Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 1,264
- 2,053
😀Usichangie bills unataka uchangie nini katika hiyo 50/50?
😀Usichangie bills unataka uchangie nini katika hiyo 50/50?
🤣 DaahBora hata wewe umeharisha umekumbuka kujifuta na majani..!!
Haya maisha kama unategemea mwanamke akusaidie majukumu yako ni bora usioe au oa binamu zako huenda wao mkaelewana maana mnatoka koo moja..!!
🤣Ni nyie tu mnaoishi maisha ya kimagharibi ila sisi tunaoishi kimila na desturi hayo mambo hayapo
Mimi mke wangu hata alipwe milion 10 halafu mimi naingiza 500k zangu za ualimu bado hiyo 10mil yake ataikabidhi kwangu kama baba wa familia na muendesha gurudumu niifanyie malengo kwa niaba ya familia yetu na hiyo ndio maana halisi ya kichwa cha familia
Labda Putin wa kuchaji na sola! 😀 (joke)Huyu anataka kila mtu aamini mitazamo yake 😅
Hataki kukubali kwamba wengine wana mawazo yao
Ana-force kila mtu awe kama yeye anataka neno lake liwe sheria 😁
Na kwa jinsi alivyo gubu, mjuaji, atakua mfupi sana na nimwembamba 😎 na
Kicwa kikubwa , huku nyuma ya keyboard 😏💻
Na hiyo picha ya Vladimir Putin anajifanya mtaalamu wa kusoma akili za watu upuuzi kabisa 😂
Hii kitu ukweli wake ni 100%Kila mtu ashinde mechi zake mkuuView attachment 3556397
Kama hapa nakesha kuleeeee 🤣🤣 "death sentence"
Ukichoka kukaa paleee, kalale paleee, Ukichoka pia kasimame paleeee
Unakuta ni Mchafu au hapiki kwa wakati na anarudia makosa yaleyale...ukimwambia atajiteteea...au akishindwa ni atalia😂Kumejitokeza tabia ambayo baadhi ya wanawake hawapendi kusikia ukweli unaowakosoa. Mara nyingi hupokea vizuri maneno yanayowapendeza kuliko ukweli unaowaweka kwenye hali ya kujitafakari.
Unapomkosoa mwanamke kuhusu kosa au uzembe fulani, wakati mwingine anaweza kuchukia au kukasirika sana. Hata kama moyoni anajua kuwa kuna ukweli katika maneno hayo, mara nyingi hukataa kuukubali mara moja. Ni baada ya muda kupita ndipo anaweza kuanza kutambua kuwa kulikuwa na hoja ndani ya ukosoaji wa huyo MTU.
Kuna hii changamoto ya baadhi ya wanawake wanapotumia hoja ya asili kama sababu ya kujitetea au kujiona wako juu ya ukosoaji.
Mfano hoja ya mwanamke ndiye anayebeba mimba kwa miezi tisa na kupitia uchungu wa kujifungua, jambo hili ni la kawaida sababu ni asili na vile vile halimo kwenye UWEZO wa mwanamke kwakuwa hajui atajifungua salama! au wakati sahihi vipi mimba ikiharibika, je Kuna umahiri? .
Kwahiyo ili ni jambo la kimaumbile/asili japo lina thamani kubwa katika maisha ya binadamu.
Tukija kwenye swala la majukumu ni kwamba majukumu ya asili pekee hayawezi kuwa kigezo cha kuhalalisha uzembe au ukosefu wa mchango katika maendeleo ya familia au jamii. Kuzaa ni sehemu ya maumbile/asili ya binadamu, lakini maendeleo ya maisha yanahitaji zaidi ya hilo, yanahitaji juhudi, uwajibikaji, na mchango kwa vitendo.
Katika familia nyingi, wanaume huchukuliwa kuwa na wajibu mkubwa wa kufanya kazi na kuleta maendeleo ya kiuchumi.
kama mwanaume anatarajiwa kufanya kazi na kuleta maendeleo kwa familia, kwa nini mwanamke asiwe tayari pia kuchangia kwa uwezo wake bila kujificha nyuma ya visingizio vya maumbile/asili?
Sipingi umuhimu wa asili ya mwanamke, bali nauliza kama ni sahihi kutumia maumbile na jukumu la asili kama kisingizio cha kutokuchangia kikamilifu katika maendeleo ya familia na jamii.
Wakati unakula maisha viwanja na viwanja nayeye anatumia pesa zake na mchepuko wake viwanja kwa viwanja na humwambii kitu ni pesa zake ambazo humuuliziHuu upumbaf wa kumsikiliza mwanamke unatokea wapi?
Lipa Bill simamia watoto wakue...Tafuta Mchepuko kula hela yako ya ziada ...wekeza pata pesa zaidi kula maisha
Kama mshahara wake ataamua kuutumia hapo nyumbani mkataze....siku akikuzingua mfukuze aende akaishi kwenye hiyo nyumba anajenga kwa siri.....
Narudia tena Mzalishe mpe mahitaji ...kula maisha Viwanja baada ya viwanja...
Usisahau kuwekeza maana wana visasi sana uzeeni.
