Visingizio vya asili kwa baadhi ya wanawake katika suala la ukosoaji na maendeleo

Visingizio vya asili kwa baadhi ya wanawake katika suala la ukosoaji na maendeleo

mkuu embu rekebisha kauli zako bana.....
lakini tukirejelea swala la maisha kwa ujumla sitegemei lolote kwa yeyote ikiwa nitashindwa kujiokoa popote basi na lolote linipate...msaada wowowte uwe wa mke rafiki ndugu wazazi yeyooote hauna mwisho mzuri haswa katika uhuru wako wa kujiamulia utakavyo kama mwanadamu
hivyo basi kama ningekuwa mwanamke nisingetaka pia kuhudumiwa tu kisa mimi mwanamke ningejihudumia na vya mwanaume vingekuwa ziada tu...kwa msingi wa kuitunza heshima yangu nayojiheshimu pamoja na kuulinda uhuru wangu kwa wivu mkubwa.
😹😹😹 Kauli zangu ziko zimenyooka na hazibadilishwi..!!

Suala la mwanaume kuhudumia familia pamoja na mke wake liko pale pale halipingiki..!! Nikiamua kuchangia iwe kwa kupenda sio kulazimishwa..!!

Kwahiyo wewe unataka umuhudumie mkeo ili mkipishana upate mwanya wa kumfukuza? Ulimpenda kweli au ubongo wako haujakomaa kubeba jukumu la familia??

Kama hamuwezi kuishi na wanawake si muache msioe muwe mnaenda kimboka kununua..!!
 
On point….

But have you ever thought it this way…? Kuna kugombania nafasi na kufungana speed governer, inasemekana wanawake tukiachiwa vipato vyetu tuvitumie tuwezavyo then tuna tabia ya kujiendeleza binafsi na mwisho wa siku tunavunja ndoa na kutaka mgao, kama mchango wa tulivyokuwa kwenye ndoa.

Sasa hapo ndipo kwenye kasheshe, najaribu sana kuelewa point yao kwenye hili… na ndio maana tuna/wanaomba sheria za mgawanyo wa mali zibadilike (i am still young kuzijua hizo sheria) ila kama zinakandamiza mtafutaji pia nina support zibadilishwe.

What’s your take?
Yes, ni vizuri kujipanga na unforeseen circumstances, maana upendo unaweza kuisha au zika-rise interest zingine zikawatenganisha couple, ni vizuri kufikiria what would happen if things go wrong?

Sipo kwenye ndoa, ila nadhani ndoa nyingi zinaharibiwa na ushauri wa marafiki wenye negative mind kuhusu ndoa. (utasikia, "shoga'angu jiongeze, unadhani upo peke yako?)
(au utasikia,"msela jiongeze")

in life, kila kitu ni kugamble tu, ukiweka savings, kustart business, marriage na kustart family, kusoma formal education, etc. zote ni gambling, things can go right or wrong kote huko.

Kama ikitokea gamble ya marriage haijawork out for good as expected. Basi unatulia unajisemea, "sio mbaya, at least i tried"


Kuhusu hoja ya kwamba, "women wakiwa free na wasipopangiwa namna ya kutumia income zao, mwisho wa siku wanabomoa ndoa na kutaka mgawo pasu kwa pasu"
👆🏾
Hii kila mtu atakuwa na mtizamo wake, ila for me nataka wife awe na pesa zake na awe huru. Sidhani kama nitaweza kumchunga mtu, NI NGUMU MNO. Nikimpenda nahakikisha anajua nampenda, na afeel, afu the rest juu ya decisions zake hilo ni juu yake (wife). Tutadiscuss direction ya familia kwa short na long terms, falsafa ipi ya marriage tunaifata, tutadiscuss pesa na bills ila i won't force her.

so kama kesho kila mmoja ana interest sehm nyingine, basi it is what it is. KUFORCE KUPENDWA NI HATARI SANA.

