Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Sijui tuandanane vipi muoneTatizo wanatumia uislamu kufanya hayo, hapo ndio tatizo lilipo. Tena wanaenda mbali na kunukuu ata katima Quran.
Shida ilipo hatujawahi kuona waislamu wakiandamana kupinga hayo makundi kufanya mauaji kwa mgongo wa uislamu. Ila tuliona waislamu wakiandamana sababu wamesikia Kuna mtoto kakojolea quran
Embu soma tena niambie neno vita umelitoa wapi,Mimi ni muislamu na huo Ndio uislamu
Hakuna sehemu andiko lolote linasema kuweni magaidi
Hayo maandiko mengi yanazungumzia vita
Of course tukiwa tupo kwenye vita na makafiri lazima tupigane
This is BibleAnzisha mada ya bible versions zinazozungumzia kuua kwa upana tutakuja kichangia... Mimi binafsi nitakuja.
Hapa tubaki kwenye mada husika ya Uislam na Ugaidi. Halafu UJIBU SWALI NILILOKUULIZA
Hii ni Bible au Qur'aanEmbu soma tena niambie neno vita umelitoa wapi,
Koran
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio vipenzi vyake, basi hao ndio madhaalimu
47;4. Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu
9;5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni.
9;29. Piganeni na wasio muamini Allah wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Allah na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
3;28. Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Allah.
Ugaidi upo na Boko haram na Alshabab ni magaidi lakini kwa sababu wao ni waislamu haina maana wanapata Baraka za waislamu wote Bali ni wahuni kama wale wafuasi wa Trump waliovamia capital na kuua watu pia ni magaidi lakini sio wa kikiristo Bali ni wahuniKwani ugaidi upo au haupo? Kama upo, wanaoufanya ni akina nani na kwa nini?
Wale boko Haram na Al Shabab ni magaidi au wahuni tu?
Unatoka nje ya madaHii ni Bible au Qur'aan
Hizo Aya za quran zinasema piganeni
Sasa kupigana Ndio vita lakini Bible inasema wauawe watu
JIKITE KWENYE MADA.This is Bible
Hahaha...Sasa kama hawapati baraka za waislam MBONA HAMUWAKEMEI HADHARANI hao wanaotumia jina tukufu la uislam?Ugaidi upo na Boko haram na Alshabab ni magaidi lakini kwa sababu wao ni waislamu haina maana wanapata Baraka za waislamu wote Bali ni wahuni kama wale wafuasi wa Trump waliovamia capital na kuua watu pia ni magaidi lakini sio wa kikiristo Bali ni wahuni
Well saidUislam unatishaje nchi za magharibi?
Kwa tekinolojia?pesa?wingi wa watu?
Miimili mikubwa ya uislam ni Saudia Suni,na Iran shia!
Sasa Saudia ni mshiriki wa USA,na Israel,na hawezi kuishi bila msaada wa USA na UK,Iran hafurukuti,kabsnwa na vikwazo mpaka uchumi unayumba,Wazungu hawawatwangi waarsbu na waislam kwa sababu wanamtisha,anawatwanga Ili aweze kuiba rasilimali yao ya mafuta,
Uislam hauna chochote unachoweza kutumia kuitisha Dunia,zaidi ya ugaidi,ambao upo hata America ya kusini ugaidi wa drug cartel,
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Ni wazi umeshakiri kushika ,kuua, kuvizia, kuteka watu wasio waislamu ndio uislamuMimi ni muislamu na huo Ndio uislamu
Hakuna sehemu andiko lolote linasema kuweni magaidi
Hayo maandiko mengi yanazungumzia vita
Of course tukiwa tupo kwenye vita na makafiri lazima tupigane
Saudi ArabiaHakuna nchi hata moja ya kiislamu inayo fadhili magaidi
Kweli waathirika wakubwa wa ugaidi ni waislamu
Kama nilivyo sema tutaongea sana bila kufika muafaka maana hili jambo la ugaidi ni tata sana
Mimi naamini hao wanaotumia Jina la uislamu kuhalalisha ugaidi wanafadhiliwa na makafiri
Hizo nchi Ndio viongozi wake wanalaaniwa na magaidi kwa sababu ni marafiki wa marekaniSaudi Arabia
iran
Qatar
Sudan
Libya ya gadafi
wapo wengi ila hawa ni wafadhili wakubwa wa ugaidi kupitia dini!!!
