Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Sasa mbona hakuita timu alioiunda chato kujadili muelekeo wa Corona badala yake kaenda kuita vyombo vya ulinzi na usalama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MkuuTechically, timu ikiboronga wa kwanza kuwajibishwa ni kocha, lkn ikiendelea kuboronga basi hakuna budi kuiwajibisha menejimenti mzima ya timu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu ina mashabiki?

Wanakazi gani kama wapo?

Aaaaaah kazi yao ni kushangilia ushindi, OK sawa.

Mkifungwa wanaolia pia ni mashabiki hivyo kocha na wachezaji hawaguswi na mashabiki si ndiyo hivyo?

Sawa.
 
Basi huyo kocha ni mzuri sana. Pamoja na kwamba yuko kando ya uwanja lakini timu yake haija panic wala nini. Kama unavyoona wanapiga pasi golini kwao hadi adui anatoka udenda kua labda mpira utamtoka mguuni wauchukue kumbe kocha utadhani anasumaku, yaani mpira haumtoki hata!
 
Kocha anasubiri mechi iishe tushinde, vibaraka wake waanze kummwagia sifa, kuwa bila yeye tusingetoboa.
 
😀😆😀shida hatuna kina Jupp Heinkes wa kui rescue timu inapopitia wakati mgumu.
 
Kocha hata katika uchambuzi bado anafundisha.

Kwake kuchambua hakumuondolei ile hadhi yake ya ukocha.
Yeye ndiye alitakiwa aongoze kikosi chake uwanjani,badala yake kamuachia msaidizi kisha yeye half time anaenda kwenye luninga kuchambua mechi!Damn it,nenda kaongoze kikose,tuachie sisi wachambuzi tufanye kazi yetu na wewe kafanye yako!Kiufupi anawalaumu wasaidizi wake kwa kutofanya vizuri wakati yeye ndiye aliyepaswa kuwa mtoa direction!Hapa anakwepa lawama!Kaamba sikuwepo ndio maana timu ikaharibu!Angalia Uganda kocha wao alivyotake charge!
 
Kuongoza kikosi sio lazima awe Dar, anaweza kuwa hata Japan na akaongoza kikosi.

Kutoa direction hata akiwa Sweden anaweza kutoa muongozo wa kiuongozi.

Timu ipo vizuri sana tofauti na hizi kelele za JF, tatizo mashabiki mnaishi kwa kukariri.
 
Ndo hapo sasa.
 
Kuongoza kikosi sio lazima awe Dar, anaweza kuwa hata Japan na akaongoza kikosi.

Kutoa direction hata akiwa Sweden anaweza kutoa muongozo wa kiuongozi.

Timu ipo vizuri sana tofauti na hizi kelele za JF, tatizo mashabiki mnaishi kwa kukariri.
Sasa kama anaongoza kikosi kwanini anatoka hadharani kuwaita wenzake wapuuzi?Kwamba wanakosea hiki na kile as if yeye sio sehemu ya hiyo timu?Kwanini asingewasiliana nao kuwaambia fanyeni hivi na vile mpaka aje hadharani kututajia sisi madhaifu ya timu yake?Shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…