Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Taifa la israeli halikuanza 1948 bali 700B.C Chini ya Mfalme SauliVita kuu ya pili imehitimishwa kwa kuzaliwa taifa la Israel na vita kuu ya tatu itakayosababishwa uwepo wa taifa hilo hilo la Israel.
Acha tuone.
Marekani na Ulaya wapo chini ya Israel, wanatumika kwa manufaa ya Israel.Haipo hivyo, ila israel ni kama tawi la interest ya magharibi middle east, ulaya na marekani wana mikataba ya kuilinda ,kama marekani alivyoingia mkataba na japan kuilinda at any cost
Ni kama magharibi walivyokuwa na mikataba ya kupigana na kujilinda kwa pamoja
Ila sasa huyu kichaa wa sasa amesjaonyesha kuwa ni kichwa kibovu, aliingilia uchaguzi wa ufaransa kutaka kumtoa macron ,bahati macron kashinda na kazuia silaha kwenda israel, netanyahu anabaki kulilia
Halafu mambo ya ajabu anyofanya tofauti hata na ustaarabu wa nchi za magharibi na maslahi ya nchi za magharibi
Yes hawana budi kuisaidia israel ila netanyahu wameshamuona hawafai anawaingiza kwemye matatizo makubwa
Sio support, ni kuhamisha mfuko wa kushoto kwenda wa kulia. Master ni mmoja. (Rothschilds)Hizo ni stori za kutengeneza tu!!
Israel halisi ni ipi!!?je ni hii inayopata support Toka Marekani!!?
Nausibiri kwa hamu....π€Muda utaongea
Ila vita itapigwa kwa muda wa miaka saba.Nausibiri kwa hamu....π€
Sidhani!Sio support, ni kuhamisha mfuko wa kushoto kwenda wa kulia. Master ni mmoja. (Rothschilds)
Mbona michache sana...πIla vita itapigwa kwa muda wa miaka saba.
Muda utasema.....Sidhani!
Waisrael ni jamii ya watu weusi walio wengi kuliko weupe!
Hao unaowaita waisrael ni jamii ya wazungu, Germany, turkey na wazungu wengine!
Waisral wapo Ethiopia na huku Africa ni sisi watu weusi na sio hao!!
Naam newala mtwaraTunakusikiliza mchambuzi wa mambo ya vita kimataifa kutokea newala
Ni mingi sana mkuu, kwani ungependa ichapwe miaka mingapi?Mbona michache sana...π
Sawa sawa.Unajua kama Washindi wa vita vya pili vya Dunia ndo waliounda UN na kujipa haki ya kura ya VETO wao wenyewe na kuwakusanya wengine wote kwenye kapu moja ili wawasimamie vizuri bila kufurukuta wakiwa ndani ya kapu wakati huo wao wakijivinjari nje ya kapu wakifanya kila wanachoona ni sahihi kwao? Matrekani wanatanua na kujipimia tu nani wampige na nani wamuache, Urusi anajipimia tu size aipendayo, China majirani zake wote wanawapika mkwara anavyotaka. UK na Ufaransa wanajimegea tu rasilimali za Dunia. UN ni desig work ya hao washindi wa vita vya wazungu ingawa waliibatiza kuwa vita vya Dunia. wakati sisi afrika hatukuwa na maslahi yoyote na vile vita.
anaweza kuingia mtawala katili wote tukashika vichwa, hata msaada tukakosa ikawa ndio mwisho wetu third world countriesEnyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo.
Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia ya maisha ya mwanadamu. Huko ndipo palikuwa mwanzo na patakuwa mwisho.
Vita kuu ya tatu ipo njiani, Israel Vs Arabs, Marekani ataingilia na kutoa kiasi kikubwa cha wanajeshi wake, hapo ndipo China atapata nafasi ya kuvamia Taiwan, North korea dhidi ya south.
Wakati taifa la Marekani likiwa halina ulinzi wa kutosha, hapo ndipo vikosi vya UN vitaingia Marekani na kuchukua mamlaka.
Dunia itaingia katika state of emergency, na hapo ndipo mtawala mpya atatokea, mshindi kati ya Arabs Vs Israel, na ataitawala dunia kwa sheria zake, atakaye mpinga hatoishi, na wengine kuishia magerezani.(Order out of chaos)
Ukihitaji kufahamu zaidi kuhusu vita kuu ya tatu ya dunia, fungua link hii na utajifunza zaidi.π
WW3: How Will World War Three Affect You? Learn How To Prepare - Free Newsletter
How close are we to World War 3? Subscribe to FREE World War 3 alerts. World War 3 has been planned for decades - learn about the Conspiratorial Nature of History.www.threeworldwars.com
View attachment 3125748
Fungua link hiyo uone mengine ambayo yatakushangaza zaidi.Umeingua sana.
Zichapwe hadi tifutike duniani ndipo tutaheshimiana..πNi mingi sana mkuu, kwani ungependa ichapwe miaka mingapi?
Madhara makubwa ni kupoteza freedom as individuals, Mfano digital Currency and ID's....anaweza kuingia mtawala katili wote tukashika vichwa, hata msaada tukakosa ikawa ndio mwisho wetu third world countries
Mabeberu wakitoweka ghafla nini kitatokea kwa chumi zetu ambazo asilimia kubwa zinategemea wao?Ni upuuuzi kuita vita vya mabeberu vita vya dunia, dunia haikuwahi kushika bunduki!