maranduhussein
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 275
- 140
Ni vita vingapi Israel imepigana kujilinda?Imepata Amani?Hapo inawezekana Israel ikawa inalaumiwa bure kwa sababu hao watoto wanao lipuliwa ni watoto wa hao magaidi.
Na Israel inaogopa ikiwaacha hao watoto ndio watakuwa magaidi wa baadaye kwahiyo Israel inakata miti pamoja na mizizi yake.
Hata hivyo Israel ilishatoa muda raia wema kuondoka gaza.

Israel ni waogaTusiwe wepwsi wakujifanya tunajua israeli inaweza kua imeona hao hamas wanajificha hosptal na shiule jwa hiyo iwaache.Hamas wajitokeze wapambane si wao ndo waliamsha ugomvi sio kukaa kulalamika.
Hamkutoa sauti zenu kulaani mauaji ya 07/10 hapo ndo tunaona double standardsTuite majina mabaya unavyotaka,
Haki ya kila kiumbe anayeonewa ktk ardhi ya Mwenyezi Mungu TUTATOA SAUTI ZETU KULAANI NA KUSEMA KWELI.
Tuliitetea South Afrika wakati wa apartheid,tunawatetea wananchi wa Sahara Magharib na Polisario tunaitetea Darfur,Myanmar na kokote Haki inakopindishwa.
DHULMA HAITADUMU ASILAN
BALI HAKI ITASHINDA NA KUENEA.
Wao ilikuwa waende tu kwa mguu wakakague iwapo hao mateka wao wapo pale.Wasipowaona basi waache shughuli ziendelee.
Kwa hiyo uongozi wa Saudia sio waislam bali ni wayahudi?!ni ngumu maana uongozi wa wa saudia ni kizazi na asili yakiyahudi wanaogopa yahudi akimalizwa na wao wataachia madaraka maana wanaongoza kwa nguvu zao ila hatima yao yao ipo kwa wasaudi wenyewe siku wakilianzisha mutawapokea huku hata alsis ana asili ya kiyahudi hata ikitokea vita ya kuikomboa palestine atakaeingilia ni yemen turkey iran saudia ni kada wa marekani kama ilivyokuwa iraq
wewe kitimoto mmoja wa gongo la mboto huko wakitaja idadi ya hamas waliokufa itakusaidia nini? katafute pesa ya kula mihogo na mchicha huko.Israel ni waoga
Kwanini hawasemi ni wapiganaji wangapi wa Hamas wameuwawa hadi leo
Wao wanaua raia madaktari watoto na wanawake kwao huko ndio kushinda vita.
Wacha tuone watapata amani??
ApiaGaidi ni gaidi tu.....awe mtoto au mzee au msichana ni gaidi......na dawa ya magaidi ni kuangamizwa tu.......
the interesting thing ni kwamba, kafiri ni bora mara mia kuliko gaidi. na hata siku moja gaidi hajawahi kushinda.
sikusema sio waislamu tofautisha asli na uislamuKwa hiyo uongozi wa Saudia sio waislam bali ni wayahudi?!
Hii mpya sasa.
kwahiyo wewe ni mwizi na wanao ni weziApia
Si uandike ukweli kwamba Hamas wanatumia shule, hospital kujificha!Meneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea.
Baada ya hapo hospitali hizo zilianza kupigwa kwa makombora kutoka ndege za kivita na kusababisha vifo vya watu wengi.
Upande wake katibu mkuu wa umoja wa mataifa amewahi kusema Gaza imegeuka kuwa ni kaburi la watoto baada ya kuona jinsi watoto wanavyouliwa wazi wazi ja jeshi la Israel.
Yenyewe UN imeshapoteza wafanyakazi wake zaidi ya 100 ambayo ndio idadi kubwa kuwahi kulikumba shirika hilo katika mzozo wowote mmoja duniani.
Mashirika ya habari nayo yameshapoteza waandishi wao wa habari mahiri tangu kuanza kwa vita hivyo wengi wakiwa wameuliwa kwa makusudi kwani huwa wamevaa vizibao vyao vya kuwajulisha shughuli yao.
Hasira hizo za IDF ni matokeo ya kutofikiwa kwa malengo yake zaidi ya mwezi tangu vita na wapalestina vianze huko Gaza. Hakuna mateka hata mmoja aliyeokolewa na Hamas bado wako hai wanapigana kwa nguvu.
KWA hiyo alieenda kujificha hospitali na kwenye shule ndiyo kashinda Vita.Kubonda hospitali ni aibu kubwa na inatoa picha ya kushindwa vita kwa jeshi lenye ndege,vifaru na askari takriban 300,000. Jeshi hilo linapigana na wanamgambo ambao hata idadi yake haijulikani kwa uchache wao.
Wao ilikuwa waende tu kwa mguu wakakague iwapo hao mateka wao wapo pale.Wasipowaona basi waache shughuli ziendelee.
Hamas walivamia mitaa ya raia, wakachukua mateka, mateka wengine ni watoto kabisa chini ya miaka 5. ule sio ugaini?na wao ndio wachokozi. au wewe unaona sio magaidi?Nani gaidi hapo? Anaeuwa watoto au wanajeshi?
Anaetetea ardhi yake au mvamizi?? Nani gaidi hapo?
Hamas walivamia mitaa ya raia, wakachukua mateka, mateka wengine ni watoto kabisa chini ya miaka 5. ule sio ugaini?na wao ndio wachokozi. au wewe unaona sio magaidi?
asante. pole pia.Pole sana
Hiki kipigo kimewachanganya mpk mnaomba msaada kwa kafiri Urusi. Iran hana meno tena, oh Iran kimya.Dunia haiko salama chini ya mikono ya Marekani tuiombee Urusi ipande nguvu za kijeshi Ili isimame imara dhidi ya UNYAMA WA MAREKANI DUNIANI KOTE
Pumbavu zenu,msirudie tena kuwachokoza wayahudi maana moto wake mnaujuaMeneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea.