Vita ya Israel na Iran .. tuna safari ndefu kama taifa

Vita ya Israel na Iran .. tuna safari ndefu kama taifa

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,591
Reaction score
14,369
Niliacha kufuatilia au kusikiliza hotuba za rais Samia au wateule wake baada ya kuona hajui anachoongea.

Ukifuatilia vita hii utaamini maneno ya Donald Trump kwamba nchi zetu ni Shit-holes (mashimo ya uchafu)

Hivi bara la Africa ( nchi zote 52) Zina uwezo kijeshi nusu ya inaonesha Iran au Israel?
 
Sisi tuna mwenyekiti mwenye akili level ya Vikoba yaani hana Tofauti na Kijumbe yule Nicole
 
Back
Top Bottom