa nalo la nini? yaani na elimu yako una komaa na kitu haki exist?
Nikuulize unaweza kuingiza kuku ndani ya tumbo la mtu kupitia uke na asipate madhara ?hapo tuachane na Story za uchawi
Hiyo ni bangi mkuu,,,mimi mwenyewe mwaka 2010 nilikuwa maeneo ya Namanga Arusha,,kwa miaka ile kule bangi ilikuwa inavutwa hadharani kama sigara,mirungi inauzwa hadharani kama matembele,,,siku hiyo tuko na jamaa yangu ambae tulienda nae kule kwa ajili Field pale mpakani yeye alikuwa mkurya anavuta bangi fresh sasa siku hiyo tumepiga Ugimbi bwana kileo kilivonoga wakawasha bangi wakanambia mwenge hauvuki kijiji nikapiga pafu kadhaa muda wa saa sita tunarudi nyumbani tunatembea pembezoni mwa barabara kuu ya Arusha-Nairobi kwa mbali kama mita 100 tukaona watu watatu wanakuja jamaa akanambia umewaona wale nikamwambia ndio akasema wakituzingua tuwatembeze mkong'oto mkali nikwambia sawa gafla kama sekunde 30 jamaa wametufikia wakatuomba kiberiti jamaa akawapa sasa nikawa namuuliza hawa mbona walikuwa mbali wamefikaje haraka hivo kugeuka nyuma jamaa tumeachana muda huo huo tunawaona umbali wa zaidi ya mita 100, yule mwanangu akaanza kukimbia ananiambia wale ni wachawi,,kufika geto jamaa nashangaa anasema kaka nishike napaa napaa napaa[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]lile eneo lilikuwa na miti mingi ule upepo ulivokuwa unavumaa kwenye miti basi jamaa akajua ni mvua kwenye saa tisa akatoka kukinga maji ya mvua asubuhi pamekucha ananiambia aseh jana nimekinga maji ww umelala tu natoka kucheki jua kali hakuna hata tone daah nilicheka sanaa jamaa nae alijiona fala akanambia hajawahi vuta bangi kali vile
Sasa jioni tuko mazoezi uwanjani kuna mmoja ya wale jamaa wa tatu wa usiku akaanza tupa stori ya tulivokutana usiku akatuuliza jana mlikunywa nini?tumekutana tunawaomba kiberiti gafla mkaanza kimbia kuwa mmekutana na wachawi[emoji16][emoji1787]aseh kuanzia siku ile sikuwahi jaribu hata kwa bahati mbaya kuvuta tena bangi
Itikadi zako ni kama za KirangaNimefika Kigoma countless times na the latest nimeenda ni mwaka huu huu hadi Manyovu kule mpakani na Burundi so naifahamu Kigoma na Tz kwa ujumla vizuri tu sio kama nyie mnaosimuliwa hapa. Hakuna jambo la ajabu lolote nililoshuhudia zaidi ya hizi story zenu za hearsay.
Story za Musa na Mungu wako uliyeletewa na mizungu/miarabu kwa viboko na mijeredi ni story za kusadikika kama hii hapa au Ile ya Kiyeyeu Isimila Iringa, wasimulie wenzako mnaoabudu nao hiyo mizungu na miarabu.
Kuna watu ni wajinga hii nchi kama huyu, wee huo muda wa kubishana na kila kitu watu wanacho post unautoa wapi? Hauna kazi za kufanya au? Mbona unakua mbumbumbu mkubwa kiasi iki? Hata kama ni uongo sasa wewe yana kuhusu nini? Si uache tu watu wajisomee wafurahi siku zipite, acha ujinga bana tafuta kazi ya kufanya.Sio kazi Yangu kukuthibitishia uwepo wa uchawi or anything in that matter. Burden of proof anebeba mtoa madai siku zote.
Nahitaji jina la Mh Diwani aliyetajwa kwenye uzi either kahusishwa na uchawi au vinginevyo. Ni ofisi ya umma hivyo ni haki yangu kumjua hata kama sio kwa mambo yahusianayo na ushirikina.
Nitajujibu ukija na Jina kama huna biashara yetu imeishia hapa.
Mmmh hayaja kupaya mkuu. Siku ukija bongo TOA taarifa Tena uwe Mambo Safi halafu tupe taarifa tukuelekeze Nini Cha kufanya ili uone madhara yao!!!Exactly. It's all hearsay. Nothing more to it.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakaa hapo kwa shemeji jion ukivaa malapa na soksi huku umeweka earphones maskion unatafuta na big G unajiona unayajua sana maisha
Ww ndio Chizi Maarifa ?Ndo maana unafi*** unapenda sana dezo dogo.
Ss bufa hapa unajichanganya,kama una amini story za Musa tumeletewa na wazungu ina maana kabla y hapo tulikuwa na iman zetu ambazo ndio kama hizo za kigoma,ss ww upo upande gan hebu kuwa specific. ...Nimefika Kigoma countless times na the latest nimeenda ni mwaka huu huu hadi Manyovu kule mpakani na Burundi so naifahamu Kigoma na Tz kwa ujumla vizuri tu sio kama nyie mnaosimuliwa hapa. Hakuna jambo la ajabu lolote nililoshuhudia zaidi ya hizi story zenu za hearsay.
Story za Musa na Mungu wako uliyeletewa na mizungu/miarabu kwa viboko na mijeredi ni story za kusadikika kama hii hapa au Ile ya Kiyeyeu Isimila Iringa, wasimulie wenzako mnaoabudu nao hiyo mizungu na miarabu.
Ndiyo na wewe ndiyo Amber Rutty?Ww ndio Chizi Maarifa ?
Mmmh hayaja kupaya mkuu. Siku ukija bongo TOA taarifa Tena uwe Mambo Safi halafu tupe taarifa tukuelekeze Nini Cha kufanya ili uone madhara yao!!!
Kuna watu ni wajinga hii nchi kama huyu, wee huo muda wa kubishana na kila kitu watu wanacho post unautoa wapi? Hauna kazi za kufanya au? Mbona unakua mbumbumbu mkubwa kiasi iki? Hata kama ni uongo sasa wewe yana kuhusu nini? Si uache tu watu wajisomee wafurahi siku zipite, acha ujinga bana tafuta kazi ya kufanya.
Ss bufa hapa unajichanganya,kama una amini story za Musa tumeletewa na wazungu ina maana kabla y hapo tulikuwa na iman zetu ambazo ndio kama hizo za kigoma,ss ww upo upande gan hebu kuwa specific. ...