Mawali magumu mnatolea majibu mepesi sana. Nini maana ya nchi kuwa na makao makuu? Kwanini ikulu ilihamishwa dodoma ambako ndyo makao makuu ya nchi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndyo wazazi waliuza ngombe wakapeleka ngombe shule kusoma. Watumishi wa ikulu ni wanyama?Stupid
Rais hata akija anachangamana na watu??
Acha kuleta ujinga
Nyie ndyo wazazi waliuza ngombe wakapeleka ngombe shule kusoma. Watumishi wa ikulu ni wanyama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Ikulu ya Chato ipo Geita na Chato ipo ndani ya Geita basi ni sahihi ikulu kuwepo Chato.
Watumishi wa ikulu wapo makao makuu ya nchi kama hujui. Uko chato ni mahousekeepers na walinzi.Kwa hiyo chato hana watumishi ana ng'ombe??[emoji23][emoji23]
Hakuna aliekulazimisha kutoka au kufanya kazi,mbona unatumia nguvu nyingi sana?Mimi binafsi huwezi niambia tupuuze corona wakati Rais ameichukulia serious kiasi kwamba kajifungia kwake ila anatanguliza raia na viongozi wa chini yake tukapige kaz
Uelewa wako ni wa kijinga sana. Mfano Rais asafiri nje ya nchi afikie kwenye hoteli au ubalozi. Utauita ikulu.Kama Ikulu ya Chato ipo Geita na Chato ipo ndani ya Geita basi ni sahihi ikulu kuwepo Chato.
Kwa ufahamu na uelewa wangu, anapokuwepo Rais na kufanya kazi zake ,hapo ndio Ikulu Kwa sababu ana haki ya kufanya kazi popote ndani ya JMT
Ambao sio watu? Na hawawezi kupata corona?Watumishi wa ikulu wapo makao makuu ya nchi kama hujui. Uko chato ni mahousekeepers na walinzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko nje ya nchi kuna Jamhuri ya Muungano wa Tanzania( JMT)? Au Hilo neno JMT hukuliona au hukuelewa limesimama badala ya Nini?Uelewa wako ni wa kijinga sana. Mfano Rais asafiri nje ya nchi afikie kwenye hoteli au ubalozi. Utauita ikulu.
Pili ikulu ya geita sio chato kwa magufuli. Kuna tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Shangaa,hata leo kanisani hajakwenda. Infwakti Rais anachukua measures zote za kujikinga na Corona.Mimi binafsi huwezi niambia tupuuze corona wakati Rais ameichukulia serious kiasi kwamba kajifungia kwake ila anatanguliza raia na viongozi wa chini yake tukapige kazi.
Baada ya kumuapisha MWIGULU nimeona hapo hapo wamepanda kwenye gari nakuondoka hapo hapo. Yani hata chai ya nyumbani kwa Rais hajaiona.
Hii nikuonesha jinsi Rais anavyochukulia serious kujilinda na corona yeye na familia yake. Alafu huku akichukizwa na Viongozi wa makanisa na Misikiti walioamua kufunga nyumba zao za ibada. Kwani Mungu yupo kanisani tu? Yeye ameenda kanisani mara ya mwisho lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni ngombe zilizoenda shule. Umeanza sasa kula matapishi yako. Naona umekubaliana na mimi kuwa sio anapokuwa Raisi ni ikulu.Huko nje ya nchi kuna Jamhuri ya Muungano wa Tanzania( JMT)? Au Hilo neno JMT hukuliona au hukuelewa limesimama badala ya Nini?
Leo mmepima mapapai mangapi kama yana korona?Ninachojua makazi na ofisi ya Rais ni Ikulu na Ikulu haipo dar au dodoma pekee. Sioni Cha ajabu Rais kuwepo huko kwa kuwa napo Ikulu ipo.
Hata akiwepo dar, bado ataendelea kuwa Ikulu kama ilivyo huko Chato. Je, na hili inahitaji viongozi wenu wawaambie?
Rais is a product of sex kama mimi na wewe tulivyo. Cha ajabu kwake ni kipi? Inaelekea wewe Rais ana utu kuliko baba yako. Ukipewa uchague nani wa kufa utasema baba yako afe Rais abaki! Nakuona sana unavyopapatikia RaisWewe kula ugali ulale
Unanwita Rais njoo Dodoma utafikiri unaita bajaji !
Hii ndyo sababu inayomfanya akae hapo chato. Watumishi wa hapo wanaishi hapo hapo ila makao makuu kunawanaoingia na kutoka kila siku. Ikulu inaoffice nyingi sio ya rais unavyofikiria wewe.Ambao sio watu? Na hawawezi kupata corona?
Haujawahi kujiuliza hili najua
Pole
Mwambie aliyekutuma tuna akili zenye afya njema! Hatusubiri kwa kitakachosemwa na kiongozi wa aina yoyote wa chama chochote! Mwambie sisi siyo wale kiongozi wa nchi ndiye mwenye akili zaidi na wengine ni majnuun. Mwambie tunao uwezo wa kuunganisha dot.....!! Na mwambie vilevile wajinga duniani hawatoisha kwa hiyo asihofu atawavuna tu.Ninachojua makazi na ofisi ya Rais ni Ikulu na Ikulu haipo dar au dodoma pekee. Sioni Cha ajabu Rais kuwepo huko kwa kuwa napo Ikulu ipo.
Hata akiwepo dar, bado ataendelea kuwa Ikulu kama ilivyo huko Chato. Je, na hili inahitaji viongozi wenu wawaambie?
Kwani Meigulu anavyifukuzwa na kurudishwa amekua bodaboda?Wewe kula ugali ulale
Unanwita Rais njoo Dodoma utafikiri unaita bajaji !
Chato kuna Ikulu?Ninachojua makazi na ofisi ya Rais ni Ikulu na Ikulu haipo dar au dodoma pekee. Sioni Cha ajabu Rais kuwepo huko kwa kuwa napo Ikulu ipo.
Hata akiwepo dar, bado ataendelea kuwa Ikulu kama ilivyo huko Chato. Je, na hili inahitaji viongozi wenu wawaambie?
Tatizo ninyi makamanda mnaazima akili mnasahau kuomba mrudishiwe akili zenu nzima na mkiambiwa mnakuwa wabishi.Wewe ni ngombe zilizoenda shule. Umeanza sasa kula matapishi yako. Naona umekubaliana na mimi kuwa sio anapokuwa Raisi ni ikulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu weweNinachojua makazi na ofisi ya Rais ni Ikulu na Ikulu haipo dar au dodoma pekee. Sioni Cha ajabu Rais kuwepo huko kwa kuwa napo Ikulu ipo.
Hata akiwepo dar, bado ataendelea kuwa Ikulu kama ilivyo huko Chato. Je, na hili inahitaji viongozi wenu wawaambie?