Cha kushangaza zaidi nchi zetu zina amani ila hatuzipi maendeleo hizo nchi za kiarabu zenye vita kila sikuYani Kuna muda hadi unasikitika mkuu.
Kama ukisema ni uislam mbona Malaysia,Indonesia,Brunei waislam wengi na hayo hayatokei!?
Bangladesh Kuna waislam wengi na dini zingine kibao ila wanaungana chini ya bendera moja ya nchi.
Hata Sheikh Hasinah alipopinduliwa na wananchi waislam,wakristo kwa wapagani waliungana chini ya kauli moja.
Sijui waarabu wana nini kichwani kiasi hawana umoja!?
Kwasababu wote wanasema Alaah Akbar wakati wanachinjana.Najiuliza hapa Hawa jamaa wakiuwana pia watahesabika ni martyr ama vipi?
Jana Hizbollah kashambuliwa vibaya sana lakini kimya kimya😅😆Huu ndio ulikuwa muda wa Israel kumalizana na Hizbullah na Iran wakati mwingine kuwaelewa Hawa Wazungu wanataka nini ni kazi sana
Ndio swali langu lilipo hapo mkuu.Kwasababu wote wanasema Alaah Akbar wakati wanachinjana.
Hao Mabikra 70 na ushee sijui wataanza kutoa penzi kwa Sunni au kwa Shia au watawagawana?! Kwakweli maswali ni mengi sana kuliko hata majibu.Ndio swali langu lilipo hapo mkuu.
Ni sawa tu na kwa HAMASPale Israel usa akikata msaada kwa miezi 6 tu hata hakuna nchi pale
Ina maana Hezbollah na wanamgambo kutoka Iran ndio wanaopigana badala ya jeshi la Syria ?.Assad muda wote alikuwa busy kulifanya jeshi lake kuwa coup-proof tu mambo mengine ziada. Kati ya Marais nawakubali kwa kujilinda dhidi ya mapinduzi duniani ni Bashar al-Assad.
Mkuu wa 4th Armored Division, kikosi maalum cha jeshi la Syria kinachokuwa kusini mwa Damascus kinaongozwa na Major General Maher al-Assad mdogo wake Rais.
Assad ana mashirika ya ujasusi kama matatu hivi yanayojitegemea na yanachunguzana, kama sikosei jeshi wana la kwao, Airforce ina la kwake (nahisi sababu baba yake Hafez alipindua kutokea Airforce aliasisi hili), polisi wana la kwao, wizara gani sijui mambo ya ndani wana la taifa kiujumla.
Assad anaongoza nchi ambayo dhehebu lake na jamii yake ni minority hivyo wanajeshi wengi sio dini yake wala jamii yake. Anachokifanya anakusanya wanajeshi kutoka maeneo yanayomuunga mkono ila maofisa wa juu wa majeshi yake ni kutoka minorities. Si rahisi Msuni kutoka Allepo awe ofisa mkubwa kwenye jeshi la Assad. Kwa hiyo jeshi maofisa wake sio competent bali asili, eneo, uchawa na dhehebu ndio vinawabeba.
Hata kwa wanajeshi wenyewe, baada ya vita kutokea kulikuwa na forces recruitment. Serikali ya Assad ina rushwa kubwa na ufisadi kupindukia, na jeshini hachukui hatua kuzuia ilimradi maofisa ni machawa wake anawaachia nafasi "wale" ili walinde serikali yake huku wanalinda matumbo yao. Kwahiyo recruitment inakwepwa endapo kijana familia yake ina hela kutoa rushwa asiende jeshini. Recruitments waliopo jeshini hawako motivated, huwezi wapiganisha na waasi au magaidi ambao wengi wamejiunga kwa kutaka wenyewe.
Training ya Syrian Arab Army ni dhaifu. Wana miaka zaidi ya 10 vitani ila hawana defensive lines, hawajui repelling of fast attack, hawajajipanga dhidi ya drones, hawajui kufanya retreat wakiondoka sehemu wanakurupuka wanaacha silaha ziko intact zinachukuliwa na adui badala kuziharibu au kuzihamisha.
Na kwa sababu ya vikwazo vya kiuchumi na hali ngumu nchini Syria, Assad alitumia vyombo vya usalama kuzalisha kipato kwa madawa ya kulevya. Wanasafirisha shehena ya madawa pale Middle East angalau wapate kipato cha kudunduliza juu ya hali yao ngumu.
Kwa mazingira haya usitarajie Syria Arab Army iwe na maajabu, hata hivyo Syria hawajawahi kuwa na jeshi la maana katika historia. Ila sasa wamezidi yani kama mgambo.
Sunni hakuna mgawanyiko! Sunni inaundwa na ncha 4.Sunni imegawanyika katika madhebu/sects mbalimbali, wapo Wahhabi wanaojulikana kwa misimamo mikali na kukosa uvumulivu dhidi ya imani nyingine, magaidi wengi ndio wanatokea mkondo huu. Wapo salafi, sufi, hanafi n.k Ukiwa bongo sio rahisi uelewe kwa sababu hakuna hii migawanyiko kwa uwazi kutokana na udhibiti wa BAKWATA.
