Vita l'O , wakiondoka watuachie msemaji wao yule jamaa ni mtu safi sana halafu ikiwezekana apate kazi kwenye timu za Bongo.

Vita l'O , wakiondoka watuachie msemaji wao yule jamaa ni mtu safi sana halafu ikiwezekana apate kazi kwenye timu za Bongo.

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Yule jamaa ana courage kubwa sana ,
Yule kwanza ni muungwana sana ,
Anapokua kashindwa wala haleti ubishi, anakubali na maisha mengine yanaendelea hataki matatizo na watu,
Buchuti anakupambania hadi mwisho hata kama anajua utashindwa,
Jamaa abaki tu Bongo ili tudumishe muungano wa east africa, sisi ni wamoja,
By then warundi, Kwa Tanzania ni kwao maana sisi ndio walezi wa lile taifa, na serikali zote za Burundi huungwa mkono kutokea Tanzania,
Semaji abakie tu aendelee kupiga kazi
 
Tunapenda sana mambo ya kijinga😃, angekua mwanasiasa angepewa ubunge huyu😃
 
Picture Ziko Wapi
Tumuone Hamenya Mughabho
 
Jana niliona humu kapata Singida Fountain Gate
 
Aache miradi yake kule Burundi aje kufanya uchawa bongo? Huu usemaji ni secondary employment na jamaa anafanya for funny sio kwamba anatafuta hela. Kwa wanaonjua huyu jamaa yupo njema kiuchumi na ana miradi kibao Burundi. Hilo tumbo halijajaa hewani Bali ni kuridhika kiuchumi
 
Kwani tumesema hana uchumi, Kwa taarifa yako tunaowajua warundi ni watafutaji sana kuliko wabongo na wametembea sana kuliko sisi, hata USA warundi ni wengi kuliko wabongo, basi tu ni mtu muungwana tumempenda
 
Amelamba teuzi pale Mbumbumbu au ukipemda waite Rage FC ataenda kusaidiana na roporopo Ahmed Ally.
 
Mkuu hii ni michezo usiwe serious sana kwenye maisha.....

Wakati wote baada ya muda tunazama udongoni
Shida ni kua hayo mambo ya kijinga yapo mpaka kwenye siasa ambazo ndo zinaamua mustakabali wa mtanzania
 
Back
Top Bottom