Vita ya Uchumi haijawahi kuwa nyepesi, Hayati Magufuli aheshimiwe

Magulifu just hakuwa na upeo wa ku-deal na issues kubwa kubwa, huu ni ukweli mchungu. Kujua matatizo na kuyashughulikia ni vitu viliwi tofauti.
Hilo ndio pungufu lake kubwa. Hilo Mimi binafsi nakubali. Hakuna na shule ya kudeal na haya madubwana. Aliya underestimate sana. Angekua yeye ndio Rais wa China Taiwan kingekua kimeshanuka kitambo sana.
 
Wanaelewa sanatu sema wanajitoa akili kwasababu moja ama mbili, huenda wajombazao ama wao wenyewe walitumbuliwa kwa sababu ya vyeti feki ama ufisadi uchwara.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Ni nchi ngapi zilisitisha misaada?
Ni Nchi ngapi zilisitisha mikopo?
Nchi zilizoinyima mkopo Ile kampuni ya Egypt isishiriki ujenzi wa Bwawa?
Hicho kitu tukiitaje?
Vita vya nini?

Au ulitaka list of sanctions ndio ujue ni vita?
We fought, we Lost.
 
Mikataba wanaandaa wao, wanawaletea viongozi wenu wasome. Haiandaliwi na wanasheria wenu.

Kabla ya kuleta huo mkataba Kuna kua na Ile tunaita chachandu. Utasikia rais kaenda kule Leo kesho kutwa kaenda kule Tena. Hata mara kumi kabla ya huo mkataba kuandikwa. Wanampa na chake kabisa. Akikataa anakua sio mwenzao.

Kipindi hicho wanakua na watu wao wa kuwapa ABC. Watafatilia nani kasababisha ukatae na Kwa nini. Unajikuta upo katika risk kubwa.

Wasiowajasiri hukubali kuepusha shari Ili maisha yaendelee na familia zao zineemeke. Watu kama JPM hawakubali.
 
Na yule Prof alivyokuwa anajiuma uma .......
Unataka kuniambia alikuwa hajui kiingereza au hana cha kuongea?
Jitihada za kweli zimefanywa ili kushinda kesi? Au ndio tumejiangusha tu kwenye Box.....
Kuna kitu hakiko sawa katika hizi kesi ,kuna wazawa zinawanufaisha
 
Hamna hoja. Nilidhani huwa wanakuja na silaha kupora. Kumbe ni tamaa za viongozi wetu ndiyo zinasababisha haya yote? Sasa unalia nini?
 
Ni nchi ngapi zilisitisha misaada?
Ni Nchi ngapi zilisitisha mikopo?
Nchi zilizoinyima mkopo Ile kampuni ya Egypt isishiriki ujenzi wa Bwawa?
Hicho kitu tukiitaje?
Vita vya nini?

Au ulitaka list of sanctions ndio ujue ni vita?
We fought, we Lost.
Nani aliwanyima hivyo unavyo andika hapa hivi unajua unacho ongea au unaropoka ?

Vita vya kiuchumi unavijua wewe au unaropoka tu kwa kelele za wanasiasa.

Nchi hamna mnacho zalisha cha kujitosheleza unasema tulikuwa na vita vya kiuchumi mkipigwa vita vya kiuchumi nyie na kisarafu chenu kisicho na thamani yoyote si mtaanza kula majani.

Vita vya kiuchumi achia warusi, wachina, Iran, NK , Venezuela at least Zimbabwe akiongea Nita muelewa.

Vita vya kiuchumi tena ni bora usitake kabisa hivyo vitu viwatokee muanze kushona viraka kama wakati wa Mwalimu.

Vita vya kiuchumi Tanzania na nani ? Chadema au 🤡
 
Kwa mitazamo hii nchi itachukua muda sana kuendelea
 
Hujui hata nazungumzia nini.

Nilijua tu kuwa huelewi nazungumzia nini ndio maana unanijibu kama mlevi.

Kama kweli unaelewa nilichokuwa namaanisha ,

Elezea ni nini nilikua namaanisha, halafu tutaendelea tokea hapo.
Sheria alitunga JPM 2017 ila kuanzia 2018 kufikia 2020 zilifanyiwa ammendments za sheria kadhaa ikiwemo Permanent sovereign act, PPP act na Arbitration act ambazo ziliruhusu foreign commercial Arbitration kusikilizwa popote na sio lazima mahakama za ndani.

Nimeweka hiyo excerpt ya gazeti sababu inaonyesha kwamba kuna mashauri yalifunguliwa London, ICSID na Johannesburg sasa if at all sheria bado ililkataza how on earth hayo mashauri yalikubaliwa kufunguliwa???

Kasome ammendments za section 11 ya Permanent sovereign act na pia isome sheria nzima ya Arbitration ya 2020 then ukiona bado msimamo ni ule ule rudi niite mpuuzi ntakubali
 
Na yule Prof alivyokuwa anajiuma uma .......
Unataka kuniambia alikuwa hajui kiingereza au hana cha kuongea?
Jitihada za kweli zimefanywa ili kushinda kesi? Au ndio tumejiangusha tu kwenye Box.....
Mkuu si tuliambiwa mruma na ossoro ndio wazalendo namba one na wakapewa cheti na Magufuli. Kama hatuwaamini waliopewa tuzo za uzalendo tutamuamini nani sasa?
 
Aiseee!!! Hii siyo mchezo
 
Wala hata sikua nazungumzia hizo sheria ulizozitaja.

Nilikua nazungumzia sheria ya kulinda rasilimali za Taifa.

The National Wealth and Resources Permanent Sovereignty Act, 2017.
 

Watanzania wengi (haswa vijana) wamegeukia kazi ya ushabiki (uchawa) kwa wanasiasa kiasi hawajali tena maslahi mapana ya kitaifa ila itikadi za kichama na kisiasa.



Na hao vibaraka ndio mwiba haswa kwenye moyo wa Tanzania. Kibaya zaidi siku hizi ukibaraka wao hawaufichi tena, mabwana zao wanawaita eti investors. Very disgusting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…