Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

Ni CHuki zinakusumbua tu. Hamas wanajua nini wanafanya ili kuamsha hasira za waarabu na waarabu koko kama wewe.
Wanatumia miundo mbinu ya kiraia maksudi ili kuonesha ubaya wa jeshi la Israeli
sasa mwenye chuki ni nani kama sio wewe mwiziraeli wa mbaggala
 
Meneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea.

Baada ya hapo hospitali hizo zilianza kupigwa kwa makombora kutoka ndege za kivita na kusababisha vifo vya watu wengi.

Upande wake katibu mkuu wa umoja wa mataifa amewahi kusema Gaza imegeuka kuwa ni kaburi la watoto baada ya kuona jinsi watoto wanavyouliwa wazi wazi ja jeshi la Israel.

Yenyewe UN imeshapoteza wafanyakazi wake zaidi ya 100 ambayo ndio idadi kubwa kuwahi kulikumba shirika hilo katika mzozo wowote mmoja duniani.

Mashirika ya habari nayo yameshapoteza waandishi wao wa habari mahiri tangu kuanza kwa vita hivyo wengi wakiwa wameuliwa kwa makusudi kwani huwa wamevaa vizibao vyao vya kuwajulisha shughuli yao.

Hasira hizo za IDF ni matokeo ya kutofikiwa kwa malengo yake zaidi ya mwezi tangu vita na wapalestina vianze huko Gaza. Hakuna mateka hata mmoja aliyeokolewa na Hamas bado wako hai wanapigana kwa nguvu.
Du malengo hayajafikiwa wakati Gaza iliyokuwa chini ya Hamas ipo mikononi mwa Izrael? Au kuna malengo mengine zaidi ya kuwa ondoa Hamas na wapalestina kupata viongozi wanao jali utu
 
Sasa kama hizo hospitals na mashule ndio mnatumia kufanya upuuzi wenu kwann msibondwe? wavaa kobaz akili zao ni fupi na watu wa kulia lia kuonewa huruma tu?
Screenshot_20231111_154342_Telegram.jpg
Screenshot_20231111_154732_Telegram.jpg
 
Nenda page ya IDF Instagram wameweka ushahidi wa kutosha ila kwa sababu macho yenu yamepofushwa na chuki ya kidini hamuwezi kuona
Hizo ni propaganda na ndio maana Israel ilizima Internet ili ukweli usijulikane bali watu wameze propaganda zake, hizo video ana weza kutengeneza.

Umoja wa mataifa ambao ndio wasimamizi wakuu wa hizo hospital wamesha sema hakuna kitu kama hicho kinacho semwa na Israel kwa hiyo unataka kuniambia umoja wa mataifa unashirikiana kuficha maovu ya hamas?

Hata mashirika ya kutetea haki za binadamu juzi walitoa tamko ya kukanusha madai ya Israel.
 
Nyie ndio mnachuki. Mnaona Israeli hana haki ya kujilinda dhidi ya ugaidi
ugaidi upi unaozungumzia wakati america uingereza france yaani umoja wakujihami ndio magaidi mipango yote ni yao matukio yote wanatengeza wao nakuihadaa ulimwengu... tumia akili na busara japo kidogo usiwe ziro brein
 
Nyie ndio mnachuki. Mnaona Israeli hana haki ya kujilinda dhidi ya ugaidi
Ww mbona huoni haki ya wapalestina kuifurusha Israel kwenye ardhi zao badala yake unawaita magaidi?
 
Hizo ni propaganda na ndio maana Israel ilizima Internet ili ukweli usijulikane bali watu wameze propaganda zake, hizo video ana weza kutengeneza.

Umoja wa mataifa ambao ndio wasimamizi wakuu wa hizo hospital wamesha sema hakuna kitu kama hicho kinacho semwa na Israel kwa hiyo unataka kuniambia umoja wa mataifa unashirikiana kuficha maovu ya hamas?

Hata mashirika ya kutetea haki za binadamu juzi walitoa tamko ya kukanusha madai ya Israel.
Tunarudi kule Kule chuki zimewapofusha! Na siku Israeli ikianguka usidhani hapo middle east patakua na amani. Msikilize uyu Bin Salman anachosema. Yupo radhi Israeli awe na Silaha za Nuclear kuliko waislam wenzake wa Iran.

View: https://youtu.be/Pri6MKB4M8s?si=-IYsXHOO9STIyI68
 
Ww mbona huoni haki ya wapalestina kuifurusha Israel kwenye ardhi zao badala yake unawaita magaidi?
Ile ardhi ni ya wayahudi tangu vizazi na vizazi. Wapalestina ni kama wapangaji tu
 
ugaidi upi unaozungumzia wakati america uingereza france yaani umoja wakujihami ndio magaidi mipango yote ni yao matukio yote wanatengeza wao nakuihadaa ulimwengu... tumia akili na busara japo kidogo usiwe ziro brein
Ugaidi wa hamas wa kuchoma moto watoto wadogo pamoja na kubaka wanawake
 
Shida ni kuwa hao Hamas wapo wapi kuwakomboa wanaochapwa hadi Hospitalini kama siyo ni wao wenyewe wamejichanganya na raia na watoto? Unadhani Hamas kwa mfano wangekuwa wameingia upande wa Israel wanapigana kuna mtu yoyote anaitwa Hamas angepona? Wenzao wamewafuata Gaza kwao wao wamejificha kwenye mashimo na kwenye shule na hospitali, na Israel wanajua kuwa wamejibanza humo ndiyo maana wanashushiwa moto humo humo!
The end does not justify the mean. Kama lengo la Israel ni kuwamaliza Hamas sawa wawamalize ila sio kwa kupitia kuua raia.

Labda kama raia wote wa Palestina ni Hamas ulichoandika kinaweza kuwa sawa. Otherwise hauko sawa. Vita vina sheria zake.
 
Dunia haiko salama chini ya mikono ya Marekani tuiombee Urusi ipande nguvu za kijeshi Ili isimame imara dhidi ya UNYAMA WA MAREKANI DUNIANI KOTE
Kamsaidie huko Ukraine
 
Ww nawe kisoda kweli utaweza kupambana na mtu anayejuchanganya na raia hana sare hana nn. Hamas ni waoga mwanaume hajifichi nyuma ya mwanamke na mtt ndo maana IDF wakihisi tu pale kuna magaidi, kuwepo watt kuwepo wazee ni kufumua tu watajua mbele ya safari. Israel iliwapiga waarabu ikiwa na siku moja tu tokea izaliwe hamuishi kujipa matumaini. Na mwaka huu wazayuni watazaa na nyinyi.
Israel haijawahi kushinda mapigano yoyote mzee. Amka usingizini.

Angalia silaha, funds, na kila kitu wanachotumia hao jamaa kama sio USA. Kiujumla Marekani ndio anaua watu wasio na hatia kwa kutumia taifa feki la Israel.
 
Hapo inawezekana Israel ikawa inalaumiwa bure kwa sababu hao watoto wanao lipuliwa ni watoto wa hao magaidi.
Na Israel inaogopa ikiwaacha hao watoto ndio watakuwa magaidi wa baadaye kwahiyo Israel inakata miti pamoja na mizizi yake.
Hata hivyo Israel ilishatoa muda raia wema kuondoka gaza.
vipi kama watoto wako au familia yako ingefanyiwa hivi?
 
Back
Top Bottom