Jamaa nimemkubali sana, watu aina yake ni watu ambao wanakua watu wema na wenye furaha muda woteHaha kibonge
Kabisa ni mtu muungwana mno, haijawahi kutokea msemaji wa timu za nje akubalike Bongo kama yeyeJamaa anakubalika sana ni muungwana
Mkuu hii ni michezo usiwe serious sana kwenye maisha.....Tunapenda sana mambo ya kijinga😃, angekua mwanasiasa angepewa ubunge huyu😃
Kwani tumesema hana uchumi, Kwa taarifa yako tunaowajua warundi ni watafutaji sana kuliko wabongo na wametembea sana kuliko sisi, hata USA warundi ni wengi kuliko wabongo, basi tu ni mtu muungwana tumempendaAache miradi yake kule Burundi aje kufanya uchawa bongo? Huu usemaji ni secondary employment na jamaa anafanya for funny sio kwamba anatafuta hela. Kwa wanaonjua huyu jamaa yupo njema kiuchumi na ana miradi kibao Burundi. Hilo tumbo halijajaa hewani Bali ni kuridhika kiuchumi
Ukichukulia kila kitu Kwa umakini utashindwa sana na vitu vingi,Mkuu hii ni michezo usiwe serious sana kwenye maisha.....
Wakati wote baada ya muda tunazama udongoni
Shida ni kua hayo mambo ya kijinga yapo mpaka kwenye siasa ambazo ndo zinaamua mustakabali wa mtanzaniaMkuu hii ni michezo usiwe serious sana kwenye maisha.....
Wakati wote baada ya muda tunazama udongoni