sio waislam wote ni magaidi ila magaidi wote ni waislam
Haturuhusiwi kufanya kua mpenzi wetu yeyote anae fanya mustahabu na makafiri hata akiwa ni ndugu maana makafiri ni Maadui wa waislamuNi wazi umeshakiri kushika ,kuua, kuvizia, kuteka watu wasio waislamu ndio uislamu
nafikiri mada umeshaifunga kwa kuthibitisha hilo na kwamba magaidi wanafuata maandiko vizuri tu bila shida
Ila nina swali fikirishi kwa nini allah anawaambia mpaka ndugu zenu msiwafanye vipenzi vyenu kama sio dini moja? huyu allah anshida gani?
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio vipenzi vyake, basi hao ndio madhaalimu
Kweli hili swala ni gumu kwanguHahaha...Sasa kama hawapati baraka za waislam MBONA HAMUWAKEMEI HADHARANI hao wanaotumia jina tukufu la uislam?
Dah.. hili swali limekuwa gumu sana kwako.
Sijui tufanye nini?? kama maandamano dunia nzima yanafanywa na waislamu kupinga ugaidi lakini bado huridhiki hakuna kitakacho kuridhisha wewe!!!JIKITE KWENYE MADA.
Usitafute kichaka mzee. Hebu anzisha uzi wake tuje tuchangie.
Rudi kwenye mada yetu hapa na ujibu swali langu ambalo mpaka sasa unaendelea kulikimbia.
Hii naunga mkono. Ni vigumu sana wa kristo kujenga makanisa na kufanya ibada kwenye mataifa yaliyobobea kwa uislam. Mfano mzuri ni kuchomwa mara kwa kwa makanisa huko Misri.Nadhani kinachotokea mataifa mbali mbali kupambana na waislam ni matokeo ya wao kuwa wakorofi na kuchokonoa imani za wenzao....
Tafadhali Anza kusoma hio sura ya 47 Aya ya 1 mpaka ya 7 utajua ni makafiri gani wanaongelewa lakini Bible inasema watu ambao hawamuamini Yesu waletwe na wachinjweUnatoka nje ya mada
nionesha vita hapa
47;4. Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu
9;5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni.
Yani unamkuta mtu sio dini yako unaambiwa mpige shingoni na mfunge pingu wewe unasema ni vita
Ukimaliza mfungo unaambia ukawaue washirikina popote unapowakuta wewe unasema ni vita acha uongo mara moja
em nambie ni nchi gani kati ya hizo zinamagaidi?Hizo nchi Ndio viongozi wake wanalaaniwa na magaidi kwa sababu ni marafiki wa marekani
Kama wangekua wanasapoti magaidi kwa nini wanalindwa na marekani?
Vipi wale wafuasi wa Trump waliovamia capital na kuua watu vyombo vyote vya Habari vikasema ni magaidi je walikua ni waislamu?
Vipi makundi ya kigaidi na magenge yao huko Amerika kusini ni waislamu
Vipi yule gaidi alieingia msikitini kule new Zealand na kuua mama ya waislamu kashtakiwa kosa la ugaidi je ni muislamu?
Magaidi ni wahalifu na hawana nafasi katika uislamu
Sasa Hivi najibu hoja zako kwa mara ya mwishoem nambie ni nchi gani kati ya hizo zinamagaidi?
usichanganye mambo hapa *vitisho vya usalama sio lazima ugaidi tuu (jiongeze why wanamtegemea us!
south n central America hakuna ugaidi ila kuna magenge ya kihalifu
uyo mzungu alowauwa mskitini ni mlemavu wa akili alie changiwa na chuki zake binafs dhidi ya uislam
YES ugaidi hauna nafasi uislamuni lkn dini na vitabu vyenu vimetoa options njia nzuri na njia mbaya so akna al baghdadi wakiamua kutumia njia mbaya hakuna wa kuwak3mea
kwasaabu nyie MNASEMAGA MWISLAAM NDUGU YAKE MWISLAAM
Usitoke nje ya mada , Kama una mada ya biblia anzishe nije nikusambaratisheTafadhali Anza kusoma hio sura ya 47 Aya ya 1 mpaka ya 7 utajua ni makafiri gani wanaongelewa lakini Bible inasema watu ambao hawamuamini Yesu waletwe na wachinjwe