Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

Hapo inawezekana Israel ikawa inalaumiwa bure kwa sababu hao watoto wanao lipuliwa ni watoto wa hao magaidi.
Na Israel inaogopa ikiwaacha hao watoto ndio watakuwa magaidi wa baadaye kwahiyo Israel inakata miti pamoja na mizizi yake.
Hata hivyo Israel ilishatoa muda raia wema kuondoka gaza.
Ni vita vingapi Israel imepigana kujilinda?Imepata Amani?
Waandishi wa Habari wanaouwawa na kikatili nao ni magaidi?Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa nao ni magaidi.
FUNGUENI MACHO
ACHENI UDINI
SIMAMIENI HAKI
IANGALIENI HAKI IKO WAPI MUIFUATE HATA KAMA HAIPO UPANDE WAKO.
 
Tusiwe wepwsi wakujifanya tunajua israeli inaweza kua imeona hao hamas wanajificha hosptal na shiule jwa hiyo iwaache.Hamas wajitokeze wapambane si wao ndo waliamsha ugomvi sio kukaa kulalamika.
Israel ni waoga
Kwanini hawasemi ni wapiganaji wangapi wa Hamas wameuwawa hadi leo
Wao wanaua raia madaktari watoto na wanawake kwao huko ndio kushinda vita.
Wacha tuone watapata amani??
 
Tuite majina mabaya unavyotaka,
Haki ya kila kiumbe anayeonewa ktk ardhi ya Mwenyezi Mungu TUTATOA SAUTI ZETU KULAANI NA KUSEMA KWELI.
Tuliitetea South Afrika wakati wa apartheid,tunawatetea wananchi wa Sahara Magharib na Polisario tunaitetea Darfur,Myanmar na kokote Haki inakopindishwa.
DHULMA HAITADUMU ASILAN
BALI HAKI ITASHINDA NA KUENEA.
Hamkutoa sauti zenu kulaani mauaji ya 07/10 hapo ndo tunaona double standards
 
ni ngumu maana uongozi wa wa saudia ni kizazi na asili yakiyahudi wanaogopa yahudi akimalizwa na wao wataachia madaraka maana wanaongoza kwa nguvu zao ila hatima yao yao ipo kwa wasaudi wenyewe siku wakilianzisha mutawapokea huku hata alsis ana asili ya kiyahudi hata ikitokea vita ya kuikomboa palestine atakaeingilia ni yemen turkey iran saudia ni kada wa marekani kama ilivyokuwa iraq
Kwa hiyo uongozi wa Saudia sio waislam bali ni wayahudi?!
Hii mpya sasa.
 
Israel ni waoga
Kwanini hawasemi ni wapiganaji wangapi wa Hamas wameuwawa hadi leo
Wao wanaua raia madaktari watoto na wanawake kwao huko ndio kushinda vita.
Wacha tuone watapata amani??
wewe kitimoto mmoja wa gongo la mboto huko wakitaja idadi ya hamas waliokufa itakusaidia nini? katafute pesa ya kula mihogo na mchicha huko.
 
Meneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea.

Baada ya hapo hospitali hizo zilianza kupigwa kwa makombora kutoka ndege za kivita na kusababisha vifo vya watu wengi.

Upande wake katibu mkuu wa umoja wa mataifa amewahi kusema Gaza imegeuka kuwa ni kaburi la watoto baada ya kuona jinsi watoto wanavyouliwa wazi wazi ja jeshi la Israel.

Yenyewe UN imeshapoteza wafanyakazi wake zaidi ya 100 ambayo ndio idadi kubwa kuwahi kulikumba shirika hilo katika mzozo wowote mmoja duniani.

Mashirika ya habari nayo yameshapoteza waandishi wao wa habari mahiri tangu kuanza kwa vita hivyo wengi wakiwa wameuliwa kwa makusudi kwani huwa wamevaa vizibao vyao vya kuwajulisha shughuli yao.

Hasira hizo za IDF ni matokeo ya kutofikiwa kwa malengo yake zaidi ya mwezi tangu vita na wapalestina vianze huko Gaza. Hakuna mateka hata mmoja aliyeokolewa na Hamas bado wako hai wanapigana kwa nguvu.
Si uandike ukweli kwamba Hamas wanatumia shule, hospital kujificha!

