Vita kati ya majangili na askari wa hifadhi za wanyama pori

Kama sikosei mwishoni mwa miaka 90 hiyo alikuwa OCD. Ni kweli alikohoa. Majangili wa Ngorongoro walikuwa ni balaa hawafai. Sema nao waliuwawa sana.
Wale wanadai walikuwa Wasomali jeshi liliingilia kati walitembezewa kibano sana. Majangili hatari usije kuombea kukutana nayo ni hawa Wasomali na Warundi na Wanyarwanda ndugu wale ni vita. Kuna pori la katavi na kuna sehemu ya pori la Inyonga kwenye Mpung'o jangili anakatiza. Wameteka sana mabasi.

Kuna wakati serikali walikuwa wanalia na wizi wa nyaya za simu zote zilikuwa zinaishia porini mikononi mwa jangili. Niliamua kuachana na maisha ya msituni yana raha na kero ni kubwa. Kuna siku tulikuta tent la Watalii mzee Tembo kalichakaza vibaya kumbe ndani walibeba Maepo.
 
Sio kwa nyati mpweke binadamu anasubjri sana huyo kiumbe ni bora ukutane na kundi lao ila sio nyati mmoja
Abeid Mziba hafai hafai kabisa. Sijui zile hasira na chuki zinatoka wapi? Simba mwenyewe hawezi kumfuta Mbogo akiwa pekee yake. Dude lina hasira hili. Hata wawe 1000 anaweza kuchomoka mmoja tu analianzisha zogo. Kuna simba alilitaka kuua Nyati akadandia mgongoni kilichompata. Nyati alipita kwenye chaka lenye mimba yule Simba alitoboka macho, tulimkuta yupo hoi bin taabani. Mbogo akiwa na hasira anatoa machozi na analia yule na mikamasi kama yote. Mungu kamnyima tu meno ya kuua na kucha.

Hii dunia tungekoma. Siku nikitulia nitaleta mkasa wa shekhe mmoja alitaka kumchinja Nyati mara baada ya kupigwa risasi tukamwambia usiende kufa kwa hilo dude lazima atoe haja kubwa akasema oooh sisi waislamu hatuli kibudu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mungu amlaze mahala pema. Nyati ipo na akili mingi tena ukimjeruhi ooooh utajuta.
 
Jamaa walisumbua sana. Hadi miaka ya 2000 mwanzoni kule Ngorongoro kulikua vitani.
 
Dogo alikosea

Hizo ni nyara
 
You know nothing little twatt

You know nothing !!
Liverpool hoi ipo point nne nyuma ya man City. Hadi ligi iishe mtakuwa wa tano huko kwenye table. Mlibahatisha tu kuwa mabingwa 2019-20 kwa sababu ya covid.
 
Yani natamanigi Sana mazali kama haya yakukutana na majangili porini huko tena usiku. Huo mkono nitakaoutembeza maamaeee nitaacha historia na alama ya kudumu. Asante mleta mada Lazima sasa hivi nizame chaka niitendee haki black belt yangu.
🤣
 
Yani natamanigi Sana mazali kama haya yakukutana na majangili porini huko tena usiku. Huo mkono nitakaoutembeza maamaeee nitaacha historia na alama ya kudumu. Asante mleta mada Lazima sasa hivi nizame chaka niitendee haki black belt yangu.
Pole sana, na ukitaka kuingia hakikisha umemuaga mkeo kwa mara ya mwisho.
 
Aisee hii leta kisa chake mkuu jinsi ilivyokua.
 
Mkuu Rufiji napata tabu kidogo na hii hadithi yako...unasema umekulia Selous kisha unasema ulikuwa kwenye mafunzo kwa vitendo ni confusion...upi ukweli pili katika pori la selous sehemu inapita reli ni Matabwe ambayo iko Western zone na Kisaki ambayo iko eastern zone, na sehemu ambayo unaweza pata mto wako vua samaki ni mto Rufiji...

Kwa ukaribu uliosema mlipowaona hao wavuvi itakuwa ni mto Rufiji ambao upo Matambwe katika kituo cha Mtemere na huko hakuna treni.... Uko kwenye mafunzo ya vitendo ni mawindo gani mlikuwa mnatafuta....kwa hadithi yako huenda mlikuwa doria...sasa doria gani mnatafuta mawindo......
 
Mkuu hapa napata shaka na hii hadithi yako....milima Udzungwa askari wanafanya doria ya miguu tu na jangili hawezi kuingia na pikipiki kule mlimani kutokana na landscape ya milima ile....hasa kijiji cha Mng'ula ulipotaja, maeneo haya mto ambao mtu anaweza zama na kufa maji unapita barabarani kabisa kwa maana hiyo kama kweli walifanyiwa hivi niwazi watu wangeona...kwa hivyo si kweli kabisa hii hadithi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…