Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

Kwa hiyo IDF ni wajinga kufanya izo operations ushahidi unapostiwa ni jinsi gani maeneo ya shule yanageuzwa sehemu ya kufyatulia maroketi. Unatunzaje siraha maeneo ya shule watt badala wapate elimu iwakomboe wanafundishwa ugaidi. Mm naona bora wafyekwe wote tu kwa sababu hivo vitt vitakuja kuwa vigaidi baadaye.
 

Na yale mahandaki yaliyo chini ya majengo ya hospitali yamefuga wavuta bangi? Pili Israel ilishatangaza na kurudia kuwa raia wote waondoke kaskazini waelekee kusini na wengi walifanya hivyo, hao ambao bado wapo huko kaskazini kwenye mahospitali au mashule wanangoja nini wakati Israel ilishasema waondoke ili hilo eneo la kaskazini libaki uwanja wa mapambano? Wacha wanyukwe!
 

Wafanyakazi? Wanamfanyia bani kazi wakati watu wote waliambiwa waondoke kuelekea kusini ili huo uwanja ubaki wa mapambano? Wanangoja nini mle na wakati chini ya yale majengo yamezagaa mahandaki? Yale mahandaki wanafugia kiti moto?
 
Ushahidi wa kuwa mayahudi ni waongo na wadanganyifu ni mwingi na kwamba hiyo intelijensia yao mara nyingi imefeli mia kwa mia kama ile oktoba 7.
Hapo ndo shida inayowasumbua wanazi wa Palestine kuamini intelligensia ya Israel imeshindwa 💯 . Kwa taarifa Yako mashambulizi ya Oktober 7 yalikua yanajulikana na ilikuwa mtego Kwa HAMAS wakaingia mzima mzima 🤣🤣🤣
Sasa una kipi cha kutulazimisha tuamini maneno ya msemaji wa jeshi na huku data zimezimwa.
Hujalazimishwa na yeyote kuamini wewe bumunda🤣🤣🤣
Naibu waziri wa afya wa Gaza jana alikuwemo ndani ya hospitali akawa anatoa ushahidi kwa ukatili wa Israel na akasema hawezi kurusha picha kutokana na data za intaneti kuzimwa.
Ndo maana nakuita kiazi wewe jamaa 🤣🤣 . Sasa unasema naibu waziri anatoa USHAHIDI wa ukatili wa Israel huku unasema hawezi kurusha PICHA 🤣🤣 hebu soma vizuri ulichokiandika .


NB: akiri unayoitumia kusikiliza taarifa za Upande wa wapalestina itumie akiri hiyohiyo kuwasikiliza Israel pasipo kupendelea Upande wowote. Vinginevyo utaendelea kuumia moyo wako Bure 😅😅😅
 

Kama waneamua hivyo ni vizuri, utakuwa ndiyo mwisho wa Hamas maana jamaa watawaua wote!
 
Akijibu hilo swali bila mahaba ya kijinga,apewe tende kilo mbili na kongoro la ngamia.
 
Kuna mtu kasema ati bomu linashuka kwenye dispensari kama mwewe
😂😂😂😂

Ila tuache utani vita siyo kitu ya kucheka
Tushukuru mungu tunaishi kwa amani
 
Wiki iliyopita ulikuwa unaongelea umahiri wa Hamas.Naona wiki hii unatafuta huruma kwa wananzengo.
Hivi wewe hawa waislamu wanaouwawa Sudan kwa halaiki hawakuhusu?
Hamas kishatepeta anageizwa mlenda soon!
Pole sana kwa kuonewa na IDF
 
Wewe ndugu una upungufu wa akili au umeamua kujitoa ufahamu tu. Yan gaifi utegemee kumuona hospital na mabunduki ndivyo unadhani ivyo? Na hospital kuna media na raia kibao wanapatiwa matibabu. Kwamba Israel ni wajinga fulani waende tu kuzunguka hospitali bila sababu. Wewe huna unachojua unatetea tu ugaidi
 
Wiki iliyopita ulikuwa unaongelea umahiri wa Hamas.Naona wiki hii unatafuta huruma kwa wananzengo.
Hivi wewe hawa waislamu wanaouwawa Sudan kwa halaiki hawakuhusu?
Hamas kishatepeta anageizwa mlenda soon!
Pole sana kwa kuonewa na IDF
Sema nao wanajeshi wa IDF wanapukutika sijui hawakujiandaa? Jana nimeona wanajeshi kama kumi wamepostiwa na IDF.
 
Si Israel iende kwa miguu ikakague mateka na Hamas.
Usiwapangie namna ya kuishi.Unaongelea taifa kubwa sana duniani katika innovations.Wao waliwekeza katika ginduzi nyie mkabaki na ilmu ya madrasa.Ni Wakati wao kuifanyia majaribio live mitambo yao ya kijeshi.Kifupi Hamas wanatumika kama.specimen!
Kiongozi wa Hizbullah naye jana nimemsikia analia lia kama wewe.Kashindwa kuact
 
Propoganda za kishoga kwelli mashoga wenzako ndiyo watakubaliana na wewe umeamua kuweka picha za katuni ndiyo ushahidi ukiwa shoga na akili inahama kabisa
Uzuri kupitia wewe unatuonesha waislamu ni watu wa namna gani.
Samaleko!
 
Sisi tupo kwenye vita ya kiuchumi dhidi ya mabeberu.Bhita ni bhita tu wa kwetu!🤔
Hio ni vita ambayo haina madhara makubwa kama hii ya tit for tat

Just imajen umekaa zako home jirani kitu kinatua pap nyumba ya jirani ishakua tanuru my friend sijawahi kuwa vitani ila tusifike huko
 
Hio ni vita ambayo haina madhara makubwa kama hii ya tit for tat

Just imajen umekaa zako home jirani kitu kinatua pap nyumba ya jirani ishakua tanuru my friend sijawahi kuwa vitani ila tusifike huko
Waliyatafuta wenyewe.Waache wajipambanie kivyao.
 
Ni CHuki zinakusumbua tu. Hamas wanajua nini wanafanya ili kuamsha hasira za waarabu na waarabu koko kama wewe.
Wanatumia miundo mbinu ya kiraia maksudi ili kuonesha ubaya wa jeshi la Israeli
Ww unaye shabikia mauaji ya watoto na wanawake wa kipalestina huna chuki?

Alafu mmesha ambiwa leteni ushahidi lakini mnabungaa macho tu.

Hata Israel imesha ambiwa na umoja wa mataifa kuwa ilete ushahidi wa madai yake lakini mpaka sasa hatujaona cha maana.
 
sikushangai maana nakuona kama unaimba taarabu vidole juu maana huelewi palestine anawezaje kupigana kwa kutumia mawe mbele ya AK47
 
Akijibu hilo swali bila mahaba ya kijinga,apewe tende kilo mbili na kongoro la ngamia.

Na kama wanadai bado kuna watu ukanda wa kaskazini basi hao ni magaidi, wake zao na watoto wa hayo magaidi. Pili, kule chini ya majengo ya hospitali watakuwa wamefuga kitimoto!
Kama hawakufuga kitimoto basi ndimo walipojibanza hao magaidi.
 
Nenda page ya IDF Instagram wameweka ushahidi wa kutosha ila kwa sababu macho yenu yamepofushwa na chuki ya kidini hamuwezi kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…