Jeshi la Kongo hata ukiwapelekea Vifaa vipya vya kisasa wanaviuza kwa Wamaimai vingine wanaviuza kwa M23 vingine wanaviuza kwa INTERAHAMWE.ila kongo wapo vizuri sanaa kivifaa kuloko unavyo zani tatizo tumekalili
Mipaka yote ililazimishwa, kama tukitambua kuiheshimu na tuiheshimu kwelikweli.Kongo haikutakiwa kuwa Nchi moja Mfalme Leopold wa Ubelgiji alilazimisha hiyo mipaka ili liwe koloni lake Binafsi.
Mipaka yote ililazimishwa, kama tukitambua kuiheshimu na tuiheshimu kwelikweli.
Mjaluo wa Kenya afuate sheria za Kenya, mmasai wa Tanzania afuate sheria za Tanzania Tanzania isimtumie mmasai wa Kenya kuivuruga Kenya,............no,nk, nk,.....
Vipi Taifa lako linapokuvua Uraia kwasababu Pua yako ni ndogo?Mjaluo wa Kenya afuate sheria za Kenya, mmasai wa Tanzania afuate sheria za Tanzania Tanzania isimtumie mmasai wa Kenya kuivuruga Kenya,............no,nk, nk,.....
Sababu siyo pua, mwanzoni walitambuliwa ilikuwaje waka kanwa?. Wali under go metamorphosis kwa kuota pua ndefu?Vipi Taifa lako linapokuvua Uraia kwasababu Pua yako ni ndogo?
Wahutu waliokimbila Kongo wanatambuliwa kama Wakongo lakini Watutsi wa Kongo ambao ni Wakongomani wanaitwa Wanyarwanda.Sababu siyo pua, mwanzoni walitambuliwa ilikuwaje waka kanwa?. Wali under go metamorphosis kwa kuota pua ndefu?
Wakubali kutii mamlaka zinazo ongoza eneo wanalo ishi periodWahutu waliokimbila Kongo wanatambuliwa kama Wakongo lakini Watutsi wa Kongo ambao ni Wakongomani wanaitwa Wanyarwanda.
Tembelea Goma ndugu.
Mamlaka inayokuvua Uraia wako wa Asili sio ya kuitii hata kidogo.Wakubali kutii mamlaka zinazo ongoza eneo wanalo ishi period
Haikuvui bila sababu na pua si sababu ya kuvuliwa.Mamlaka inayokuvua Uraia wako wa Asili sio ya kuitii hata kidogo.
Mbona Mhutu wa Rwanda akiwa Kongo anakubalika kuwa Mkongomani? Pua unahusika hapo.Haikuvui bila sababu na pua si sababu ya kuvuliwa.
Ukiisaliti nchi yako unyanganywe uraia na kuwekwa ndani pia. Siyo kutaka kuishi congo alafu uongozwe na sheria za Rwanda.......Ni mwendawazimu tu atakaye nvua mtu uraia wake kwasababu ya pua ndefu.Mamlaka inayokuvua Uraia wako wa Asili sio ya kuitii hata kidogo.
Hivi unayajua madai ya M23 na umemsikiliza vizuri Baba wa Taifa Hayati Juliasi Kambarage Nyerere kuhusu Speech yake inayoongelea Banyamulenge?Ukiisaliti nchi yako unyanganywe uraia na kuwekwa ndani pia. Siyo kutaka kuishi congo alafu uongozwe na sheria za Rwanda.......Ni mwendawazimu tu atakaye nvua mtu uraia wake kwasababu ya pua ndefu.
Madai ya kupewa vyeo jeshini na serekalini?.Hivi unayajua madai ya M23 na umemsikiliza vizuri Baba wa Taifa Hayati Juliasi Kambarage Nyerere kuhusu Speech yake inayoongelea Banyamulenge?
Hii Vita haitaamuliwa kwa Mtutu itaamuliwa wa sheria za Kimataifa.
Na sio kuangalia pua kama Interahamwe.
Wamesaidia kumtoa Dikteta Mobutu Sese Sekko unataka Loyalty gani zaidi ya hiyo wakati Wacongomani wengine walikuwa hata kulalamika walikuwa wanaogopa na walikuwa wakimuabudu Dikteta Mobutu.Madai ya kupewa vyeo jeshini na serekalini?.
They should be loyal to their country
Qpiganie maslahi ya Congo yote siyo vyeo. Kama ni vyeo hata Mobutu aliyefurushwa alikuwa na cheo.Wamesaidia kumtoa Dikteta Mobutu Sese Sekko unataka Loyalty gani zaidi ya hiyo wakati Wacongomani wengine walikuwa hata kulalamika walikuwa wanaogopa na walikuwa wakimuabudu Dikteta Mobutu.
Wahutu kutoka Rwanda ndio wanaitwa WAZALENDO wa Kongo halafu Watutsi wa Kongo wanaitwa Wanyarwanda huoni kama kuna TATIZO KUBWA hapo?Qpiganie maslahi ya Congo yote siyo vyeo. Kama ni vyeo hata Mobutu aliyefurushwa alikuwa na cheo.
Token kwenye nchi ya watu nyie watusi. Waachen wacongo waishi maisha yao. Mbona mnawaganda watu ?? Token huko bwana.. wewe ni mtusi.Wahutu kutoka Rwanda ndio wanaitwa WAZALENDO wa Kongo halafu Watutsi wa Kongo wanaitwa Wanyarwanda huoni kama kuna TATIZO KUBWA hapo?
Watutsi wapiganie HAKI zao wasizubae Maadui ni WENGI.
Wanajiona watusi badala ya wakongo, wanajiona wanyarwanda badala ya wanyarwanda.Wahutu kutoka Rwanda ndio wanaitwa WAZALENDO wa Kongo halafu Watutsi wa Kongo wanaitwa Wanyarwanda huoni kama kuna TATIZO KUBWA hapo?
Watutsi wapiganie HAKI zao wasizubae Maadui ni WENGI.