gemseeker23
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 354
- 246
sasa mwenye chuki ni nani kama sio wewe mwiziraeli wa mbaggalaNi CHuki zinakusumbua tu. Hamas wanajua nini wanafanya ili kuamsha hasira za waarabu na waarabu koko kama wewe.
Wanatumia miundo mbinu ya kiraia maksudi ili kuonesha ubaya wa jeshi la Israeli
Du malengo hayajafikiwa wakati Gaza iliyokuwa chini ya Hamas ipo mikononi mwa Izrael? Au kuna malengo mengine zaidi ya kuwa ondoa Hamas na wapalestina kupata viongozi wanao jali utuMeneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea.
Baada ya hapo hospitali hizo zilianza kupigwa kwa makombora kutoka ndege za kivita na kusababisha vifo vya watu wengi.
Upande wake katibu mkuu wa umoja wa mataifa amewahi kusema Gaza imegeuka kuwa ni kaburi la watoto baada ya kuona jinsi watoto wanavyouliwa wazi wazi ja jeshi la Israel.
Yenyewe UN imeshapoteza wafanyakazi wake zaidi ya 100 ambayo ndio idadi kubwa kuwahi kulikumba shirika hilo katika mzozo wowote mmoja duniani.
Mashirika ya habari nayo yameshapoteza waandishi wao wa habari mahiri tangu kuanza kwa vita hivyo wengi wakiwa wameuliwa kwa makusudi kwani huwa wamevaa vizibao vyao vya kuwajulisha shughuli yao.
Hasira hizo za IDF ni matokeo ya kutofikiwa kwa malengo yake zaidi ya mwezi tangu vita na wapalestina vianze huko Gaza. Hakuna mateka hata mmoja aliyeokolewa na Hamas bado wako hai wanapigana kwa nguvu.
Nyie ndio mnachuki. Mnaona Israeli hana haki ya kujilinda dhidi ya ugaidisasa mwenye chuki ni nani kama sio wewe mwiziraeli wa mbaggala
Sasa kama hizo hospitals na mashule ndio mnatumia kufanya upuuzi wenu kwann msibondwe? wavaa kobaz akili zao ni fupi na watu wa kulia lia kuonewa huruma tu?
Hizo ni propaganda na ndio maana Israel ilizima Internet ili ukweli usijulikane bali watu wameze propaganda zake, hizo video ana weza kutengeneza.Nenda page ya IDF Instagram wameweka ushahidi wa kutosha ila kwa sababu macho yenu yamepofushwa na chuki ya kidini hamuwezi kuona
ugaidi upi unaozungumzia wakati america uingereza france yaani umoja wakujihami ndio magaidi mipango yote ni yao matukio yote wanatengeza wao nakuihadaa ulimwengu... tumia akili na busara japo kidogo usiwe ziro breinNyie ndio mnachuki. Mnaona Israeli hana haki ya kujilinda dhidi ya ugaidi
Ww mbona huoni haki ya wapalestina kuifurusha Israel kwenye ardhi zao badala yake unawaita magaidi?Nyie ndio mnachuki. Mnaona Israeli hana haki ya kujilinda dhidi ya ugaidi
Tunarudi kule Kule chuki zimewapofusha! Na siku Israeli ikianguka usidhani hapo middle east patakua na amani. Msikilize uyu Bin Salman anachosema. Yupo radhi Israeli awe na Silaha za Nuclear kuliko waislam wenzake wa Iran.Hizo ni propaganda na ndio maana Israel ilizima Internet ili ukweli usijulikane bali watu wameze propaganda zake, hizo video ana weza kutengeneza.
Umoja wa mataifa ambao ndio wasimamizi wakuu wa hizo hospital wamesha sema hakuna kitu kama hicho kinacho semwa na Israel kwa hiyo unataka kuniambia umoja wa mataifa unashirikiana kuficha maovu ya hamas?
Hata mashirika ya kutetea haki za binadamu juzi walitoa tamko ya kukanusha madai ya Israel.
