Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

Unajifanya unajua ukweli kuliko wale walio kule Gaza na wafanyakazi wa UN.Wote wamesema hawajaona Hamas humo hospitalini.
Picha zinazooneshwa zote ni kila mmoja analia au anafanya kazi za kuokoa maisha ya majeruhi.Hamas wangekuwa wana bunduki mabegani au wameduwaa kwa vile hawana mafunzo ya udaktari.
Kwa hiyo IDF ni wajinga kufanya izo operations ushahidi unapostiwa ni jinsi gani maeneo ya shule yanageuzwa sehemu ya kufyatulia maroketi. Unatunzaje siraha maeneo ya shule watt badala wapate elimu iwakomboe wanafundishwa ugaidi. Mm naona bora wafyekwe wote tu kwa sababu hivo vitt vitakuja kuwa vigaidi baadaye.
 
Unajifanya unajua ukweli kuliko wale walio kule Gaza na wafanyakazi wa UN.Wote wamesema hawajaona Hamas humo hospitalini.
Picha zinazooneshwa zote ni kila mmoja analia au anafanya kazi za kuokoa maisha ya majeruhi.Hamas wangekuwa wana bunduki mabegani au wameduwaa kwa vile hawana mafunzo ya udaktari.

Na yale mahandaki yaliyo chini ya majengo ya hospitali yamefuga wavuta bangi? Pili Israel ilishatangaza na kurudia kuwa raia wote waondoke kaskazini waelekee kusini na wengi walifanya hivyo, hao ambao bado wapo huko kaskazini kwenye mahospitali au mashule wanangoja nini wakati Israel ilishasema waondoke ili hilo eneo la kaskazini libaki uwanja wa mapambano? Wacha wanyukwe!
 
Wafanyakazi? Wanamfanyia bani kazi wakati watu wote waliambiwa waondoke kuelekea kusini ili huo uwanja ubaki wa mapambano? Wanangoja nini mle na wakati chini ya yale majengo yamezagaa mahandaki? Yale mahandaki wanafugia kiti moto?
 
Ushahidi wa kuwa mayahudi ni waongo na wadanganyifu ni mwingi na kwamba hiyo intelijensia yao mara nyingi imefeli mia kwa mia kama ile oktoba 7.
Hapo ndo shida inayowasumbua wanazi wa Palestine kuamini intelligensia ya Israel imeshindwa 💯 . Kwa taarifa Yako mashambulizi ya Oktober 7 yalikua yanajulikana na ilikuwa mtego Kwa HAMAS wakaingia mzima mzima 🤣🤣🤣
Sasa una kipi cha kutulazimisha tuamini maneno ya msemaji wa jeshi na huku data zimezimwa.
Hujalazimishwa na yeyote kuamini wewe bumunda🤣🤣🤣
Naibu waziri wa afya wa Gaza jana alikuwemo ndani ya hospitali akawa anatoa ushahidi kwa ukatili wa Israel na akasema hawezi kurusha picha kutokana na data za intaneti kuzimwa.
Ndo maana nakuita kiazi wewe jamaa 🤣🤣 . Sasa unasema naibu waziri anatoa USHAHIDI wa ukatili wa Israel huku unasema hawezi kurusha PICHA 🤣🤣 hebu soma vizuri ulichokiandika .

NB: akiri unayoitumia kusikiliza taarifa za Upande wa wapalestina itumie akiri hiyohiyo kuwasikiliza Israel pasipo kupendelea Upande wowote. Vinginevyo utaendelea kuumia moyo wako Bure 😅😅😅
 
Israel hawaaminiki kwa kauli na matendo yao.Kuhusu kusini wameshasema wakimaliza huku kama wataweza wanakwenda kusini.Kabla ya kumalizika chochote huko kusini wanapigwa kila siku.
Katika hali kama hiyo wengi wameona bora wabaki huku huku na kama ni kufa wafe huko huko kwao.

Kama waneamua hivyo ni vizuri, utakuwa ndiyo mwisho wa Hamas maana jamaa watawaua wote!
 
Na yale mahandaki yaliyo chini ya majengo ya hospitali yamefuga wavuta bangi? Pili Israel ilishatangaza na kurudia kuwa raia wote waondoke kaskazini waelekee kusini na wengi walifanya hivyo, hao ambao bado wapo huko kaskazini kwenye mahospitali au mashule wanangoja nini wakati Israel ilishasema waondoke ili hilo eneo la kaskazini libaki uwanja wa mapambano? Wacha wanyukwe!
Akijibu hilo swali bila mahaba ya kijinga,apewe tende kilo mbili na kongoro la ngamia.
 
Kuna mtu kasema ati bomu linashuka kwenye dispensari kama mwewe
😂😂😂😂

Ila tuache utani vita siyo kitu ya kucheka
Tushukuru mungu tunaishi kwa amani
 
Meneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea.

Baada ya hapo hospitali hizo zilianza kupigwa kwa makombora kutoka ndege za kivita na kusababisha vifo vya watu wengi.

Upande wake katibu mkuu wa umoja wa mataifa amewahi kusema Gaza imegeuka kuwa ni kaburi la watoto baada ya kuona jinsi watoto wanavyouliwa wazi wazi ja jeshi la Israel.

