imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Jeshi la Kongo hata ukiwapelekea Vifaa vipya vya kisasa wanaviuza kwa Wamaimai vingine wanaviuza kwa M23 vingine wanaviuza kwa INTERAHAMWE.ila kongo wapo vizuri sanaa kivifaa kuloko unavyo zani tatizo tumekalili
Ogopa sana Makamanda wa Jeshi wanaokesha Bar na kubadilisha Wanawake.
Sijui ni nani aliwaambia Wakongo kuwa kazi ya Jeshi ni kuua Raia na Kubaka Raia na kulipora Jeshi lenyewe.