Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Mwanzo niliamini ni likizo ya pasaka japo unaweza fikiria" unafurahiaje pasaka huku wenzako wanafikwa na umauti au magonjwa. Pasaka imepita ,nadhani sasa ni mapumziko ya ramadhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni makazi rasmi kabisa ya mh zingatia neno ikulu kaka hata kama ni ndogo tayari ni ikulu ndiyo maana kuna ulinzi ,huduma zote hata kama mh hayupo mbona ni simple logic haitaji kupiga msuli kwenyw vimbweta

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikulu ndogo haiwezi kuwa na huduma ndogo. Unajua ikulu inaoffice ngapi. Izo office znawatumish wangapi.
Hint: kila wizara inaoffice ikuki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anahaja gani ya kujilinda wakati haamini kama tuna corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anahaja gani ya kujilinda wakati haamini kama tuna corona.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hapo ndio umedhirisha upumbavu, ujinga na unafiki

1.hakuna mahali JPM kasema hakuna corona
2.Hakuna mahali JPM kasema tusijilinde na corona

Nadhan tuache hapa mjadala, sikujua ninaongea na mwanamke mpumbavu

This is JF sio Fb au insta hapa

Acha ujinga haukusaidii
 
Ni makazi rasmi kabisa ya mh zingatia neno ikulu kaka hata kama ni ndogo tayari ni ikulu ndiyo maana kuna ulinzi ,huduma zote hata kama mh hayupo mbona ni simple logic haitaji kupiga msuli kwenyw vimbweta

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazijua Ikulu zote ndogo? Umejua kwa Nini haya Gerson Msigwa anaiita Ikulu ya Chato? Tufungue akili kidogo ili tusiache siasa itufumbe
 
Bora umwambie , upingaji umechukua akili yake kibaya zaidi akili nzima kagawa kabakiwa na akili ya kuvukia zebra tu
 
Wapwa tuinuane ndio habari ya Mjini.

Kwakuwa Serikali haitoi takwimu za KOONA kama alivyoagiza mkuu pale aliposema watoe za waliopona na siyo wagonjwa na mara moja agizo kutekelezwa na anti-Ummy, basi ukitaka kujua koona imeisha"UTAMUONA MZEE BABA AKIRUDI MJINI KAMA ALIVYOONDOKA"

Kumbuka aliondoka siku ya jumatatu "akajifanya kukagua daraja la ubungo, mara sijui barabara imebomoka morogoo-dodoma pale akafukuza Meneja Tanroad, akafika Dodoma akapiga picha juu ya mawe, wakamwambia koona ipo Dodoma akakimbilia alipo, sasa AKRUDI TU jua KOONA IMEISHA
 
Koona is here to stay hadi miezi 18 ya tafiti ya chanjo ikamilike.
 
Kwani vipi? Anaumwa?
 
Mkuu nafikili ili la lockdown kwa hapa tz wengi mnalizungumza sana ,
Ila tatizo hamtoi ushauri kwamba baada ya kufanyika then wananchi waishije katika kupata maitaji yetu ya kila siku.kwa nini hamzungumzii ilo? Mnazungumzia lock down tu na huku maisha yetu watanzania tunayajua kwamba lazima utoke ndo familia ipate ugali.
Je nikisema mnaokazania lock down mna agenda nyingine nyuma ya pazia nitakua nakosea maana huwezi sisitiza lock down bila kutokua na solution ya watu jinsi watakavyo ishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…