Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,626
- 2,961
Amini kwamba hakuna single woman by choice. Kuna class ya wanaume ikirusha ndoano huo
Wapo wengi tuAmini kwamba hakuna single woman by choice. Kuna class ya wanaume ikirusha ndoano huo msimamo unatenguliwa.
Kama wewe ni mwanaume usije ukakubali kuwekwa kwenye friend zone ukifikiri demu ana boundaries. Trust me, ana preference class yake ya wanaume. Class ya mwanaume anaemtaka akirusha ndoano hachomoiWapo wengi tu
New popoma in JfAm relaxed, hakuna sukari yoyote inayohitajika kushushwa. Kwa sasa natoka kidogo, nipo kwenye gari yangu, wokswagen toureg(sina uhakika kama kuna kaka ako mwenye uwezo wa kuinunua na kumudu maintanance cost zake). Don't hate, motivate your brothers to reach my levels.
Turudi kwenye mada. Daraja la wanaume unaowataka wao hawakutaki. You are not single by choice
Kubabababaaake!! Weka weka wekaaSukari yako ipo juu sana siwezi kuishusha
Hao wanaume unaodai sio level yangu wapeleke wewe kinyeo chako 🖕
And stop kuni quote sina dildo la kuku *** mpelekee vunja bei🫰
See!!!kwamba ndoa haivunjiki? ama unadhani nahofiamgawanyo wa mali baada ya talaka?
Ikiwa naweza kuhudumia familia bila kuhitaji msaada wake kifedha hofu ya kupoteza mali nlizozitafuta mwenyewe inatokea wapi?
It didn’t go as planned😁😁kumbe palichangamka hivii ahhhhhh
mwenye shida zaidi na ndoa ndiye atakayelipa bills.
Ikiwa mwanamke ndiye mwenye shida zaidi na ndoa, atalipa tu bills.
Pia, ikiwa mwanaume ndiye mwenye shida zaidi na ndoa, atalipa bills.
Zipo familia ambazo, mama ndo starring wa familia (mbeba maono na mlipa bills mkubwa)
Pia, zipo familia ambazo Baba ndiye mlipaji mkubwa wa bills.
Na zipo familia ambazo mke na mume wako so friendly, strong bond na attachment, na wote wanashare taarifa zao za kifedha wazi kabisa (na inapokuja bills, wanagawana majukumu na upendo ukikolea na ukafeel ile mutual love, unatoa tu, sharing is caring)
Shida inakuja pale ambapo watu wawili (mke na mume) wanaishi kwa kuviziana na kutokuaminiana, kila mmoja yupo selfish, na yupo on standby mode anajiwazia yeye kwanza. Hapo ndo migogoro ya nani alipe bills inapoanzia.
Ndoa ni mkataba kama mikataba mingine, na bila kudiscuss na kukubaliana vipengele vya finance na investment, na mgawa utakuwaje just incase mkishindwana.
Hapo itakuwa ngumu kwa huu utaendawazi (mambo ya kisasa) ambapo wanawake wanataka usawa, ila when it comes to bills payments wanakimbia wana-revert into traditional kinda marriages.
Actually, watu wanaopendana kweli, strong commitment na wenye strong attachment huwa hawana time ya kuzozana kulipa bills, ikiwa kama wote wawili wako na stable income.
TRADITIONAL MARRIAGES vs MODERN MARRIAGES.
Traditionally, kwenye Patrilineal family mwanaume ndiye anaanzisha familia, na anaihudumia, it's like kama anamiliki, anakuwa na final say, na hata akimwambie mkewe kitu, mke anafata na kutii bila kuhoji. (kijeshi jeshi)
Kwenye Matrilineal family, the same, mke ndo an ahold power, na ndo mwenye mali na provider. (kama nimekosea mtani rekebisha)
Shida inakuja hapana, some women wapo na kipato stable, ila wanataka Traditional kinda marriage, ambapo hawaiwezi coz traditional marriage zinafanya wawe ni watu wa kutii amri (submissive) hata ukiambiwa usiende shopping ni kweli hauendi.
Anyway, ndoa ni mkataba, kaa discuss ishu za finance kabla ya marriage, before escalating any further. Ikishindikana basiiiiiii sio lazma. Switch to another person mtakayeshare vision, msigandaneeeee mkaja kerana kisa bills tu ikiwa kama wote mpo na kipato stable.