Ikifika tumeshindwana, basi ntamwomba tuwe waelewa, tusitumie mihemko jazba na hisia, tu-settle kwenye sense ili tumalize vitu kirafiki, "tugawane according to our respective inputs"
Mahakamani tutaenda tu kuwapa taarifa basi ili isilete shida baadae kisheria, ili kila mtu awe huru without any legal burden.

Hapo kama tunao kids, ntamwomba tukubaliane vitu muhimu vya mahitaji na better future ya kids. Na sote tuwajibike coz makosa yetu yasiwe mzigo kwa kids (coz it's no fault of theirs)


Although life is full of uncertainties , lakini sasa je ndo tusifurahie maisha? 🤔

So, binafsi nadhani tufurahie maisha, tuishi..
Analyse risk-benefit afu gamble or bet on what you can afford to lose.

"penye upendo ambao ni mutual, huwa hapahitaji kutumia nguvu sana, vitu huwa vina flow effortlessly hata kama mke na mume wote wapo na kipato stable, ila ukiona nguvu inatumika kubwa mno kujaribu kufanya muelewane, hauenjoy na hata haummiss, hisia zipo butu, then hapo sio penyewe, hapo lazma muanze kuzozana kwenye ulipaji bills"
 
Ni vizuri kujipanga na unfor

Yes, ni vizuri kujipanga na unforeseen circumstances, maana upendo unaweza kuisha au zika-rise interest zingine zikawatenganisha couple, ni vizuri kufikiria what would happen if things go wrong?

Sipo kwenye ndoa, ila nadhani ndoa nyingi zinaharibiwa na ushauri wa marafiki wenye negative mind kuhusu ndoa. (utasikia, "shoga'angu jiongeze, unadhani upo peke yako?)
(au utasikia,"msela jiongeze")

in life, kila kitu ni kugamble tu, ukiweka savings, kustart business, marriage na kustart family, kusoma formal education, etc. zote ni gambling, things can go right or wrong kote huko.

Kama ikitokea gamble ya marriage haijawork out for good as expected. Basi unatulia unajisemea, "sio mbaya, at least i tried"


Kuhusu hoja ya kwamba, "women wakiwa free na wasipopangiwa namna ya kutumia income zao, mwisho wa siku wanabomoa ndoa na kutaka mgawo pasu kwa pasu"
👆🏾
Hii kila mtu atakuwa na mtizamo wake, ila for me nataka wife awe na pesa zake na awe huru. Sidhani kama nitaweza kumchunga mtu, NI NGUMU MNO. Nikimpenda nahakikisha anajua nampenda, na afeel, afu the rest juu ya decisions zake hilo ni juu yake (wife). Tutadiscuss direction ya familia kwa short na long terms, tutadiscuss pesa na bills ila i won't force her.

so kama kesho kila mmoja ana interest sehm nyingine, basi it is what it is. KUFORCE KUPENDWA NI HATARI SANA.

Ikifika tumeshindwana, basi ntamwomba tuwe waelewa, tuache hisia, tu settle kwenye sense, "tugawane according to our respective inputs"
Mahakamani tutaenda tu kuwapa taarifa basi ili isilete shida baadae kisheria, ili kila mtu awe huru without any legal burden.

Hapo kama tunao kids, ntamwomba tukubaliane vitu muhimu vya mahitaji na better future ya kids. Na sote tuwajibike coz makosa yetu yasiwe mzigo kwa kids (coz it's no fault of theirs)


Although life is full of uncertaintues, lakini sasa je ndo tusifurahie maisha? 🤔

So, binafsi nadhani tufurahie maisha, tuishi..
Analyse risk-benefit afu gamble or bet on what you can afford to lose.

"penye upendo ambao ni mutual, huwa hapahitaji kutumia nguvu sana, vitu huwa vina flow effortlessly hata kama mke na mume wote wapo na kipato stable, ila ukiona nguvu ni kubwa mno, hauenjoy na hata haummiss, hisia zipo butu, then hapo sio penyewe, hapo lazma muanze kuzozana kwenye ulipaji bills"
Dah kweli maisha sio mabaya, binadamu ndio wabaya.