Kwann Akili ndogo?

Unadhani ww ndiyo unafuatilia tu au Hii Vita iko sebuleni kwako.

Punguzeni mihemko ya kidini.
 
Kubonda hospitali ni aibu kubwa na inatoa picha ya kushindwa vita kwa jeshi lenye ndege,vifaru na askari takriban 300,000. Jeshi hilo linapigana na wanamgambo ambao hata idadi yake haijulikani kwa uchache wao.
Wao ilikuwa waende tu kwa mguu wakakague iwapo hao mateka wao wapo pale.Wasipowaona basi waache shughuli ziendelee.
KWA hiyo alieenda kujificha hospitali na kwenye shule ndiyo kashinda Vita.
 
Nani gaidi hapo? Anaeuwa watoto au wanajeshi?

Anaetetea ardhi yake au mvamizi?? Nani gaidi hapo?
Hamas walivamia mitaa ya raia, wakachukua mateka, mateka wengine ni watoto kabisa chini ya miaka 5. ule sio ugaini?na wao ndio wachokozi. au wewe unaona sio magaidi?
 
Hamas walivamia mitaa ya raia, wakachukua mateka, mateka wengine ni watoto kabisa chini ya miaka 5. ule sio ugaini?na wao ndio wachokozi. au wewe unaona sio magaidi?

Haya bwana na zionists wenu, hata tuwaeleweshe vipi ni lazima muwatetee mazayuni, hizi chuki hazitaisha
 
Dunia haiko salama chini ya mikono ya Marekani tuiombee Urusi ipande nguvu za kijeshi Ili isimame imara dhidi ya UNYAMA WA MAREKANI DUNIANI KOTE
Hiki kipigo kimewachanganya mpk mnaomba msaada kwa kafiri Urusi. Iran hana meno tena, oh Iran kimya.
Hapo Sudani na Somalia mbona ndugu zako wanaua watu kila siku na waislamu 100%.
Marekani izidi kuwa na nguvu kila siku maana waarabu wakiwa na nguvu wataunda vikundi vya kigaidi vingi sana
Al Shabab
Al Qaeda
Boko Haram
Islamic State
Janjaweed n.k
Wote ni waislamu na waua watu ovyo tu kila siku. Hapa Tanzania kuna Islamic State ilianzishwa ila ilizimwa baada ya mashekh wa UAMSHO wote kukamatwa pakawa amani.
 
Meneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea.

Baada ya hapo hospitali hizo zilianza kupigwa kwa makombora kutoka ndege za kivita na kusababisha vifo vya watu wengi.

Upande wake katibu mkuu wa umoja wa mataifa amewahi kusema Gaza imegeuka kuwa ni kaburi la watoto baada ya kuona jinsi watoto wanavyouliwa wazi wazi ja jeshi la Israel.

Yenyewe UN imeshapoteza wafanyakazi wake zaidi ya 100 ambayo ndio idadi kubwa kuwahi kulikumba shirika hilo katika mzozo wowote mmoja duniani.

Mashirika ya habari nayo yameshapoteza waandishi wao wa habari mahiri tangu kuanza kwa vita hivyo wengi wakiwa wameuliwa kwa makusudi kwani huwa wamevaa vizibao vyao vya kuwajulisha shughuli yao.

Hasira hizo za IDF ni matokeo ya kutofikiwa kwa malengo yake zaidi ya mwezi tangu vita na wapalestina vianze huko Gaza. Hakuna mateka hata mmoja aliyeokolewa na Hamas bado wako hai wanapigana kwa nguvu.
Pumbavu zenu,msirudie tena kuwachokoza wayahudi maana moto wake mnaujua
 
Nimetapika baada ya kudoma andiko lako.

Hamas pale Gaza wamewageuza raia kuwa humanshield hivyo kuwaua Hamas ni lazima ushambulie hospitali nk
Ofisi za Hamas ukiacha Bunge kao ziko kwenye hospitals.

Tulia hujui kinachoendelea
 
Back
Top Bottom