80% ya wanawake walioolewa na wanaofanya kazi za kuajiriwa au kujiajiri wana ma house maids, hawafanyi hizo shughuli za nyumbaniHizo hua ni dalili za mwanaume kutamani kua mwanamke yaani anaumia akiona mwanamke wake anabaki nyumbani kulea watoto na yeye anaenda kusulubika kwa kazi ngumu, anatamani yeye angekua mwanamke ili abakishwe nyumbani bila kujua huyo anayemuona golikipa ndie anayemlelea watoto wake na kusaidia mambo ya nyumbani yakae sawa na ndie anayepokea wageni wake wakija kumtembelea,
Nadhani wazee wangeirudisha Jando, wavulana wa siku hizi wanaukimbia sana uvulana wao wanapenda kushindana na wanawake kwenye kila kitu hadi kulelewa wenyewe wanawaita mishangazi.
Sio TU wafanya kazi hapa mtaani wapo hawana kazi ila Wana maids, kazi zao ni kubeba mkoba alafu maid anabeba mtoto wanaenda hospital.80% ya wanawake walioolewa na wanaofanya kazi za kuajiriwa au kujiajiri wana ma house maids, hawafanyi hizo shughuli za nyumbani
Nakubaliana nawwSio TU wafanya kazi hapa mtaani wapo hawana kazi ila Wana maids, kazi zao ni kubeba mkoba alafu maid anabeba mtoto wanaenda hospital.
Mume kumpa mle 100k ya mfanyakazi mke anamlipa 50k nyingine anamwambia nakutunzia
You nailed it sirUmeongelea kitu ambacho nakutana nacho mara kwa mara hapa jukwaani. Ikija hoja ya usawa wa kijinsia, na ukasema kwamba kwa sababu mwanamke na mwanaume wamepewa fursa sawa basi wote wawe na mchango katika ustawi wa kiuchumi matika familia mfano ulipaji wa bill
Wanawake wengi huwa wanapinga hilo suala wanataka wawe na kipato lakini likija suala la kulipa bill libaki kuwa jukumu la mwanaume pekee ake, na mwanamke ataona pale atakapoona pamepungua(tafsiri yao hapo atatoa kwa hiyari yake kama sio hatotoa kabisa)
Kitu ambacho sio sahihi, kwa mtu yoyote mwenye kipato kujilipia mahitaji yake au kuchangia chochote ambacho anatumia ni wajibu wa lazima, sio hiyali.
Na mbinu yao ya kukwepa kujumuishwa kwenye ulipaji wa bill za familia ni kisingizio cha kubeba mimba. Sababu ambayo haina mashiko kwa sababu kimaumbile haiwezekani mwanaume hawezi kubeba mimba. Wanawake wanatakiwa wajue bill ni bill, na mimba ni mimba.
Zikija bill mwanamke achangie kwa scale ya kipato chake, na ikija mimba mwanaume atatoa ushirikiano kadili sababu za uwezo na kimaumbile zitakavyoruhusu
Muite chap nimzabue akafanye interview mortuary 😹😹natafuta ajira 😀 @Natafuta Ajira
Utafukuza wangapi?Kufukuzwa anafukuzwa hili halina mjadala
😁😁😁🤣 Nimecheka Sana kmmkKila mtu ashinde mechi zake mkuuView attachment 3556397
Sasa tatizo lipo wapi hapo?....Wakati unakula maisha viwanja na viwanja nayeye anatumia pesa zake na mchepuko wake viwanja kwa viwanja na humwambii kitu ni pesa zake ambazo humuulizi
😀 mbona unajiamini hivo, unammudu eh!?Muite chap nimzabue akafanye interview mortuary 😹😹
Ni sawaSasa tatizo lipo wapi hapo?....
Hata hivyo wanawake ni wachungu sana...hawali maisha wanakimbiliaga kujenga na mimi sioni tatizo mtu kujenga mjengo wake....mwisho watoto watafaidika siku tukiondoka dunia hii....
Hii akaunti ilikua ya mtu mwingine ambayo aliifungua specifically kutafuta michongo hapa jf. Kuna kipindi nilikua natumia simu yake nikawa naingia jf kwa akaunti yake.😀 mbona unajiamini hivo, unammudu eh!?
ila ID ya mshkaji bana (sijui aliwaza nn kujiita hivo Natafuta Ajira ) 😎 na avatar yake ya Putin.
Sema ni vile unamchukulia ni wa kupinga, ila mkuu yupo na points zake as everyone is entitled to their own opinions
Sawa sawa... Mmiliki halali wa Volkswagen TouaregHii akaunti ilikua ya mtu mwingine ambayo aliifungua specifically kutafuta michongo hapa jf. Kuna kipindi nilikua natumia simu yake nikawa naingia jf kwa akaunti yake.
Nikawa naitumia akaunti yake kucomment(alikua anajua). Baadae akanimilikisha akaunti yake, yeye akafungua nyingine. Nilibadilisha password tu na kuweka avatar ya putin, user name nikaacha hiyo hiyo.
Nafikriaga kubadilisha user name ila naona ishazoeleka sana watu wanaonitag kwenye topics mbalimbali watakutana na ugumu kunipata