Ni mtazamo wangu tu, naweza nisiwe sahihi
Unajua nini mzee mwenzangu. Wanaume na wanawake tunatofautiana uzoefu na mtazamo kuhusu dunia.,yaani situation moja lakini tunaiona katika mtazamo tofauti. Wanaume huwa tuna-appeal na logic, wanawake wana-appeal na emotions.mkuu embu rekebisha kauli zako bana.....
lakini tukirejelea swala la maisha kwa ujumla sitegemei lolote kwa yeyote ikiwa nitashindwa kujiokoa popote basi na lolote linipate...msaada wowowte uwe wa mke rafiki ndugu wazazi yeyooote hauna mwisho mzuri haswa katika uhuru wako wa kujiamulia utakavyo kama mwanadamu
hivyo basi kama ningekuwa mwanamke nisingetaka pia kuhudumiwa tu kisa mimi mwanamke ningejihudumia na vya mwanaume vingekuwa ziada tu...kwa msingi wa kuitunza heshima yangu nayojiheshimu pamoja na kuulinda uhuru wangu kwa wivu mkubwa.
Shida inakuja hapaaa, mwanaume anataka ndoa, halafu anakwepa majukumu. Daah! anataka mke achangie bills zote.A very realistic person.
Unajua wanaume wanadhani hatuwaelewi, tunawaelewa sana wanachosema, tunataka tu waishi kwenye uhalisia, ndoa ni hitaji kama yalivyomahitaji mengine, anayehitaji kitu ndiye anayekitafuta…. and ndiye atakayekifanyia kazi na huyu mwingine atacontribute ila sio kwa kushikiwa panga……
Kuna wanawake tunawajua wanajilipia mahari, wanampa mwanaume hela ya kuandaa sherehe, anafanya harusi na bado ataendesha familia wapo by thousands, hawa hawajadiliwi ng’oo!
Duh hadi nimesikia kulia, hivi kumbe kuna watu wanaelewa hili? Hao elders wako wape zawadi, wamekufundisha kitu cha msingi sana na kitakuepusha na jakamoyo.Shida inakuja hapaaa, mwanaume anataka ndoa, halafu anakwepa majukumu. Daah! anataka mke achangie bills.
My elders used to tell me that, "ikiwa mkeo yupo na kipato, na ikitokea anatumia pesa zake kununua nguo zake na watoto, basi shukuru coz anakuwa kakusaidia pakubwa mno, hapo kidume komaa na lipa bills zingine (house rent, electricity bills, water bills, school fees, chakula, n.k)"
"Na hata ikitokea mkeo anajenga, mpongeze, mwisho wa siku faida ni kwa uzao wenu. Kikubwa ni upendo tu, kama unampenda na unafeel anakupenda pia, basi ni wazi utafurahia mafanikio yake kifedha."
Ndoa ni mkataba kama mkataba mwingine wowote, ni vyema couple wa discuss ishu za finance na bills payment kabla ya kuingia kwa marriage.
A simp 😀Duh hadi nimesikia kulia, hivi kumbe kuna watu wanaelewa hili? Hao elders wako wape zawadi, wamekufundisha kitu cha msingi sana na kitakuepusha na jakamoyo.
Ngoja waje wakwambie ninakusifia sababu umeongea vya kutufurahisha wanawake, mwaya hapana kuna vitu tu ni uhalisia. Niliwahi kuwauliza wanaume humu, kwani wake zenu hizo hela zao wanazipeleka wapi? sikumbuki kupata jibu lenye kuridhisha zaidi ya malalamiko.
Hapo pa wanawake kuwekeza kwaajili ya watoto naomba nikuchekeshe, it will never sit well with men sababu wanaume “wengi”hawajali sana kuhusu watoto, ni kama tu wamejikuta wako na watoto na wako caged kuwatunza…. Sio priority yao, priority yao ni hisia zao na namna gani watapata kuheshimiwa…….. (napanua mjadala, on why men wanatafuta hela na possessions)
Karibu kwenye mjadala na jiandae kuitwa a simp!
A beautiful brain, na huu ndiyo uhalisia wa kweli wa maisha. Ulikuzwa na wazazi na watu wazima wenye busara sana.Shida inakuja hapaaa, mwanaume anataka ndoa, halafu anakwepa majukumu. Daah! anataka mke achangie bills zote.
My elders used to say that, "ikiwa mkeo yupo na kipato, na ikitokea anatumia pesa zake saluni au kununua nguo zake na watoto, basi shukuru coz anakuwa kakusaidia pakubwa mno kwenye bills, hapo kidume komaa na lipa bills zingine (house rent, electricity bills, water bills, school fees, chakula, internet, n.k)"
"Na hata ikitokea mkeo anajenga, mpongeze, mwisho wa siku faida ni kwa uzao wenu. Kikubwa ni upendo tu, kama unampenda na unafeel anakupenda pia, basi ni wazi utafurahia mafanikio yake kifedha."
