Vita ya Ukraine na Urusi: Mwisho wa zama za vifaru umefika

Tatizo lako umeangalia cnn na. BBC basi.

Nenda kaangalie sputniki. Rossia 1. Yandex. Ili atleast ubalance matukio.
West wameshakuteka
 
wazee wa bbc hao
 
Tatizo lako umeangalia cnn na. BBC basi.

Nenda kaangalie sputniki. Rossia 1. Yandex. Ili atleast ubalance matukio.
West wameshakuteka
Embu tupe habari za upande wa pili sio kuja kulialia huku babu yenu putin amekula kipigo cha paka mwizi kutoka kwa masanja mkandamizaji. Haamini macho yake amebaki kutishia nyuklia tu! Unaambiwa babu putin amepoteza askari mara mbili zaidi ya idadi ya askari wa Marekani kwenye vita ya Iraq na Afghanistan
 
Mbona kuna ukweli hamsemi, Ukraine anapokea misaada ya silaha na wapiganaji kutoka Nato, hii ni sawa na urusi kupigana na Nato indirectly. Je USA angeweza kupigana na nchi 1 inayopata misaada kutoka nchi 33?

Je uingereza angeweza anachopitia Russia? Lakini pamoja na hayo Russia anatembeza kipigo kikali sana, tuseme ukweli tusilete mahaba.
Mwanzoni alitumia mbinu ya ground invasion ni kweli alipoteza askari ma vifaru, mara baada ya kubadili mbinu, adui anavaa kiraia na kujificha nyumbani kwa watu, je kwa mtindo huu vita inaweza kuisha ndani ya wiki?
 
Unamjua kemikal Ali?
 
Kamwangalieni jamAaa anajiita @siasamakini Instagram afu mrudi hapa
 
Umewachokoza mwenyewe Warusi weusi wa kwa mtogole. Ngoja waje wakubishie,waje na makelele yao
 
Kamwangalieni jamAaa anajiita @siasamakini Instagram afu mrudi hapa

Wanamiliki media zote
Mpaka Ukraine ikidondoka ndio watabadili kauli zao na kuanzi propaganda ZA war crimes
Wala haihitaji kupata mtaalamu wa kukusimulia nini kinaendelea , Sana Sana atakudanganya tuu na kuvutia upande anaoshabikia , mpak Jana Progress ya Russia ni ndogo Ukraine , ni kweli ameongeza mashambulizi makali but anakumbana na fiercely resistance na anapoteza wanajeshi wengi Sana ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…