maranduhussein
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 275
- 140
Ni vita vingapi Israel imepigana kujilinda?Imepata Amani?Hapo inawezekana Israel ikawa inalaumiwa bure kwa sababu hao watoto wanao lipuliwa ni watoto wa hao magaidi.
Na Israel inaogopa ikiwaacha hao watoto ndio watakuwa magaidi wa baadaye kwahiyo Israel inakata miti pamoja na mizizi yake.
Hata hivyo Israel ilishatoa muda raia wema kuondoka gaza.
Waandishi wa Habari wanaouwawa na kikatili nao ni magaidi?Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa nao ni magaidi.
FUNGUENI MACHO
ACHENI UDINI
SIMAMIENI HAKI
IANGALIENI HAKI IKO WAPI MUIFUATE HATA KAMA HAIPO UPANDE WAKO.