Ndoa ni mkataba kama mkataba mwingine wowote, ni vyema couple wa discuss ishu za finance na bills payment, savings kabla ya kuingia kwa marriage.
Na pia, sio mbaya kuheshimu mkeo kuwa na savings zake, coz sometimes wanawake nao wapo na ndugu zao na wanahitaji wawasaidie bila mume kujua.
Anyway, kila couple itachagua life na kind of marriage inayotaka, kila mtu ni tofauti na mahitaji na malengo ni tofauti pia.
Wapo, ndiyo maana nawaambia mabinti wadogo wasisettle, there are good men out there!Duh hadi nimesikia kulia, hivi kumbe kuna watu wanaelewa hili?
Mke kaamua kununua nguo zake za gharama, hapo nashukuru coz kanisaidia majukumu. Nitachofanya ni ntamnunulia japo kibanio cha nywele cha jero tu. ili akipiga nguo zake abane nywele pia.Duh hadi nimesikia kulia, hivi kumbe kuna watu wanaelewa hili? Hao elders wako wape zawadi, wamekufundisha kitu cha msingi sana na kitakuepusha na jakamoyo.
Ngoja waje wakwambie ninakusifia sababu umeongea vya kutufurahisha wanawake, mwaya hapana kuna vitu tu ni uhalisia. Niliwahi kuwauliza wanaume humu, kwani wake zenu hizo hela zao wanazipeleka wapi? sikumbuki kupata jibu lenye kuridhisha zaidi ya malalamiko.
Hapo pa wanawake kuwekeza kwaajili ya watoto naomba nikuchekeshe, it will never sit well with men sababu wanaume “wengi”hawajali sana kuhusu watoto, ni kama tu wamejikuta wako na watoto na wako caged kuwatunza…. Sio priority yao, priority yao ni hisia zao na namna gani watapata kuheshimiwa…….. (napanua mjadala, on why men wanatafuta hela na possessions)
Karibu kwenye mjadala na jiandae kuitwa a simp!
😀 red pill.A beautiful brain, na huu ndiyo uhalisia wa kweli wa maisha. Ulikuzwa na wazazi na watu wazima wenye busara sana.
Subiri sasa red pill men waje kukupopoa humu kwamba unataka uwe picked na wanawake.
Wapo, ndiyo maana nawaambia mabinti wadogo wasisettle, there are good men out there!
Kama tuliweza kuwatuliza watoto wa chamwino na wa sabasaba ndo atushinde huyo mbwiga??Utapigwa na mimi sina nguvu za kukusaidia 🤣🤣🤣
On point….Mke kaamua kununua nguo zake za gharama, hapo nashukuru coz kanisaidia majukumu. Nitachofanya ni ntamnunulia japo kibao cha nywele cha jero tu. ili akipiga nguo zake abane nywele pia.
Katumia pesa zake saluni, au katumia pesa zake kumsapoti mama yake mzazi au kaka yake (shemeji angu) , hapo pia ni safi.
Kaamua kujenga, kustart a business, hapo pia safi coz as I said mwisho wa siku faida ni kwa watoto.
Maana vinginevyo, kila kitu kingenihusu mimi, hata ada za mashemeji tu ningeambiwa "baba flani, naomba pesa kadhaa ili tumkopeshe dada"
Coz marriage ni kuunganisha familia, hivo huwezi kwepa baadhi ya changamoto za ukweni.
Kama ambavyo nafurahia kuona timu ninayoishabikia ishinde mechi zake na ifanikiwe, basi pia ntafurahi pia kuona mke akifanikiwa pia.
Kama yeye ni wangu, basi atakuwa wangu, kama sio wangu na mimi sio wake basi ni sawa pia..
I repeat, napenda afanikiwe just as much as ninavyopenda ile timu yangu flani ya michezo ifanikiwe.
"kama huwezi kupeleka furaha nyumbani, basi jitahidi usipeleke matatizo"
Watoto wa mafisa 🤣Kama tuliweza kuwatuliza watoto wa chamwino na wa sabasaba ndo atushinde huyo mbwiga??
Tutamkanyagia mpaka apate ajira..!! 😹😹😹
Hajui kama sisi wadogo zake ngoma nzito?