Vita kati ya majangili na askari wa hifadhi za wanyama pori

kuna anko wangu ilibidi ajilushe mtoni aliwe na mamba kukwepa ma game selous huko yeye aliamini ataogelea atoboe
Aliliwa na mamba? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Unazijua zile pikipiki Sanlog sijui hizi ambazo town zinatumika kubebea mkaa? Achana na TVS na Boxer. Hizo Sanlg ni gari inapanda popote ile pikipiki tumezikamata sana porini jangili anakimbia anakuachia haina hata side mirror.
Sio kwa milima Udzungwa hasa vijiji vya Mang'ula...kwa maana kuna ranger post pale kijiji cha Sanje, kipo karibu na Mang'ula lakini pia Mang'ula ndio lilipo lango kuu la kuingia hifadhi ya Milima Udzungwa, sasa hawa jangili wanaingilia wapi na hizo "sanlog" zao...kwa hili nakataa akisema maeneo ya Ruipa naweza kukubaliana nae sio Mang'ula mkuu!
 
Unazijua zile pikipiki Sanlog sijui hizi ambazo town zinatumika kubebea mkaa? Achana na TVS na Boxer. Hizo Sanlg ni gari inapanda popote ile pikipiki tumezikamata sana porini jangili anakimbia anakuachia haina hata side mirror.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sio muhimu sana, haya mambo yapo.
 
Mkuu inaijua selou [emoji1487]… you said it all
 
Ila majangili wanafaa, sio
Kuna kitu wengi wanakosea hapa. Hakuna anayesema ujangili ni mzuri au kuwatetea. Tatizo ni pale hao askari wanyamapori wanapofanya unyama wa hali ya juu kwa watu ambao hata hawakustahili. Wengine unakuta ni hawa watu local na duni kabisa ambao wanatumia mapori kujikimu kutokana na ukali wa maisha na hawana silaha za hatari. Halafu wenhi wanakiuka sheria kwa kujichulia sheria mikononi.
 
Yani natamanigi Sana mazali kama haya yakukutana na majangili porini huko tena usiku. Huo mkono nitakaoutembeza maamaeee nitaacha historia na alama ya kudumu. Asante mleta mada Lazima sasa hivi nizame chaka niitendee haki black belt yangu.
Mkuu ukutane na majangili ya kisomali kama yale yaliyoua askari Loliondo kuna nafasi ya kupiga mkono?
 
Yani natamanigi Sana mazali kama haya yakukutana na majangili porini huko tena usiku. Huo mkono nitakaoutembeza maamaeee nitaacha historia na alama ya kudumu. Asante mleta mada Lazima sasa hivi nizame chaka niitendee haki black belt yangu.
Hahahahahahahahahahah
 
Askari game makatiki sana duniani hakuna yani hawafai
 
Jwtz ilifanya kufuru ya kutisha, majangili wa kisomali walifukiwa wakiwa hai kichwa kinabaki juu.
Lakini haikuwa vita rahisi majangili hao wa kisomali walikuwa na mbinu za kivita hatani.
Iliwachukua muda jwtz kuusoma mchezo.
Mbinu chafu mojawapo waliyokuwa wakitumia...ilikuwa wanaingia kwenye boma la wamasai...wanabaka na kuua wanaume na kuondoka na punda na kujifunika mashuka ya kimasai na kubeba silaha zao na punda.
 
Mara nyingi nilikuwa natoa nafasi ya wao kujua kipi kimefanya awe hivyo. Ni kweli utakuta asilimia 90 wanaishi maisha ya porini na wamezungukwa na Wanyama utakuta tembo kapigwa risasi huko kaja kufia kijijini halafu bila kuuliza unaanza zogo na wanakijiji na ukichaa tu.
 
Unazijua zile pikipiki Sanlog sijui hizi ambazo town zinatumika kubebea mkaa? Achana na TVS na Boxer. Hizo Sanlg ni gari inapanda popote ile pikipiki tumezikamata sana porini jangili anakimbia anakuachia haina hata side mirror.
Izo na toyo weeee mlimani inapandisha kama tambarare tu
 
kwenye hii operation kuna jamaa yangu alikuwepo saizi kapangiwa mlima kilimanjaro analinda kule anasema mtiti wake ulikua si wakitoto nao walikua na silaha kali hao wasomali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…