Bado unabishanaga na huyo kopo?Mwaya, hakuna submissive provider nakukumbusha kila siku.
Hiyari ndio inayofanya mwanamke aheshimu.
Tunapojadili hizi mada tunatakiwa tujadili tabia za asili zinazotokana na bayolojia au tabia โzilizotengenezwaโ ambazo katika makuzi na malezi kila gender inasisitizwa kuwa nazo kwa upekee.
Mtoto wa kike katika ukuaji anasisitizwa kusubmit, na mtoto wa kiume anasisitizwa kuheshimiwa/ kudai heshima.
Sasa hawa watu wawili ukiwabadilishia roles hawawezi kumatch. Kama mnaweka mkazo kwenye ndoa na mwanamke akawa provider maana yake hawezi kusubmit, na mwanaume atajisikia less of a man, atatoka kwenda kutafuta wakumuweka chini hence a broken home.
Hivi mnajua hata ndoa zinasumbua kwanini you people!? yall have 0 idea.
Ni nyie tu mnaoishi maisha ya kimagharibi ila sisi tunaoishi kimila na desturi hayo mambo hayapoKumejitokeza tabia ambayo baadhi ya wanawake hawapendi kusikia ukweli unaowakosoa. Mara nyingi hupokea vizuri maneno yanayowapendeza kuliko ukweli unaowaweka kwenye hali ya kujitafakari.
Unapomkosoa mwanamke kuhusu kosa au uzembe fulani, wakati mwingine anaweza kuchukia au kukasirika sana. Hata kama moyoni anajua kuwa kuna ukweli katika maneno hayo, mara nyingi hukataa kuukubali mara moja. Ni baada ya muda kupita ndipo anaweza kuanza kutambua kuwa kulikuwa na hoja ndani ya ukosoaji wa huyo MTU.
Kuna hii changamoto ya baadhi ya wanawake wanapotumia hoja ya asili kama sababu ya kujitetea au kujiona wako juu ya ukosoaji.
Mfano hoja ya mwanamke ndiye anayebeba mimba kwa miezi tisa na kupitia uchungu wa kujifungua, jambo hili ni la kawaida sababu ni asili na vile vile halimo kwenye UWEZO wa mwanamke kwakuwa hajui atajifungua salama! au wakati sahihi vipi mimba ikiharibika, je Kuna umahiri? .
Kwahiyo ili ni jambo la kimaumbile/asili japo lina thamani kubwa katika maisha ya binadamu.
Tukija kwenye swala la majukumu ni kwamba majukumu ya asili pekee hayawezi kuwa kigezo cha kuhalalisha uzembe au ukosefu wa mchango katika maendeleo ya familia au jamii. Kuzaa ni sehemu ya maumbile/asili ya binadamu, lakini maendeleo ya maisha yanahitaji zaidi ya hilo, yanahitaji juhudi, uwajibikaji, na mchango kwa vitendo.
Katika familia nyingi, wanaume huchukuliwa kuwa na wajibu mkubwa wa kufanya kazi na kuleta maendeleo ya kiuchumi.
kama mwanaume anatarajiwa kufanya kazi na kuleta maendeleo kwa familia, kwa nini mwanamke asiwe tayari pia kuchangia kwa uwezo wake bila kujificha nyuma ya visingizio vya maumbile/asili?
Sipingi umuhimu wa asili ya mwanamke, bali nauliza kama ni sahihi kutumia maumbile na jukumu la asili kama kisingizio cha kutokuchangia kikamilifu katika maendeleo ya familia na jamii.
Mtu katoka kwenye ndoa coz of cheating, sasa adate single wamgande arudi tena kwenye ndoa akakutane na tena na cheating? Nyie...Kila mtu ashinde mechi zake mkuuView attachment 3556397
Wanaishiaga tu kusema oooh tuishi nao kwa akili, ila hawakubali kuwa akili za kuishi nao hawana.Siwalazimishi,
Ila vijana kama ikiwapendeza, MSIOE.
Hii kasi ya mabinti na utandawazi naona vijana wengi hawaiwezi, wamekuwa wanalalamika sana badala la kufanya maamuzi magumu. Siku hizi wanaume wanalalamika sana kuliko wanawake kwenye ishu za ndoa.
Visingizio hivyo vya wanawake, huwa vinategemea yupo na Mwanaume wa aina gani na mwenye misimamo ipi. so kuchangia maendeleo au kutochangia kunategemea sana na aina ya mwanaume aliyenae.
Nafikiri, kama unachagua kuongoza familia kisasa 50/50, basi hakikisha una uwezo wa kumsimamia Mkeo naye achangie kwenye Familia, na kama unataka "traditional way" basi hudumia familia yako bila tatizo, na ukiona hizi njia mbili zote huziwezi basi baki bachela.
Be a Man, ishi kwa kanuni na ujue kuzisimamia.
Amen Amen ๐ฅฐ๐๐ฝ"Asiyejua maana haambiwi maana", mtajichosha bure na hivi vivulana vya mtandaoni!
