Inaitwa both team to scoreKocha mkuu kakimbia timu, kocha msaidizi naye kaisusa timu, Timu imebaki na keputeni na kiungo mchezeshaji, Benchi la ufundi wanalia ukata wa zana za kufanyia mazoezi, Dactari wa timu amekimbia kisa vifaa tiba kwa wachezaji, mchezaji akiumia uwanjani anatibiwa na wachezaji wenzie
Mechi imekuwa ngumu mashambulizi toka kila upande wa uwanja kulekea upande wetu je tutatoboa hii mechi?
Je kocha atalejea baada ya timu kushinda mechi au atajiuzulu moja kwa moja?
.......🤔🤔🤔.....?
Mkuu mbona hujui kuandika?Hii ngoma majibu matayapata oktoba,
Nyie komaeni tu huku mkishupaza shingobzenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili la watu kuitwa wapuuzi ni mada nyingine kabisa, ifungulie uzi utapata wachangiaji na mimi nitakuwa mmojawao.Sasa kama anaongoza kikosi kwanini anatoka hadharani kuwaita wenzake wapuuzi?Kwamba wanakosea hiki na kile as if yeye sio sehemu ya hiyo timu?Kwanini asingewasiliana nao kuwaambia fanyeni hivi na vile mpaka aje hadharani kututajia sisi madhaifu ya timu yake?Shame!
Naona nafsi yako inafurahii maana ulikuwa unaomba huu ugonjwa uje. Umekuja sasa furahii maana "timu imebaki na keputeni"Kocha mkuu kakimbia timu, kocha msaidizi naye kaisusa timu, Timu imebaki na keputeni na kiungo mchezeshaji, Benchi la ufundi wanalia ukata wa zana za kufanyia mazoezi, Dactari wa timu amekimbia kisa vifaa tiba kwa wachezaji, mchezaji akiumia uwanjani anatibiwa na wachezaji wenzie
Mechi imekuwa ngumu mashambulizi toka kila upande wa uwanja kulekea upande wetu je tutatoboa hii mechi?
Je kocha atalejea baada ya timu kushinda mechi au atajiuzulu moja kwa moja?
Anajiweka pembeni ili mambo yakiharibika awalaumu watendaji wake!Hii ndio hoja ya kocha kuwa mchambuzi!Hili la watu kuitwa wapuuzi ni mada nyingine kabisa, ifungulie uzi utapata wachangiaji na mimi nitakuwa mmojawao.
Hakuna kitu kama hicho, collective responsibility ndio inayoliongoza baraza la mawaziri likiongozwa na rais.Anajiweka pembeni ili mambo yakiharibika awalaumu watendaji wake!Hii ndio hoja ya kocha kuwa mchambuzi!
Hujaona alivyorusha shutuma juzi?As if yeye sio sehemu ya hao aliowapa majukumu waongoze mapambano!PM,Makonda na Spika walionekana wanapuliziwa dawa kwenye mashine alizotoa Rostam!JPM anakuja kusema huo ni upumbavu kwani wanaua viroboto tu!Kweli hapo kuna collective responsibility?Hakuna kitu kama hicho, collective responsibility ndio inayoliongoza baraza la mawaziri likiongozwa na rais.
Mkuu hukumuelewa mkuu, kabla ya kupinga kitu jaribu kuelewa kwa undani nini kinaongelewa.Hujaona alivyorusha shutuma juzi?As if yeye sio sehemu ya hao aliowapa majukumu waongoze mapambano!PM,Makonda na Spika walionekana wanapuliziwa dawa kwenye mashine alizotoa Rostam!JPM anakuja kusema huo ni upumbavu kwani wanaua viroboto tu!Kweli hapo kuna collective responsibility?
Duh! Sasa itakusaidia nini kuujua huo upuzi?Kwani mnaongelea upuzi gani nyie?
Ni kweli timu haijapaniki labda kwasababu wanamuelewa vizuri kocha wao. Lakini kwa haraka haraka ni kama wanasua sua kuingia uwanjani maana tangu kipenga kipulizwe tunamuona kapteni tu akijaribu kuteta na refa. Huenda anajaribu kumnong'oneza kuwa wawape ushindi tu timu pinzani maana wachezaji hata jezi tu hawana, wanaingiaje uwanjani bila jezi?Basi huyo kocha ni mzuri sana. Pamoja na kwamba yuko kando ya uwanja lakini timu yake haija panic wala nini. Kama unavyoona wanapiga pasi golini kwao hadi adui anatoka udenda kua labda mpira utamtoka mguuni wauchukue kumbe kocha utadhani anasumaku, yaani mpira haumtoki hata!
Jamaa kumbe ana matilio ya kutosha kichwani tofauti na nilivyomuona mwanzo wa hii video.Hii ni changamoto kubwa sana duniani
Yupo njema saaanaJamaa kumbe ana matilio ya kutosha kichwani tofauti na nilivyomuona mwanzo wa hii video.
Shauri yenu mnaoendelea kumtegemea nahodha aliyetekeleza meli. Mimi nimejifunza kupiga mbizi. Chombo kikizama tu, mimi huyoooo, napiga mbizi kuelekea mwambao!Anajiweka pembeni ili mambo yakiharibika awalaumu watendaji wake!Hii ndio hoja ya kocha kuwa mchambuzi!
Nahodha wetu haiyumkini kashaliwa na Papa Ana Nyangumi?Rada zote zamulika upeo wa usawa wa habari Naye haonekani.Nahodha msaidizi hana ???uzoefu au alionywa kutogusa usukani???Duh! okay uzi open hv halafu kuna watu hawajaelewa?