Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

Taratibu jaman! Mie niliyopo Tabata sijaona moshi ndo mniambie Moro mumeona moshi mkubwa angani!
 
Hatari hii
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Hao zimamoto mpaka sasa bado hawajaudhibiti huo mto tu
 
Kwaiyo maji nayotumia mimi kuzima mkaa wangu jikoni, hiyo carbon dioxide inakua imewekwa na nani?

Tueleze wewe ambaye umepitia chemistry ya fom two
Amejichanganya mkuu,
Kila aina ya moto ina aina ya uzimaji wake.

Mfano, huu moto wa mafuta huwezi tumia maji,maana utasababisha usambae zaidi. Labda kama alitaka kuwa na maana ya foam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijua utawaambia waliokaribu waondoke kwenye hayo maeneo. Ila badala yake unataka wakupe taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…