mwenye shida zaidi na ndoa ndiye atakayelipa bills.
Ikiwa mwanamke ndiye mwenye shida zaidi na ndoa, atalipa tu bills.
Pia, ikiwa mwanaume ndiye mwenye shida zaidi na ndoa, atalipa bills.
Zipo familia ambazo, mama ndo starring wa familia (mbeba maono na mlipa bills mkubwa)
Pia, zipo familia ambazo Baba ndiye mlipaji mkubwa wa bills.
Na zipo familia ambazo mke na mume wako so friendly, strong bond na attachment, na wote wanashare taarifa zao za kifedha wazi kabisa (na inapokuja bills, wanagawana majukumu na upendo ukikolea na ukafeel ile mutual love, unatoa tu, sharing is caring)
Shida inakuja pale ambapo watu wawili (mke na mume) wanaishi kwa kuviziana na kutokuaminiana, kila mmoja yupo selfish, na yupo on standby mode anajiwazia yeye kwanza. Hapo ndo migogoro ya nani alipe bills inapoanzia.
Ndoa ni mkataba kama mikataba mingine, na bila kudiscuss na kukubaliana vipengele vya finance na investment, na mgawa utakuwaje just incase mkishindwana.
Hapo itakuwa ngumu kwa huu utaendawazi (mambo ya kisasa) ambapo wanawake wanataka usawa, ila when it comes to bills payments wanakimbia wana-revert into traditional kinda marriages.
Actually, watu wanaopendana kweli, strong commitment na wenye strong attachment huwa hawana time ya kuzozana kulipa bills, ikiwa kama wote wawili wako na stable income.
TRADITIONAL MARRIAGES vs MODERN MARRIAGES.
Traditionally, kwenye Patrilineal family mwanaume ndiye anaanzisha familia, na anaihudumia, it's like kama anamiliki, anakuwa na final say, na hata akimwambie mkewe kitu, mke anafata na kutii bila kuhoji. (kijeshi jeshi)
Kwenye Matrilineal family, the same, mke ndo an ahold power, na ndo mwenye mali na provider. (kama nimekosea mtani rekebisha)
Shida inakuja hapana, some women wapo na kipato stable, ila wanataka Traditional kinda marriage, ambapo hawaiwezi coz traditional marriage zinafanya wawe ni watu wa kutii amri (submissive) hata ukiambiwa usiende shopping ni kweli hauendi.
Anyway, ndoa ni mkataba, kaa discuss ishu za finance kabla ya marriage, before escalating any further. Ikishindikana basiiiiiii sio lazma. Switch to another person mtakayeshare vision, msigandaneeeee mkaja kerana kisa bills tu ikiwa kama wote mpo na kipato stable.