Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

Asante kwa hoja hizi.
P
 
Wewe matendo ya Makonda unayajua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Bams, asante kwa mchango huu, hayo nayajua, na nimeyazungumza mara kadhaa humu.
Makonda ni mpakwa mafuta wa kweli wa Mungu, angalia mapito yake na jinsi Mungu anavyo mpigania.

Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums

P
 
Umenena yaliyomema. Hakika Mungu ni mwenye huruma na rehema. Hiweza kumuinua yeyote yule katika hali yeyote ile.

Sent using iphone pro max
 
Hata mimi nilikuwa na Nina hubir nilipokuwa sekondari,lakini siku ya disco welcome form One na Form five au gradu za form four na six niliingia kucheza na wasichana,tena enz hizo ilikuwa unacheza ucku.Muuaji,muonevu kama huyo,amejaa unafik tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwakatare na miti miti wao ndio walikuwa wa kwanza kuombea nchi saa hivi wako wapi
 
Sema akifungua biashara yake... @prscal

...
 
hahhaha pasco umekuwa comedian sasa siku hizi kaka...
 
Correct mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu acheni kumu overwork huyu mtu,atafungua vitu vingapi? Ni mhubiri wa amani,ni mhubiri wa chuki,ni mpatanishi mwenye kiwango cha juu cha ugombanishi,ni mlinzi wa haki anayewanyima watu haki ya kuishi,ni mhubiri mzuri wa neno la mungu ila matendo yake ni ya kishetani,anamtaja mungu mara nyingi sana ila anamsapoti shetani muda WOTE,!!! USHAHIDI~Ametuhumiwa mara nyingi sana kutoa maamuzi ya uonevu,tumeshuhudia akimkosea MUNGU kwa Kumpiga Mzee hadharani!!!! Alimpiga ngumi mzee kawawa hadharani,hichi ni kitendo ambacho hata mtu mwenye tatizo la akili hawezi kufanya, alivamia ofisi ya watu kwa silaha usiku,hatukuwahi kuambiwa kosa la hao waliovamiwa hadi sasa!!labda kwa sababu hawakuwa na kosa lolote? Ametuhumiwa kukwepa KODI! Kukwepa kodi halali ni DHAMBI, hakuwahi kukanusha,na alituhumiwa kwa hilo hata na mwajiri wake,kuna wakati alimwomba Mh rais ampe kazi ya "KUWASHUGHULIKIA" wote wanaompinga rais!! Amekuwa akiwatukana watu hadharani hata wale waliomzidi umri,ref afisa ardhi ilala(?) Ni mchonganishi,ref kisa cha kumchonganisha marehemu Kabwe kwa magufuli pale daraja la nyerere,hayo ni machache kati ya mengi tuliyoyashuhudia kwa macho yetu na kuyasikia kwa masikio yetu!! Jumuiya ya kimataifa nayo inamtuhumu kwa kukatisha haki za watu kuishi!! Hizi si tuhuma ndogo,hajawahi kuzipinga(?)hadharani,je Mungu anaruhusu kuwa na mtumishi Mtuhumiwa? Kuna wanaomuhusisha na shambulio la Lissu,zaweza kuwa tuhuma tu,ila si fahari kwa mtu wa Mungu,yeye inaonyesha huwa anafurahia kutuhumiwa ili kuogopwa,hiyo si sifa ya mtumishi wa Mungu,nhaa imeniuma,ngoja nikale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee unangata unapuliza
Nyie Watoto born from magorofani mna shida sanaa
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashite atuambie tu baada ya kumuua Ben Saanane waliufukia wapi mwili wake au waliuchoma wapi?
 
watu mnahadaika kizembe au ndio mnasaka uteuzi, ! Acheni njaa hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…