Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kwa bahati mbaya sasa, heshima haitakuja kwasababu iran hana uwezo kuipiga israel, hata wao wenyewe wanajua hilo. na Israel anafanya hivyo makusudi ili kupata sababu ya kuingia vitani, na ninaamini anatumwa na mabeberu pia walioathirika pakubwa na wahuthi wanaosapitiwa na iran. cha kuomba Mungu vita isianze tu, ili uchumi usishuke.Bora tufe njaa lkn uislam duniani uheshimike na makafiri
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”
Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.
Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Uko Gaza au Syria utupe habari za kichapo mnachotembeza kwa makafir?Bora tufe njaa lkn uislam duniani uheshimike na makafiri
Moto unaonenda kuwaka middle East utakua mbaya kupindukia Kisasi cha Iran kitakua ni kizito mno"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”
Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.
Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
sasa wazee hao maskini dah, kwamba na wao wana pumzi ya kumdhibiti muisraeli kweli?"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”
Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.
Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Nimelike post yako kabisa intentionallyTime will tell.
Iran ndiyo mhimili wa ugaidi na uovu mashariki ya kati maana ndiye muasisi, mlezi na mfadhili. Iran akiingia vitani itakuwa ni neema, maana Israel atapata fursa ya kukata mzizi wa fitna mazima"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”
Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.
Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
mashoga wapewe kichapo heavy..."Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”
Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.
Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Kama ni mapinduzi itakuwa ni kama yale ya nchi za Afrika Magharibi.Wanashika vijana ambao hawana urafiki na nchi za magharibi na wanaijua Qur'an sawa sawa na kuitekeleza kwa kuoa wake zaidi ya 1Hizo nchi zote ziko tayari kwa vita au xiko tayari kupinduliwa?
Vita hiyo inaenda pindua uongozi nchi zote hizo.
mashoga wapewe kichapo heavy...
Unachekesha sanaaa...Hezbollah wataingia Israel kwa kupitia wapi?🤣🤣🤣"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”
Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.
Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Madaraka matamu Ayatollah analijua hilo vizuri."Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”
Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.
Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Saudia akiijitambua atapigwa vita vikuu. Hivi hajitambui tuTatizo ambalo hulijui ni kua hao unaowasema makafiri ndio wenye akili sana kuliko team makubazi, Mafuta wenzako waliliona hilo na wamejiwekea akiba ya hata miaka 100 pindi mkikata hayo mafuta yenu, na huo ubavu wa kukata hayo mafuta hamna pia maana mitambo na wataalam wote wanatoka nchi za makafir na pesa mnayonunulia mahitaji yenu ni dollars za makafir. Ogopa sana mtu aliekuzidi maarifa kuliko aliekuzidi mali.
Labda anamaanisha wakitokea kuzimu.Unachekesha sanaaa...Hezbollah wataingia Israel kwa kupitia wapi?🤣🤣🤣
Acha hizo Sheikh, Wanusuru Waislam wenzetu
U mzima kweli?Kuheshimika Kwa uislamu na makafiri kutakuongezea Nini?Bora tufe njaa lkn uislam duniani uheshimike na makafiri
Kapime Afya ya Akili yako huko Mirembe Mental Hospital.Bora tufe njaa lkn uislam duniani uheshimike na makafiri
bora mfe njaa ili mkapewe mabikra 72 na mito ya konyagi. Maislamu hua ni majinga sana.Bora tufe njaa lkn uislam duniani uheshimike na makafiri