KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Wanaposema hausambazwi kwa hewa, huku wanadai ukiwa unapiga chafya uzibe mdomo,huwa sielewagi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaposema hausambazwi kwa hewa, huku wanadai ukiwa unapiga chafya uzibe mdomo,huwa sielewagi.
Tumeambiwa tupige kaziSerikali imepiga marufuku mikusanyiko. Ina maana hapo Kariakoo bado watu wanafanya biashara tu kwa wingi wao?
Sasa mbona skuli zimefungwa? Au wanafunzi tu ndio muhimu nchini?Tumeambiwa tupige kazi
Umeona hata Zimbabwe watu wameambiwa wasiende kwenye nyumba za ibada, waliokaidi wamepigwa viboko. Tatizo la Tanzania, wajinga ni wengi kuliko werevu.
Siyo lazima umsikilize Pope, ila basi wasikilize wataalam. Lengo langu siyo kukuomba umsikilize Pope, ila nilitaka kufikisha ujumbe kwamba Jiwe ni mkatoliki, Pope ni mkatoliki. Kuhusu imani ya mkatoliki kusali bora amsikilize Pope kuliko Jiwe
Hata hapa JF wajinga hao wako wengi tu wanaoshangilia kila kitu kisa tu knafanywa na watawala.Umeona hata Zimbabwe watu wameambiwa wasiende kwenye nyumba za ibada, waliokaidi wamepigwa viboko. Tatizo la Tanzania, wajinga ni wengi kuliko werevu.