binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
The real gold digger ni yule ambaye anataka mwanamke azae, alee watoto, azalishe mali, achangie kipato, ampe k kila anapohitaji, akiichoka akacheat, akikamatwa asamehewe…!Yaan hata kama nikijijini unakuta mama abebe jembe mzigo wa kuni mtoto mgongoni mwanaume yeye anatembeza kende na baado huyo mama akifika apike afanye kazi zote bado anaonekana hana mchango wowote woiii
Kinacholalamikiwa ni mawazo ya mtu binafsi kwa uzoefu wake , kwenye mazingira yake na hisia zakeKumbe ni maisha ya wawili sasa kina cholalamikiwa hapa ni nini🤣
#ndoa ni utapeli kila mtu akae kwake
Si hua wanasema wenyeweKwani kafungwa mguu asiondoke wewe umejuaje anataabika?
Yani utafagia mbolea ya ng'ombe , jembe utashika , majani ya ng'ombe utakata , maziwa utakamua , ndio maana wazee wetu walishauri tuoe kwenye jamii zetu watu walio lelewa hivyo, sisi ni ubishi wetu tu ndio maana malalamishi yamezidi.The real gold digger ni yule ambaye anataka mwanamke azae, alee watoto, azalishe mali, achangie kipato, ampe k kila anapohitaji, akiichoka akacheat, akikamatwa asamehewe…!
Yooo! reverse role ya mwanaume uone, utasikia kuprovide and to protect lmao! haya basi mna provide? Napo kasheshe bana mi sitaki 😅
Mi mwenyewe sitaki I'm single and happy 🥂The real gold digger ni yule ambaye anataka mwanamke azae, alee watoto, azalishe mali, achangie kipato, ampe k kila anapohitaji, akiichoka akacheat, akikamatwa asamehewe…!
Yooo! reverse role ya mwanaume uone, utasikia kuprovide and to protect lmao! haya basi mna provide? Napo kasheshe bana mi sitaki 😅
Wapo sawa kabisa , na hata wewe unae weza kuondoka pia upo sawa tuSi hua wanasema wenyewe
Kuna watu ni wafia ndoa
Kheri afie ndoani kuliko kuitwa single mother kuondoka sio jambo rahisi kwa wafia ndoa
Hii discussion sio linear, tunaruhusiwa kuleta scenarios, umetoa framework ya mjadala?Sasa Ile reply yako ilikuwa ya nini juu ya kuprovide MANA umekiri pia mwanamke ni provider KATIKA HIZo familia.
Uzuri mmoja kuingia na kutoka kwenye ndoa ni machaguo hauwezi kaa single mpaka kufa wala hakuna wa kukushikia pangaMi mwenyewe sitaki I'm single and happy 🥂
Utasikia mwanamke ku cheat ni jinai
Mwanaume ku cheat ni rijali
Wanatamani hata ukimfumania
Umwangukie miguuni mume wangu nisamehe kwa kukufatilia 😒
Mimi nitakaa mpka kufaa Dady hutokaa uone posa mlangoni kwako😃Uzuri mmoja kuingia na kutoka kwenye ndoa ni machaguo hauwezi kaa single mpaka kufa wala hakuna wa kukushikia panga
Ukiamua hivyo wala huto ona anakuja mtu na panga kukulazimisha mpaka siku utakua kibibi kizeeMimi nitakaa mpka kufaa Dady hutokaa uone posa mlangoni kwako😃
Acha ukorofi, olewa isitirike, subiri ufike 30 uone 🤣 As if 30 ni death sentence.Mi mwenyewe sitaki I'm single and happy 🥂
Utasikia mwanamke ku cheat ni jinai
Mwanaume ku cheat ni rijali
Wanatamani hata ukimfumania
Umwangukie miguuni mume wangu nisamehe kwa kukufatilia 😒
Kibibi kizee single lol😆Ukiamua hivyo wala huto ona anakuja mtu na panga kukulazimisha mpaka siku utakua kibibi kizee
Kwenye familia huwa kuna mgawanyo wa majukumu tu , mama ana majukumu haya na baba anamajukumu mengi na sio kwamba baba walikuwepo tuMiaka yote wanawake wa kiafrika ndio walezi wa familia hata hao wanaochongoa midomo hapa wamesaidiwa pakubwa na mama zao na ilihali baba zao walikuwepo ndani wamejaa teleee
Wapo wengi tu mbona kuna mmoja tukiwa wadogo tulikua tunaenda kucheza nae aligonga 100+Kibibi kizee single lol😆
Baado kidogo nifike 30 😃 kwisha mimiAcha ukorofi, olewa isitirike, subiri ufike 30 uone 🤣 As if 30 ni death sentence.
Mimi kiukweli mambo mengi sana siyaelewi kuhusu binadamu, nipo nimekaa paleee!
Na aligonga mia kwa sababu ya kua single angeolewa huenda asingefikaWapo wengi tu mbona kuna mmoja tukiwa wadogo tulikua tunaenda kucheza nae aligonga 100+
Kuna namna hauna majukumu na vipaumbele vyako ndio maana unapenda kama goigoi 🤔Baado kidogo nifike 30 😃 kwisha mimi
Unasema ndoa ? niolewe ? hayo mahusiano tu bila ndoa siyawezi yananigaragaza kifo cha mende
Je ndoa mahi😆
Shida nina ugonjwa wa kupenda napenda vibayaaa naweza kumla mtu shaba ya kicwa 👈 so sijihusishi na mahusiano nafanya issue zingine
Wanafika vizuri tu bibi yangu mzaa baba ana 116 amekadiriwa hivyo na yupo mpaka sasa mme wake alikufa na 105Na aligonga mia kwa sababu ya kua single angeolewa huenda asingefika
Kuna namna hauna majukumu na vipaumbele vyako ndio maana unapenda kama goigoi 🤔
Wow🥰🥰Wanafika vizuri tu bibi yangu mzaa baba ana 116 amekadiriwa hivyo na yupo mpaka sasa mme wake alikufa na 105