Visingizio vya asili kwa baadhi ya wanawake katika suala la ukosoaji na maendeleo

I am 32….. Mwaya 30s with money, no kid and husband feels exactly like 19.


Wasikudanganye…. mimi i was just being sarcastic huko juu.

But… there’s always but. mi pia napenda mapenzi na nampenda mno mahi wangu.

Lakini jitunze, tunza mwili na afya yako. Be reserved, for one man or celibacy.
 
Usichangie bills unataka uchangie nini katika hiyo 50/50?
 
I am 32….. Mwaya 30s with no kid and husband feels exactly like 19.

Wasikudanganye…. mimi i was just being sarcastic.

But… there’s always but. mi pia napenda mapenzi na nampenda
Mimi nina miaka 27, mwaka huu itafika 28 Kwa sasa sina mahusiano ya kimapenzi na honestly sihitaji, and I’m okay with that Ila sometimes usiku huwa mrefu sana Hongera kwako kwa kuwa na hubby, enjoy your moments together
 
Kwamba lazima usipoolewa upate trauma? kwan lazima wote tuwe na mitazamo sawa?
Ndoa sio lazima ✅️
Ataoa anaetaka ✅️
Ataolewa anaetaka ✅️
Simple like that 👌
Wapi nimesema usipo olewa lazima upate trauma?

Nimekuambia kama unaacha kuolewa kisa unapenda sana unaogopa kuumizwa utaishi kwa dukuduku, mwisho wa siku utajikuta ni mwanaharakati kama mtu mwenye trauma ya jambo fulani 🤔 hiyo ni saikolojia tu
 
Tuko tayari kuchangia, shida inakuja kwenye double standards.

Tutabeba majukumu mkiwa tayari kwa usawa, siyo tu kwenye bills na uchumi, bali pia kwenye kugawana shughuli zote za nyumbani, kimalezi, kimaendeleo na kifamilia.

Unataka nichangie 50/50 kiuchumi, ila hata mtoto akizaliwa nalea peke yangu (akiwa kichanga huamki usiku kubadili nepi wala kumlisha mtoto, wala kumuandaa kwenda shule pale atakapoanza).

Hata najua basi alisema vizuri kwenye hii reply 👇👇👇
Analeta mambo ya ulaya hapa
Nikichangia bills atakubari tuishi kama wanawake wa ulaya huko ?
Au baado atataka apelekewe maji kwa kupigiwa magoti na kupelekewa maji bafuni?
Unataka nilipe bills utakubari zamu ya kupika ?

OgaBoy uko tayari kufua nguo za wanao, kuwahi kurudi nyumbani ili wakitoka shule kuwe na mzazi wa kuwaangalia, kumfulia na kumpikia mkeo, kupiga deki nyumba, kwenda sokoni etc?
 
Usichangie bills unataka uchangie nini katika hiyo 50/50?
Nitachangia domestic labour nyumbani, unless unataka kufanya wewe Kipenzi Changu



The real gold digger ni yule ambaye anataka mwanamke azae, alee watoto, azalishe mali, achangie kipato, ampe k kila anapohitaji, akiichoka akacheat, akikamatwa asamehewe…!
Hata sielewi inakuaje wanaume ndiyo wanalalamika 😬 You can't have your cake and eat it 🤦‍♀️ 🤦‍♀️

Sina habi, nina mahi-diha.
 
Nowadays wanaume wanalalamika sana shida ni nin?
Wanajitilisha huruma🙌
 
Mjinga mwenyewe, na usiwe unaquote wajinga! Kaandike mawazo yako achana na yangu!! Mie upeo wangu umeishia hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…