Ile ardhi ni ya wayahudi tangu vizazi na vizazi. Wapalestina ni kama wapangaji tuWw mbona huoni haki ya wapalestina kuifurusha Israel kwenye ardhi zao badala yake unawaita magaidi?
Ugaidi wa hamas wa kuchoma moto watoto wadogo pamoja na kubaka wanawakeugaidi upi unaozungumzia wakati america uingereza france yaani umoja wakujihami ndio magaidi mipango yote ni yao matukio yote wanatengeza wao nakuihadaa ulimwengu... tumia akili na busara japo kidogo usiwe ziro brein
nimefurahi kusikia hivyo na nimegundua kuwa wewe ni ziro breinUgaidi wa hamas wa kuchoma moto watoto wadogo pamoja na kubaka wanawake
kawapokelee kodi kutoka kwa wapangajiIle ardhi ni ya wayahudi tangu vizazi na vizazi. Wapalestina ni kama wapangaji tu
NincompoopMtu Kama huyu. Uwezi kuelewesha chochote ukaelewa, unachojua kwamba ukifa unaenda kutana na mabikira. Sasa Israel anachofanya ni kuwapeleka kwenye mahuti, mkakutane na hawo mabikira
The end does not justify the mean. Kama lengo la Israel ni kuwamaliza Hamas sawa wawamalize ila sio kwa kupitia kuua raia.Shida ni kuwa hao Hamas wapo wapi kuwakomboa wanaochapwa hadi Hospitalini kama siyo ni wao wenyewe wamejichanganya na raia na watoto? Unadhani Hamas kwa mfano wangekuwa wameingia upande wa Israel wanapigana kuna mtu yoyote anaitwa Hamas angepona? Wenzao wamewafuata Gaza kwao wao wamejificha kwenye mashimo na kwenye shule na hospitali, na Israel wanajua kuwa wamejibanza humo ndiyo maana wanashushiwa moto humo humo!
Kamsaidie huko UkraineDunia haiko salama chini ya mikono ya Marekani tuiombee Urusi ipande nguvu za kijeshi Ili isimame imara dhidi ya UNYAMA WA MAREKANI DUNIANI KOTE
πππ punguza hasira ustazi.kawapokelee kodi kutoka kwa wapangaji
Israel haijawahi kushinda mapigano yoyote mzee. Amka usingizini.Ww nawe kisoda kweli utaweza kupambana na mtu anayejuchanganya na raia hana sare hana nn. Hamas ni waoga mwanaume hajifichi nyuma ya mwanamke na mtt ndo maana IDF wakihisi tu pale kuna magaidi, kuwepo watt kuwepo wazee ni kufumua tu watajua mbele ya safari. Israel iliwapiga waarabu ikiwa na siku moja tu tokea izaliwe hamuishi kujipa matumaini. Na mwaka huu wazayuni watazaa na nyinyi.
Kwa hiyo na wewe unaunga mkono vitendo vya kijinai vya hamas?! Kuuwa raia zaidi ya 260 wakina Kwenye tamasha la musicnimefurahi kusikia hivyo na nimegundua kuwa wewe ni ziro brein
vipi kama watoto wako au familia yako ingefanyiwa hivi?Hapo inawezekana Israel ikawa inalaumiwa bure kwa sababu hao watoto wanao lipuliwa ni watoto wa hao magaidi.
Na Israel inaogopa ikiwaacha hao watoto ndio watakuwa magaidi wa baadaye kwahiyo Israel inakata miti pamoja na mizizi yake.
Hata hivyo Israel ilishatoa muda raia wema kuondoka gaza.
Bila Israel kuwepo hii vita isinge kuwepo maana wapalestina wangekuwa kwenye nchi yao wanaishi kwa amani.Tunarudi kule Kule chuki zimewapofusha! Na siku Israeli ikianguka usidhani hapo middle east patakua na amani. Msikilize uyu Bin Salman anachosema. Yupo radhi Israeli awe na Silaha za Nuclear kuliko waislam wenzake wa Iran.
View: https://youtu.be/Pri6MKB4M8s?si=-IYsXHOO9STIyI68