Vita kuu ya tatu imekaribia, maandalizi yamekamilika, dunia kupata mtawala baada ya machafuko

Ana point ndio maana marekani bado wako naye.........wewe kambi ya UN inakuwaje karibu na kambi ya Hezbollah??? Wameambiwa wapishe kwa muda jamaa afanye safisha safisha wanagoma .......pia gaza ndio kabisa UN walitia aibu maana sever ya hamas ilikuwa kwenye ofisi za UN harafu eti Netanyahu asikasirike kama anafanyiwa hujma wazi wazi............dawa ya jino kung'oa ........wakiweka ugoko wewe weka jiwe.....................
 
Hawana point mkuu fuatilia vizuri, european countries zote zime condemn upuuzi waliofanya idf, yani united nations iipishe idf hivyo ni akili au matope
Na european countries ndio zilizokataa kwamba united nations ibakie hapo isisogee hata hatua moja
Netanyahu akaja na two contradicting stories kama kawaida yao waisrael wana tabia ya uongo ambao wazungu wameshashtukia kama hawa jamaa ni washenzi hawastahili hata huruma
Mara ya kwanza alidai idf walizidiwa wakakimbilia kambi za united nations kujiokoa na kwamba hezbollah wapo jirani ni uongo ,hezbollah wapo milimani kwenye very open areas mbali na raia, ila idf wanatumia united nations kama human shields ndio uone hawa jamaa ni wapuuzi, na dunia nzima imeshtuka kwamba tulikuwa tunafuga nyoka
 
Una point
 
Nilipoona neno askari wa UN nikazima data!!!!
 
Kwa hiyo hao wataungana na Hizbola Hamas na Iran kushambulia Israel ??
 
Bora dunia ifutike tu, kilakitu kianze upya...๐Ÿ™„
Nipo hapa mapango ya Ambini, dunia ikianza upya mimi nakuwa Chifu na hapa mapangoni ndiyo yatakuwa makao makuu, na eneo la utawala linakuwa ni Afrika mashariki na kati
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ Kabisa ,UN Ina vikosi? Kwamba wewe mmatumbi unayajua sana haya kuliko wahusika?
 
Wakidhibitiwa Netanyahu,Putin na Kim Dunia inakuwa mahala salama pa kuishi
 
Mkuu achana na hizi habari. Kafuatilie ule mzigo wa Makava ya simu usije ukaupoteza, niliutuma kwa basi la Turu best linalotokea Singida kuja huko Meatu.
Yapo makava 20 kila moja utauza 7000

 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ Kabisa ,UN Ina vikosi? Kwamba wewe mmatumbi unayajua sana haya kuliko wahusika?
Hoja yako ni ipi hapo?

Nayajua mengi sana zaidi ya hayo, kama wewe hujui kubali kujuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