Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Kazi ime mshinda


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Wewe kuna mikakati unaiona hapo ?!. Kama hata kuikarantiini tu Dar imeshindikana !!. Mikakati gani unaiona

Odhis *
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo waliokimbia dar ni kina nan

Mimi nimenukuu tu, ansadi zilinasa mwenye mkoa wake akijigamba vile. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe kuna mikakati unaiona hapo ?!. Kama hata kuikarantiini tu Dar imeshindikana !!. Mikakati gani unaiona

Odhis *

Hao Wamarekani na Waingereza pamoja na Wachina ambao ni Matajiri na wameweza huko Kukarantini Kwako wameshakabiliana na huu Ugonjwa? Je, pamoja na hizo juhudi zao Watu ( Wananchi ) wao hawafi kila Siku kama Kuku wa Mdondo? Sasa kama Wewe umeshasema kuwa Rais Dkt. Magufuli hana Mikakati na Wewe Mkosoaji wake unayo kama unavyojionyesha hapa kwanini kwa Faida ya Watanzania wote usiitoe hapa au kaitoe huko Serikalini ili uponye Taifa lako? au hujui kuwa hata Wewe Mwananchi pia ni Serikali na ni wajibu wako Kujitolea kwa nchi yako? au Wewe Mchago wako pekee kwa Rais Dkt. Magufuli ni Kuishia tu Kumsema na Kumsimanga hivi? Punguzeni Unafiki, Uanaharakati na Chuki za Kipuuzi Kwake.
 
Heh heh hao ndio wananchi?
 
Huitaji ajitokeze hovyo hovyo au useme ukweli Kala kona, kama hajala kona mbona hatumuoni akitengua na kuapisha kama kawaida yake.. CORONA noma walifanya mzaha sasa acha tushike adabu wote
 
Kabla ya corona kuja nchini kuna watu tuliwaogopa sana na kuwaona miamba kweli kweli kiasi kwamba hata wakiongea tunasema mwanaume kaongea,tukae kimya tumsikilize.

Sasa baada ya corona kuja wameonyesha udhaifu wa hari ya juu sana,hadi wafuasi wao tumekuwa tunasemwa mtaani hadi aibu,kweli jabali,mwanajeshi,jiwe lisilotingishika unaogopa corona,unaikimbia corona kwenye hili nakuvua vyeo vyote kumbe sio mwanajeshi ni mgambo aliechangamka.

Mwanajeshi ambae tumekusifia kila kona ya nchi hii,kila siku tunasema jiwe zaidi ya jiwe ambae hateteleshwi na kiumbe chochote katika ulimwengu huu,Leo unakuja unaikimbia corona khaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huitaji ajitokeze hovyo hovyo au useme ukweli Kala kona, kama hajala kona mbona hatumuoni akitengua na kuapisha kama kawaida yake.. CORONA noma walifanya mzaha sasa acha tushike adabu wote
Kweli wewe Ni mzushi unafikiri raisi ni kama vyicheo vyenu vya pale ufipa kutengua na kuteua Ni uamuzi wake atakapo ona msaidizi yupi atenguliwe yupi ateuliwe kumbe kwako ni big ishu ungedili Kwanza na matatizo ya Sacco's yenu ingekuwa Bora zaidi SUMU HAIONJWI KWA MDOMO
 
Aiseeeee !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…