MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Watanzania tunaona ni uchuro na nuksiKuandika wosia mapema ni jambo muhimu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania tunaona ni uchuro na nuksiKuandika wosia mapema ni jambo muhimu sana
Hizi Mali zitapukutika zote!
Watoto gani hawana akili namna hii?
Jmn mirathi muhimu sbb hujui kifo kitakukutaje!
[emoji848][emoji87]
Kuna nyingine mwanza imeuzwa kimya kimya ikageuzwa chuo najua hapo wamepiga si chini ya 1.5 billion ...! Nouma sanaWatagombea hata hicho kidogo ulichokuwa nacho....
Mali zisizohamishika ni tatizo kubwa. Ni bora ziuzwe zooooote, watu wagawane kila mtu asepe.
Mimi mwenye ile shule ya St Marys Sinza lazima ningeitolea macho tu 😃😃😃😃
Am telling you.... ni bora kila kitu kiandikwe, kiuzwe.Kuna nyingine mwanza imeuzwa kimya kimya ikageuzwa chuo najua hapo wamepiga si chini ya 1.5 billion ...! Nouma sana
Wenyewe waarabu wanamkabidhi m1 ndio kiongozi wao.Waarabu wanawezaje? Sijawai sikia mgogoro wa waarab
Sio mirathi ni Wosia au Will kwa kikristo.Mirathi ni kitu muhimu sana.
Wosia Muhimu... Mirathi ni legal processHizi Mali zitapukutika zote!
Watoto gani hawana akili namna hii?
Jmn mirathi muhimu sbb hujui kifo kitakukutaje!
[emoji848][emoji87]
Yes ,nilimaanisha wosiaWosia Muhimu... Mirathi ni legal process
Nisamehe, kama approach yangu imekua rude kwako.Yes ,nilimaanisha wosia
Umeenda au kuishi Asia??Utajiri wa familia za kiafrika haudumu kwa generation zaidi ya 1
Na hapa ndipo wazungu, wahindi na Waarabu wanaptupiga gepu
Kila mara utasikia migogoro ya kugombea mali za tajiri mweusi mara Mengi, mara bilionea Msuya, Lwakatare, kuna yule Mrema wa Ngurdoto n.k
Ila ni mara chache sana kusikia tifu kama hizi kwa matajiri wa ki Asia au kizungu
Hivi kweli mali zote hizo za mama bado unagombea udiwani kuna shida sio bure.Muta atawasumbua hao ndugu zake , tapeli sana ameliza watu wengi viwanja akiona kiwanja hakijaendelezwa anakitengezea hati anakiuza anafanya utapeli wa kivuli cha udiwani
Wanajipanga.Mzazi wala haandiki hata hisiaWaarabu wanawezaje? Sijawai sikia mgogoro wa waarab
Hawa wachungaji na manabii ukwasi walionao hupatikana kupitia njia ambazo hata Mungu hapendi. Matokeo yake ndio haya;ni ubatili na kujilisha upepo.Mali haramu hizi zitapukutika haraka
KabisaWazaz wanakomaa watoto waende shule tu huku shuleni wanafundishwa ubinafsi na uzungu. Wanasahau kuwafundisha utafutaji na misingi ya familia. Na kuwajengea upendo.
Hakukuhitajika kugawana walitakiwa tu wajipange kwa pamoja jinsi ya kuzisimamia hizo biashara kwa pamoja,Madeni ni ya biashara hizo biashara zenyewe zingeyalipa vila shida kama wangesimamia na kuziendeleza vizuri kwa pamojaMitoto haina akili. Inauza Mali badala ya kuendeleza? Badala wakae kikao na uthamini wa kila Mali ufanyike ili wajue jinsi ya kugawana na kulipa madeni bank wanaanza kuuza na kujimilikisha kinyemela. Muda mfupi Sana kila kitu kitapotea. Tupeni muda tu.
Hapo ndipo Wahindi na Waarabu wametuzidi.