Principally ulichokieleza wala si kigumu mtu kukielewa basi tu nadhani ego za watu huwa ziko juu sana.

I know watu wenye mtazamo kama wako, nadhani mimi ni mmoja wapo. We are not “controlling freaks” na we don’t want to be controlled, tunathamini zaidi partnership kuliko “mabavu” na kwahivyo tunafurahiaga maisha yetu. Shida ni ngumu kupata a match.

Anyways all the best champ, aliye mwema akasogezwe on your way.
 
😹😹😹 Kauli zangu ziko zimenyooka na hazibadilishwi..!!

Suala la mwanaume kuhudumia familia pamoja na mke wake liko pale pale halipingiki..!! Nikiamua kuchangia iwe kwa kupenda sio kulazimishwa..!!

Kwahiyo wewe unataka umuhudumie mkeo ili mkipishana upate mwanya wa kumfukuza? Ulimpenda kweli au ubongo wako haujakomaa kubeba jukumu la familia??

Kama hamuwezi kuishi na wanawake si muache msioe muwe mnaenda kimboka kununua..!!
Kufukuzwa anafukuzwa hili halina mjadala
 
Dah kweli maisha sio mabaya, binadamu ndio wabaya.

Principally ulichokieleza wala si kigumu mtu kukielewa basi tu nadhani ego za watu huwa ziko juu sana.

I know watu wenye mtazamo kama wako, nadhani mimi ni mmoja wapo. We are not “controlling freaks” na we don’t want to be controlled, tunathamini zaidi partnership kuliko “mabavu” na kwahivyo tunafurahiaga maisha yetu. Shida ni ngumu kupata a match.

Anyways all the best champ, aliye mwema akasogezwe on your way.
Ahsanteeee, yaani umeilezea vizuri mno katika simple language ambayo imebeba ujumbe wote 🙌🏾
Definitely, you have nailed it!

On the other note, wishing you all the best champ.
 
Huu upumbaf wa kumsikiliza mwanamke unatokea wapi?

Lipa Bill simamia watoto wakue...Tafuta Mchepuko kula hela yako ya ziada ...wekeza pata pesa zaidi kula maisha
Kama mshahara wake ataamua kuutumia hapo nyumbani mkataze....siku akikuzingua mfukuze aende akaishi kwenye hiyo nyumba anajenga kwa siri.....

Narudia tena Mzalishe mpe mahitaji ...kula maisha Viwanja baada ya viwanja...
Usisahau kuwekeza maana wana visasi sana uzeeni.
Hii comment bana 🤣 🙌🏾
Kama nakuona vile.
 
Kama tuliweza kuwatuliza watoto wa chamwino na wa sabasaba ndo atushinde huyo mbwiga??

Tutamkanyagia mpaka apate ajira..!! 😹😹😹
Hajui kama sisi wadogo zake ngoma nzito?
natafuta ajira 😀 Natafuta Ajira
Scoreboard

Natafuta Ajira 5 VS Seran ft Hata najua basi 4 mpaka sasa

Analeta mambo ya ulaya hapa
Nikichangia bills atakubari tuishi kama wanawake wa ulaya huko ?
Au baado atataka apelekewe maji kwa kupigiwa magoti na kupelekewa maji bafuni?
Unataka nilipe bills utakubari zamu ya kupika ?
😀
 
Baado kidogo nifike 30 😃 kwisha mimi
Unasema ndoa ? niolewe ? hayo mahusiano tu bila ndoa siyawezi yananigaragaza kifo cha mende
Je ndoa mahi😆
Shida nina ugonjwa wa kupenda napenda vibayaaa naweza kumla mtu shaba ya kicwa 👈 so sijihusishi na mahusiano nafanya issue zingine
🤣
 
Back
Top Bottom