Hicho kinchofanywa na makundi kama HTS huko Syria kinafaa kuitwa Jihad?Wahabi=salafi na kila kundi linalofadhiliwa na Saudi litaitwa Wahabi/Salafi.
Ila kama una hata Abcd za Hao salafi utaona ni Bullshit tu. Katika madhehebu yote ya kiiisilamu wao ndio wa mwisho kwenda Jihadi kutokana na akida yao. Hata Unapoongelea Ulamaa mkubwa Wa Salafi Zama Zetu Sheikh Albani Fatwa yake ni wapalestina Waondoke Palestina hii hapa
1993 Fatwā from Muhammad Nasiruddin Al-Albani Calling on Palestinians to Leave the West Bank
By Hamzah Raza Source: 1993 Fatwa from Muhammad Nasiruddin Al-Albani Calling on Palestinians to Leave the West Bank In 1993, Muhammad Nasiruddin Al-Albani, arguably the most prominent Salafi schola…islamiclaw.blog
Hapa Tanzania tuna salafi wengi mno watu kama Kina Kishki ama Answari sunna etc, ushawahi hata siku moja kuwasikia wana Criticise Serikali? Kwa Imani yao Kiongozi Anakuwa criticised kwa siri tu, unamfata kimya kimya unamuambia
So kusema Salafi ndio wanaongoza hizo Jihadi ni Ignorance ya wasio waisilamu kuhusu Uisilamu.
Kwenye Uisilamu Vita ama Jihadi Zinatokana na Fatwa za Scholars, Hawa maulamaa ndio wanatoa fatwa fanya hivi ama usifanye hivi, sijawahi ona maisha yangu yote hata Scholar mmoja akihalalisha hivyo vikundi, na siku Zote makundi kama Isis na Al Qaeda utaona Scholars wengi wana Wa Refer kama mbwa wa Motoni, Sababu Media ina wa refer kMa Salafi haimaanishiwapo Sahihi na Uisilamu ama Scholars wa Kiisilamu wa nakubaliana na Hilo.
Sio jihadi na ndio point yangu hii, HTS walikua wanaitwa Al Nusra Aka Al Qaeda, sijawahi maisha yangu kusikia Ulamaa yoyote wa Kiisilamu akitoa Fatwa kwamba Al Qaeda Wanapigana Jihadi. Na hata ukiangalia matendo yao hayaendani na Uisilamu bali ni Exactly matendo Yaliyofanywa na wakoloni ambayo kila siku tunaimbishwa kwenye Somo la Historia, Divide and Conquer.Hicho kinchofanywa na makundi kama HTS huko Syria kinafaa kuitwa Jihad?
Au ni vita vya wenyewe kwa wenyewe kutokana na mgogoro wa kisiasa uliovalishwa vazi la kidini Ili kuvutia waumini kushika silaha ?
Huwezi kusikia Ulamaa yeyote akisema hadharani kwamba Al Nusra au Al-Shabaab wanapigana jihadi ya haki kwa sababu atawekwa kwenye us terror watch list na maisha yake yatakuwa magumu sana.Sio jihadi na ndio point yangu hii, HTS walikua wanaitwa Al Nusra Aka Al Qaeda, sijawahi maisha yangu kusikia Ulamaa yoyote wa Kiisilamu akitoa Fatwa kwamba Al Qaeda Wanapigana Jihadi. Na hata ukiangalia matendo yao hayaendani na Uisilamu bali ni Exactly matendo Yaliyofanywa na wakoloni ambayo kila siku tunaimbishwa kwenye Somo la Historia, Divide and Conquer.
UNAFKIRI Maulamaa they even care about USA? Pengine hata hujui Ulamaa ni nini, mtu akishafikia hio level maisha ya Dunia hana tena.Huwezi kusikia Ulamaa yeyote akisema hadharani kwamba Al Nusra au Al-Shabaab wanapigana jihadi ya haki kwa sababu atawekwa kwenye us terror watch list na maisha yake yatakuwa magumu sana.
Hakuna jihadi ya kupigana kwa sasa hao ni wahuni wagombea madaraka kwa mgongo wa dini.Huwezi kusikia Ulamaa yeyote akisema hadharani kwamba Al Nusra au Al-Shabaab wanapigana jihadi ya haki kwa sababu atawekwa kwenye us terror watch list na maisha yake yatakuwa magumu sana.
Mbona hueleweki? Au umeamua kujifyatua. Mara unamnanga Asad na kuwasifia Waasi na Israel. Mbona kama lishoga jipya mtaani.Hayawi hayawi sasa yamekuwa Jamii ya Wakristo imeanza kuchinjwa huko Idlib hawa Waasi wa Kisunni ni Magaidi wa ISIS walichobadilisha ni jina tu.
Mimi naongelea mgogoro wa Syria kama ulivyo, lakini inavyoonekana hao Waasi wa Kisunni hawajaacha mbinu zao za kigaidi ambazo mwanzo walisema wameachana nazo na kuzihakikishia Jamii za Minorities Wakristo Druze nk. Kuwa hawatazivamia na kuwachinja.Mbona hueleweki? Au umeamua kujifyatua. Mara unamnanga Asad na kuwasifia Waasi na Israel. Mbona kama lishoga jipya mtaani.