Yenyewe UN imeshapoteza wafanyakazi wake zaidi ya 100 ambayo ndio idadi kubwa kuwahi kulikumba shirika hilo katika mzozo wowote mmoja duniani.

Mashirika ya habari nayo yameshapoteza waandishi wao wa habari mahiri tangu kuanza kwa vita hivyo wengi wakiwa wameuliwa kwa makusudi kwani huwa wamevaa vizibao vyao vya kuwajulisha shughuli yao.

Hasira hizo za IDF ni matokeo ya kutofikiwa kwa malengo yake zaidi ya mwezi tangu vita na wapalestina vianze huko Gaza. Hakuna mateka hata mmoja aliyeokolewa na Hamas bado wako hai wanapigana kwa nguvu.
Wiki iliyopita ulikuwa unaongelea umahiri wa Hamas.Naona wiki hii unatafuta huruma kwa wananzengo.
Hivi wewe hawa waislamu wanaouwawa Sudan kwa halaiki hawakuhusu?
Hamas kishatepeta anageizwa mlenda soon!
Pole sana kwa kuonewa na IDF
 
Unajifanya unajua ukweli kuliko wale walio kule Gaza na wafanyakazi wa UN.Wote wamesema hawajaona Hamas humo hospitalini.
Picha zinazooneshwa zote ni kila mmoja analia au anafanya kazi za kuokoa maisha ya majeruhi.Hamas wangekuwa wana bunduki mabegani au wameduwaa kwa vile hawana mafunzo ya udaktari.
Wewe ndugu una upungufu wa akili au umeamua kujitoa ufahamu tu. Yan gaifi utegemee kumuona hospital na mabunduki ndivyo unadhani ivyo? Na hospital kuna media na raia kibao wanapatiwa matibabu. Kwamba Israel ni wajinga fulani waende tu kuzunguka hospitali bila sababu. Wewe huna unachojua unatetea tu ugaidi
 
Wiki iliyopita ulikuwa unaongelea umahiri wa Hamas.Naona wiki hii unatafuta huruma kwa wananzengo.
Hivi wewe hawa waislamu wanaouwawa Sudan kwa halaiki hawakuhusu?
Hamas kishatepeta anageizwa mlenda soon!
Pole sana kwa kuonewa na IDF
Sema nao wanajeshi wa IDF wanapukutika sijui hawakujiandaa? Jana nimeona wanajeshi kama kumi wamepostiwa na IDF.
 
Si Israel iende kwa miguu ikakague mateka na Hamas.
Usiwapangie namna ya kuishi.Unaongelea taifa kubwa sana duniani katika innovations.Wao waliwekeza katika ginduzi nyie mkabaki na ilmu ya madrasa.Ni Wakati wao kuifanyia majaribio live mitambo yao ya kijeshi.Kifupi Hamas wanatumika kama.specimen!
Kiongozi wa Hizbullah naye jana nimemsikia analia lia kama wewe.Kashindwa kuact
 
Propoganda za kishoga kwelli mashoga wenzako ndiyo watakubaliana na wewe umeamua kuweka picha za katuni ndiyo ushahidi ukiwa shoga na akili inahama kabisa
Uzuri kupitia wewe unatuonesha waislamu ni watu wa namna gani.
Samaleko!
 
Ni CHuki zinakusumbua tu. Hamas wanajua nini wanafanya ili kuamsha hasira za waarabu na waarabu koko kama wewe.
Wanatumia miundo mbinu ya kiraia maksudi ili kuonesha ubaya wa jeshi la Israeli
Ww unaye shabikia mauaji ya watoto na wanawake wa kipalestina huna chuki?

Alafu mmesha ambiwa leteni ushahidi lakini mnabungaa macho tu.

Hata Israel imesha ambiwa na umoja wa mataifa kuwa ilete ushahidi wa madai yake lakini mpaka sasa hatujaona cha maana.
 
Kwa hiyo wanatumia marungu kupigana? Na kama hawana silaha badala take wana marungu waliendaje kuichokoza Israel tarehe 07 Oktoba wakati wanajua hawana silaha zaidi ya marungu? Au kuna mtu toka nchi nyingine aliwadanganya kuwa waingie Israel halafu atawasaidia?
sikushangai maana nakuona kama unaimba taarabu vidole juu maana huelewi palestine anawezaje kupigana kwa kutumia mawe mbele ya AK47
 
Akijibu hilo swali bila mahaba ya kijinga,apewe tende kilo mbili na kongoro la ngamia.

Na kama wanadai bado kuna watu ukanda wa kaskazini basi hao ni magaidi, wake zao na watoto wa hayo magaidi. Pili, kule chini ya majengo ya hospitali watakuwa wamefuga kitimoto!
Kama hawakufuga kitimoto basi ndimo walipojibanza hao magaidi.
 
Ww unaye shabikia mauaji ya watoto na wanawake wa kipalestina huna chuki?

Alafu mmesha ambiwa leteni ushahidi lakini mnabungaa macho tu.

Hata Israel imesha ambiwa na umoja wa mataifa kuwa ilete ushahidi wa madai yake lakini mpaka sasa hatujaona cha maana.
Nenda page ya IDF Instagram wameweka ushahidi wa kutosha ila kwa sababu macho yenu yamepofushwa na chuki ya kidini hamuwezi kuona
 
Back
Top Bottom