Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona hakuita timu alioiunda chato kujadili muelekeo wa Corona badala yake kaenda kuita vyombo vya ulinzi na usalamaGellangi,
Upuuzi mwingine bhana. Alafu kesho mtu kama wewe atakuja bishana na mtu kuwa oooh, urais ni taasisi.
Hivi waziri mkuu ambaye alikabidhiwa rasmi hii ishu tena laivu hatukuona? Akaunda timu yake ya kuongoza juu ya hii ishu. Au ishu ni jamaa aoneoane tu ktk tv.? Dah!
MkuuTechically, timu ikiboronga wa kwanza kuwajibishwa ni kocha, lkn ikiendelea kuboronga basi hakuna budi kuiwajibisha menejimenti mzima ya timu.Kocha mkuu kakimbia timu, kocha msaidizi naye kaisusa timu, Timu imebaki na keputeni na kiungo mchezeshaji, Benchi la ufundi wanalia ukata wa zana za kufanyia mazoezi, Dactari wa timu amekimbia kisa vifaa tiba kwa wachezaji, mchezaji akiumia uwanjani anatibiwa na wachezaji wenzie
Mechi imekuwa ngumu mashambulizi toka kila upande wa uwanja kulekea upande wetu je tutatoboa hii mechi?
Je kocha atalejea baada ya timu kushinda mechi au atajiuzulu moja kwa moja?
Timu ina mashabiki?Kocha mkuu kakimbia timu, kocha msaidizi naye kaisusa timu, Timu imebaki na keputeni na kiungo mchezeshaji, Benchi la ufundi wanalia ukata wa zana za kufanyia mazoezi, Dactari wa timu amekimbia kisa vifaa tiba kwa wachezaji, mchezaji akiumia uwanjani anatibiwa na wachezaji wenzie
Mechi imekuwa ngumu mashambulizi toka kila upande wa uwanja kulekea upande wetu je tutatoboa hii mechi?
Je kocha atalejea baada ya timu kushinda mechi au atajiuzulu moja kwa moja?
Usije tu kulikimbia jukwaaHii ngoma majibu matayapata oktoba,
Nyie komaeni tu huku mkishupaza shingobzenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha kaenda kuwa mchambuzi,nimemuelewa sana mleta mada!Ngoja niwasiliane na Mwalimu Kashasha nione na yeye ana maoni gani.
Mkuu tunazungumzia kocha kwenda kuwa mchambuzi badala ya kuongoza timu yake!Kocha yumo humu humu nchini mnasema kakimbia timu, angekuwa nje ya nchi mngesemaje?.
Hao Chato ni nje ya Tanzania!?.
Basi huyo kocha ni mzuri sana. Pamoja na kwamba yuko kando ya uwanja lakini timu yake haija panic wala nini. Kama unavyoona wanapiga pasi golini kwao hadi adui anatoka udenda kua labda mpira utamtoka mguuni wauchukue kumbe kocha utadhani anasumaku, yaani mpira haumtoki hata!Kocha mkuu kakimbia timu, kocha msaidizi naye kaisusa timu, Timu imebaki na keputeni na kiungo mchezeshaji, Benchi la ufundi wanalia ukata wa zana za kufanyia mazoezi, Dactari wa timu amekimbia kisa vifaa tiba kwa wachezaji, mchezaji akiumia uwanjani anatibiwa na wachezaji wenzie
Mechi imekuwa ngumu mashambulizi toka kila upande wa uwanja kulekea upande wetu je tutatoboa hii mechi?
Je kocha atalejea baada ya timu kushinda mechi au atajiuzulu moja kwa moja?
😀😆😀shida hatuna kina Jupp Heinkes wa kui rescue timu inapopitia wakati mgumu.Kocha mkuu kakimbia timu, kocha msaidizi naye kaisusa timu, Timu imebaki na keputeni na kiungo mchezeshaji, Benchi la ufundi wanalia ukata wa zana za kufanyia mazoezi, Dactari wa timu amekimbia kisa vifaa tiba kwa wachezaji, mchezaji akiumia uwanjani anatibiwa na wachezaji wenzie
Mechi imekuwa ngumu mashambulizi toka kila upande wa uwanja kulekea upande wetu je tutatoboa hii mechi?
Je kocha atalejea baada ya timu kushinda mechi au atajiuzulu moja kwa moja?
Kocha hata katika uchambuzi bado anafundisha.Mkuu tunazungumzia kocha kwenda kuwa mchambuzi badala ya kuongoza timu yake!
Yeye ndiye alitakiwa aongoze kikosi chake uwanjani,badala yake kamuachia msaidizi kisha yeye half time anaenda kwenye luninga kuchambua mechi!Damn it,nenda kaongoze kikose,tuachie sisi wachambuzi tufanye kazi yetu na wewe kafanye yako!Kiufupi anawalaumu wasaidizi wake kwa kutofanya vizuri wakati yeye ndiye aliyepaswa kuwa mtoa direction!Hapa anakwepa lawama!Kaamba sikuwepo ndio maana timu ikaharibu!Angalia Uganda kocha wao alivyotake charge!Kocha hata katika uchambuzi bado anafundisha.
Kwake kuchambua hakumuondolei ile hadhi yake ya ukocha.
Kuongoza kikosi sio lazima awe Dar, anaweza kuwa hata Japan na akaongoza kikosi.Yeye ndiye alitakiwa aongoze kikosi chake uwanjani,badala yake kamuachia msaidizi kisha yeye half time anaenda kwenye luninga kuchambua mechi!Damn it,nenda kaongoze kikose,tuachie sisi wachambuzi tufanye kazi yetu na wewe kafanye yako!Kiufupi anawalaumu wasaidizi wake kwa kutofanya vizuri wakati yeye ndiye aliyepaswa kuwa mtoa direction!Hapa anakwepa lawama!Kaamba sikuwepo ndio maana timu ikaharibu!Angalia Uganda kocha wao alivyotake charge!
Ndo hapo sasa.Kocha mkuu kakimbia timu, kocha msaidizi naye kaisusa timu, Timu imebaki na keputeni na kiungo mchezeshaji, Benchi la ufundi wanalia ukata wa zana za kufanyia mazoezi, Dactari wa timu amekimbia kisa vifaa tiba kwa wachezaji, mchezaji akiumia uwanjani anatibiwa na wachezaji wenzie
Mechi imekuwa ngumu mashambulizi toka kila upande wa uwanja kulekea upande wetu je tutatoboa hii mechi?
Je kocha atalejea baada ya timu kushinda mechi au atajiuzulu moja kwa moja?
Sasa kama anaongoza kikosi kwanini anatoka hadharani kuwaita wenzake wapuuzi?Kwamba wanakosea hiki na kile as if yeye sio sehemu ya hiyo timu?Kwanini asingewasiliana nao kuwaambia fanyeni hivi na vile mpaka aje hadharani kututajia sisi madhaifu ya timu yake?Shame!Kuongoza kikosi sio lazima awe Dar, anaweza kuwa hata Japan na akaongoza kikosi.
Kutoa direction hata akiwa Sweden anaweza kutoa muongozo wa kiuongozi.
Timu ipo vizuri sana tofauti na hizi kelele za JF, tatizo mashabiki mnaishi kwa kukariri.