Unakuta una watoto wa3 kwenye ndoa na mkeo, then unaenda kuongeza vitoto vitano nje ya ndoa, na hiyo M10 ya mkeo ndo unavimbia kwa baby mamaz wako.Ni nyie tu mnaoishi maisha ya kimagharibi ila sisi tunaoishi kimila na desturi hayo mambo hayapo
Mimi mke wangu hata alipwe milion 10 halafu mimi naingiza 500k zangu za ualimu bado hiyo 10mil yake ataikabidhi kwangu kama baba wa familia na muendesha gurudumu niifanyie malengo kwa niaba ya familia yetu na hiyo ndio maana halisi ya kichwa cha familia
Unajua unapotaka kusafiri huwa unachagua uasfiri unaoamini utakufikisha safari yako salama na kwa wakati hivyo hulazimishwi upande gari,ndege au train ni maamuzi yako hivyo basi ukishanichagua mm umeshahakikisha nitakufikisha nchi ya ahadi ambayo unaiota kila siku tofauti na hapo shuka utembee kwa miguuUnakuta una watoto wa3 kwenye ndoa na mkeo, then unaenda kuongeza vitoto vitano nje ya ndoa, na hiyo M10 ya mkeo ndo unavimbia kwa baby mamaz wako.
Dah....
Kweli kila ndege atue kwenye mti aupendao!
๐น๐น๐น Na michupi yangu atakubali kufua kwa zamu? Na simu yangu asiguse wala asiniulize mpigaji nani?
Hao ni wanaume wavivu wanaotamani kuishi kwenye zama za mababu zao halafu wanataka kuwa wazungu..!! Shenzy kabisa
Ukweli ni kwamba hakuna mwanaume mwenye thamani ya juu kakuona unastahili kuwa malkia wa himaya yake.Naona umeamka na wanzuki kicwani
Hawanitaki una uhakika?
Kwan ni lazima kua na mwanaume?
Wanaume wenyewe nyie ambao siku hizi wengi wenu nyuma kuko wazi
Acha shobo
Hili nalo waliangalieAnaleta mambo ya ulaya hapa
Nikichangia bills atakubari tuishi kama wanawake wa ulaya huko ?
Au baado atataka apelekewe maji kwa kupigiwa magoti na kupelekewa maji bafuni?
Unataka nilipe bills utakubari zamu ya kupika ?
Upo period?Ukweli ni kwamba hakuna mwanaume mwenye thamani ya juu kakuona unastahili kuwa malkia wa himaya yake.
Leo hii ukitongozwa na fred vunjabei hautakuja na hizo blah blah za kusema hautaki mahusiano kwa sasa.
It's not that you don't need a man, it's that you don't have a chance with high valued men. Date your levels
Mwanaume anaingia vipi period. Kwenu ushawahi kuona baba au kaka ako yupo period?Upo period?
Kwann una hasira kali hivi?
Sasa kwanini una ni attack ?Mwanaume anaingia vipi period. Kwenu ushawahi kuona baba au kaka ako yupo period?
Atawezana si anataka kusaidiwa ๐น๐นHiyo michupi inaonekana mikubwa, atawezana ๐
These days, even men donโt know what they want ๐
Aolewe naye yeye mwambie ๐น๐น๐นSasa kwanini una ni attack ?
Shida nini mkuu?
Nikusema tu sitaki kuolewa au kuna lingine?
Mimi kusema sitaki ndoa ni jinai
Nyie wenye ndoa mmetuzidi nini?
Ooh aki ku approach vunja bei huwezi kukataa
Mbali na hizo pesa za huyo mtukufu wako vunja bei ana mb**** ya dhahabu ?
Hujui unaweza kuolewa na tajiri na asi kutreat vizuri na hata usiwe na furaha?
Mwisho kabisa Ndoa sio ya kila mtu๐๐
Kazi ipoAtawezana si anataka kusaidiwa ๐น๐น
Sio kwamba hawajui wanachotaka ila ni uvivu wao wa kutaka mserereko ndiomana wamnapanuliwa nyuma..!!
Sina experience nao nitatafuta mmoja nimuonje nione๐Aolewe naye yeye mwambie ๐น๐น๐น
Na wakinga wanavyopeleka moto mbona maji ataita mma ๐คฃ๐น
Ninachoona wamepanicWanawake wengi humu wanachangia MADA Bora liende ila hawajaelewa HATA nimefocus na nini.
Hii bado inaonyesha utata
๐๐๐๐๐Be a Man, ishi kwa kanuni na ujue kuzisimamia.
Mtu anajua nini anataka. Hata kukataa mahusiano/ndoa ipo ndani ya uwezo wake.Ukweli ni kwamba hakuna mwanaume mwenye thamani ya juu kakuona unastahili kuwa malkia wa himaya yake.
Leo hii ukitongozwa na fred vunjabei hautakuja na hizo blah blah za kusema hautaki mahusiano kwa sasa.
It's not that you don't need a man, it's that you don't have a chance with high valued men. Date your levels